MrSolarGrid's profile picture. Passionate solar energy activist ☀️ | Promoting clean and sustainable electricity solutions 🌍 | Let's shine a light together on renewable energy! #SolarEnergy

MrSolarGrid

@MrSolarGrid

Passionate solar energy activist ☀️ | Promoting clean and sustainable electricity solutions 🌍 | Let's shine a light together on renewable energy! #SolarEnergy

你可能會喜歡
置頂

solar street light installation kazi ikiendelea karibu tukuhudumie.

MrSolarGrid's tweet image. solar street light installation kazi ikiendelea karibu tukuhudumie.
MrSolarGrid's tweet image. solar street light installation kazi ikiendelea karibu tukuhudumie.

Ukiwekeza kwenye kujenga nyumba yako yakuishi, basi utakacho fuatisha ni tank ya kutunzia maji kisha mifumo ya ulinzi kama electri fence, CCT Camera, na Gate Motors sasa uwekezaji wako wote huo bila kuwa na chanzo kingine cha umeme kama Solar system maana yake hujamaliza bado.

MrSolarGrid's tweet image. Ukiwekeza kwenye kujenga nyumba yako yakuishi, basi utakacho fuatisha ni tank ya kutunzia maji kisha mifumo ya ulinzi kama electri fence, CCT Camera, na Gate Motors
sasa uwekezaji wako wote huo bila kuwa na chanzo kingine cha umeme kama Solar system  maana yake hujamaliza bado.

kama ushawahi jiuliza ni wapi utapata battery bora ya maisha yako.! basi battery bora zinaatikana kwetu @MrSolarGrid . battery ambayo inadumu kwanzia miaka 15 mpaka 20, miongomiwilihiyo warranty 10yrs, Ni battery ambazo zinakutumia taarifa zake kwenye smartphone yako .

MrSolarGrid's tweet image. kama ushawahi jiuliza ni wapi utapata battery bora ya maisha yako.! 
basi battery bora zinaatikana kwetu @MrSolarGrid .
battery ambayo inadumu kwanzia miaka 15 mpaka 20, miongomiwilihiyo
warranty 10yrs,
Ni battery ambazo zinakutumia taarifa zake kwenye smartphone yako .

Solar panel 555w kwa TZS 360,000 ofa mpaka tarehe 5/10/2024. Sasa nijukumu lako kuendana na ofa hii au laa.

MrSolarGrid's tweet image. Solar panel 555w kwa TZS 360,000 ofa mpaka tarehe 5/10/2024.

Sasa nijukumu lako kuendana na ofa hii au laa.

Chinese PV manufacturer wametangaza hivi karibuni watainunua kampuni nyengine ya utengenezaji solar ya Runergy kwa ( USD 140 millions ) Taarifa hii waliitoa usiku wa 13 August 2024 . Hivyo hii inakadiriwa kuwa ni iwekezaji wente gharama kubwa kwa mwaka 2024 credit PVTECH

Hivi unajua nishati ya umeme jua vile inaendelea kuishika dunia kwa kasi?. Maana ukizingatia hata gharama ya Solar panel [ PV ] imeendelea kuwa rafiki kwa watu wa vipato tofauti tofauti. Hivyo chukua hatua uondokane na Load shedding

MrSolarGrid's tweet image. Hivi unajua nishati ya umeme jua vile inaendelea kuishika dunia kwa kasi?.
Maana ukizingatia hata gharama ya Solar panel [ PV ] imeendelea kuwa rafiki kwa watu wa vipato tofauti tofauti.
Hivyo chukua hatua uondokane na Load shedding

MrSolarGrid 已轉發

Je ni wangapi wetu tunajua kuwa mkoa wa siginda ndio pahali kuna upepo wa kasi sana duniani? Cha ajabu hatutumii hii upepo kwa faida ya taifa,kwanini tuzizalishe nisati safi tokana na hii upepo?

MwauraRobert2's tweet image. Je ni wangapi wetu tunajua kuwa mkoa wa siginda ndio pahali kuna upepo wa kasi sana duniani? Cha ajabu hatutumii hii upepo kwa faida ya taifa,kwanini tuzizalishe nisati safi tokana na hii upepo?

Renewable energy Jitegemee kwenye umeme Kuondoa adha ya load shedding

MrSolarGrid's tweet image. Renewable energy  
Jitegemee kwenye umeme 
Kuondoa adha ya load shedding
MrSolarGrid's tweet image. Renewable energy  
Jitegemee kwenye umeme 
Kuondoa adha ya load shedding

Tukifanya kazi yako basi jua umefanya kazi na kampuni ambayo itakuwa bega kwa bega na wewe mteja pale kwenye ukaguzi na maendeleo ya mtambo wako bure kabisa katika kipindi chote cha maisha ya project yako. Karibu.

MrSolarGrid's tweet image. Tukifanya kazi yako basi jua umefanya kazi na kampuni ambayo itakuwa bega kwa bega na wewe mteja pale kwenye ukaguzi na maendeleo ya mtambo wako bure kabisa katika kipindi chote cha maisha ya project yako. 

Karibu.

Ni maswali gani ambayo siku zote huwa yanakutatiza kwenye mifumo ya Solar power!.

MrSolarGrid's tweet image. Ni maswali gani ambayo siku zote huwa yanakutatiza kwenye mifumo ya Solar power!.

hapa ndio mahali tunakusudia kuizungumzia Solar Net meter. vile inasaidiia kwa wale watu waliofunga mifumo ya solar kwa ajili ya biashara

MrSolarGrid's tweet image. hapa ndio mahali tunakusudia kuizungumzia Solar Net meter.
vile inasaidiia kwa wale watu waliofunga mifumo ya solar kwa ajili ya biashara

Kikubwa ni umeme na mwanga upatikane bila kujalisha ni porini ama niwapi.

MrSolarGrid's tweet image. Kikubwa ni umeme na mwanga upatikane bila kujalisha ni porini ama niwapi.

Kuna kitu tunakiita Solar net meter. Kinawahusu sana wale wanaozalisha umeme utokanao na solar system kisha wakawa wanauza kwa Grid. Hii kitu Net Meter inawahusu sana watu hawa ambao solar kwenye Roof zao nisehemu ya kipato. Sasa Je unaijua au ushawahi iskiaaa...?.

Solar inazidi kushika maisha ya watu wote kila nyanja.

MrSolarGrid's tweet image. Solar inazidi kushika maisha ya watu wote kila nyanja.

watu wanadhani solar project ni pesa nyingi sana kuweza kukamilisha mradiwake. Labda tukuambie ni pesa kidogo tuuu

MrSolarGrid's tweet image. watu wanadhani solar project ni pesa nyingi sana kuweza kukamilisha mradiwake.

Labda tukuambie ni pesa kidogo tuuu
MrSolarGrid's tweet image. watu wