MichuziBlog's profile picture. http://issamichuzi.blogspot.com

Michuzi Blog

@MichuziBlog

http://issamichuzi.blogspot.com

#michuzitv_updates:-Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeibuka mshindi wa kwanza wa tuzo ya umahiri katika uandaaji bora wa hesabu za fedha kwa kuzingatia viwango vya uandaaji hesabu vya kimataifa (IFRS) katika tuzo zilizotolewa ... 👇 instagram.com/p/DR4PBDtjWDX/…

MichuziBlog's tweet image. #michuzitv_updates:-Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeibuka mshindi wa kwanza wa tuzo ya umahiri katika uandaaji bora wa hesabu za fedha kwa kuzingatia viwango vya uandaaji hesabu vya kimataifa (IFRS) katika tuzo zilizotolewa ...
👇
instagram.com/p/DR4PBDtjWDX/…

#michuzitv_updates:-Wananchi wa Tanzania wamefurahishwa na uamuzi wa Meta kuzifungia akaunti za wanaharakati Mange Kimambi na Maria Sarungu Tsehai, wanaotuhumiwa kuchochea uvunjifu wa amani na machafuko nchini. instagram.com/p/DR38U_7jUe1/…

MichuziBlog's tweet image. #michuzitv_updates:-Wananchi wa Tanzania wamefurahishwa na uamuzi wa Meta kuzifungia akaunti za wanaharakati Mange Kimambi na Maria Sarungu Tsehai, wanaotuhumiwa kuchochea uvunjifu wa amani na machafuko nchini.
instagram.com/p/DR38U_7jUe1/…

#michuzitv_updates:-Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amewataka Vijana na Wanaharakati kutafuta njia sahihi ya kudai haki ikiwemo mazungumzo mezani akiwaasa kuwa vita na vurugu avijawahi kusaidia bali upelekea kupotea kwa amani... 👇 instagram.com/reel/DR2JpsKiE…

MichuziBlog's tweet image. #michuzitv_updates:-Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amewataka Vijana na Wanaharakati kutafuta njia sahihi ya kudai haki ikiwemo mazungumzo mezani akiwaasa kuwa vita na vurugu avijawahi kusaidia bali upelekea kupotea kwa amani...
👇
instagram.com/reel/DR2JpsKiE…

#michuzitv_updates:-UPANDE wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwanaharakati wa mitandaoni, Mange Kimambi, umedai kuwa upelelezi wa shauri hilo bado haujakamilika. 👇 instagram.com/p/DR1zir-jSyf/…

MichuziBlog's tweet image. #michuzitv_updates:-UPANDE wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwanaharakati wa mitandaoni, Mange Kimambi, umedai kuwa upelelezi wa shauri hilo bado haujakamilika.
👇
instagram.com/p/DR1zir-jSyf/…

#michuzitv_updates:-Katibu Msaidizi wa idara ya Mabinti na Uwezeshaji wa Taasisi ya Mama Asemewe Bi. Beatrice Mwahegili amewataka Vijana hususani Mabinti wa Kitanzania kuheshimu, kulinda na kuitunza amani ya Tanzania, akisisitiza kuwa hakuna... 👇 instagram.com/reel/DR1qs_iDQ…

MichuziBlog's tweet image. #michuzitv_updates:-Katibu Msaidizi wa idara ya Mabinti na Uwezeshaji wa Taasisi ya Mama Asemewe Bi. Beatrice Mwahegili amewataka Vijana hususani Mabinti wa Kitanzania kuheshimu, kulinda na kuitunza amani ya Tanzania, akisisitiza kuwa hakuna...
👇
instagram.com/reel/DR1qs_iDQ…

#michuzitv_updates:-Jeshi la Polisi nchini Tanzania kwa kushirikiana na Vyombo vingine vya Ulinzi na usalama limesema linaendelea kufuatilia kwa karibu yanayoendelea kwenye Mitandao ya Kijamii na kwenye makundi sogozi wakihamasisha wanayoyait... 👇 instagram.com/reel/DRzYMLsiA…

MichuziBlog's tweet image. #michuzitv_updates:-Jeshi la Polisi nchini Tanzania kwa kushirikiana na Vyombo vingine vya Ulinzi na usalama limesema linaendelea kufuatilia kwa karibu yanayoendelea kwenye Mitandao ya Kijamii na kwenye makundi sogozi wakihamasisha wanayoyait...
👇
instagram.com/reel/DRzYMLsiA…

#michuzitv_updates:-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Naibu Mwenyekiti wa Biashara ya Jumuiya ya Madola na Baraza la Uwekezaji (CWEIC) Mhe. Lord Hugo Swire, Ikulu ya Magogoni Dar... 👇 instagram.com/p/DRzJattDYN_/…

MichuziBlog's tweet image. #michuzitv_updates:-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Naibu Mwenyekiti wa Biashara ya Jumuiya ya Madola na Baraza la Uwekezaji (CWEIC) Mhe. Lord Hugo Swire, Ikulu ya Magogoni Dar...
👇
instagram.com/p/DRzJattDYN_/…

#michuzitv_updates:-WAKATI joto la maandamano ya Disemba 09 likizidi kupanda, mjadala wa kuyapinga na kuyakataa maandamano hayo umeendelea Kila Kona, huku vijana, wazee na wanawake wakieleza kuwa wasingependa kilichotokea Oktoba 29 kijirudie tena. 👇 instagram.com/reel/DRzGaylDa…

MichuziBlog's tweet image. #michuzitv_updates:-WAKATI joto la maandamano ya Disemba 09 likizidi kupanda, mjadala wa kuyapinga na kuyakataa maandamano hayo umeendelea Kila Kona,  huku vijana, wazee na wanawake wakieleza kuwa wasingependa kilichotokea  Oktoba 29 kijirudie tena.
👇
instagram.com/reel/DRzGaylDa…

#michuzitv_updates:-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuwa Tanzania ni huru na haitoingiliwa na serikali ama chombo kingine chochote kutoka nje ya Tanzania, akisema fedha chache wanazozitoa... 👇 instagram.com/reel/DRwv4mQCC…

MichuziBlog's tweet image. #michuzitv_updates:-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuwa Tanzania ni huru na haitoingiliwa na serikali ama chombo kingine chochote kutoka nje ya Tanzania, akisema fedha chache wanazozitoa...
👇
instagram.com/reel/DRwv4mQCC…

Michuzi Blog أعاد

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2025.

ikulumawasliano's tweet image. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2025.

Sehemu ya Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 02 Desemba, 2025.

ikulumawasliano's tweet image. Sehemu ya Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 02 Desemba, 2025.

#michuzitv_updates:-Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuendelea kuunda serikali shirikishi na kusikiliza maoni, ushauri na hisia za Watanzania... 👇 instagram.com/reel/DRwZ5srjU…

MichuziBlog's tweet image. #michuzitv_updates:-Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuendelea kuunda serikali shirikishi na kusikiliza maoni, ushauri na hisia za Watanzania...
👇
instagram.com/reel/DRwZ5srjU…

#michuzitv_updates:-Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 Jaji Mkuu mstaafu Mohammed Chande Othman amesema Watanzania wanataka uchunguzi kamilifu wa Matukio... 👇 instagram.com/reel/DRuXd9FiA…

MichuziBlog's tweet image. #michuzitv_updates:-Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 Jaji Mkuu mstaafu Mohammed Chande Othman amesema Watanzania wanataka uchunguzi kamilifu wa Matukio...
👇
instagram.com/reel/DRuXd9FiA…

#michuzitv_updates:-Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwa kwenye Ziara yake ya Kikazi Mkoani Arusha, amesisitiza umuhimu wa kulinda amani kwa maendeleo na ustawi wa Watanzania, akiwataka wananchi... 👇 instagram.com/reel/DRuPclnCK…

MichuziBlog's tweet image. #michuzitv_updates:-Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwa kwenye Ziara yake ya Kikazi Mkoani Arusha, amesisitiza umuhimu wa kulinda amani kwa maendeleo na ustawi wa Watanzania, akiwataka wananchi...
👇
instagram.com/reel/DRuPclnCK…

#michuzitv_updates:-Serikali imesisitiza kuwa haitalazimisha Klabu yoyote nchini kufanya mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji bila uamuzi wa wanachama wake, na kwamba jukumu lake kuu ni kuhakikisha mchakato wowote unaotekelezwa unaendana... 👇 instagram.com/p/DRrvT9liBS2/…

MichuziBlog's tweet image. #michuzitv_updates:-Serikali imesisitiza kuwa haitalazimisha Klabu yoyote nchini kufanya mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji bila uamuzi wa wanachama wake, na kwamba jukumu lake kuu ni kuhakikisha mchakato wowote unaotekelezwa unaendana...
👇
instagram.com/p/DRrvT9liBS2/…

#michuzitv_updates:-Rais wa Jumuiya ya wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu nchini Tanzania (TAHLISO) Bw. Geofrey Kiliba ameongoza Kikao kazi cha Jumuiya hiyo Mjini Dodoma, kupokea na kujadili changamoto za wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu nchini. 👇 instagram.com/reel/DRrVF_sjV…

MichuziBlog's tweet image. #michuzitv_updates:-Rais wa Jumuiya ya wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu nchini Tanzania (TAHLISO) Bw. Geofrey Kiliba ameongoza Kikao kazi cha Jumuiya hiyo Mjini Dodoma, kupokea na kujadili changamoto za wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu nchini.
👇
instagram.com/reel/DRrVF_sjV…

#michuzitv_updates:-Rais wa Jumuiya ya wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu nchini Tanzania (TAHLISO) Bw. Geofrey Kiliba ameongoza Kikao kazi cha Jumuiya hiyo Mjini Dodoma, kupokea na kujadili changamoto za wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu nchini. instagram.com/reel/DRrVF_sjV…

MichuziBlog's tweet image. #michuzitv_updates:-Rais wa Jumuiya ya wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu nchini Tanzania (TAHLISO) Bw. Geofrey Kiliba ameongoza Kikao kazi cha Jumuiya hiyo Mjini Dodoma, kupokea na kujadili changamoto za wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu nchini.
instagram.com/reel/DRrVF_sjV…

#michuzitv_updates:-Kutokana na kuundwa kwa Wizara ya maendeleo ya Vijana nchini chini ya serikali ya awamu ya sita, Vijana wa Kitanzania wametakiwa kuiona kuwa ni fursa muhimu ya kuwajenga kiuchumi na Kijamii, wakitakiwa kuitumia... 👇 instagram.com/reel/DRq8sw9iJ…

MichuziBlog's tweet image. #michuzitv_updates:-Kutokana na kuundwa kwa Wizara ya maendeleo ya Vijana nchini chini ya serikali ya awamu ya sita, Vijana wa Kitanzania wametakiwa kuiona kuwa ni fursa muhimu ya kuwajenga kiuchumi na Kijamii, wakitakiwa kuitumia...
👇
instagram.com/reel/DRq8sw9iJ…

Michuzi Blog أعاد

*DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM* Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi Kisiwani…

ccm_tanzania's tweet image. *DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM*

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi Kisiwani…

Loading...

Something went wrong.

Something went wrong.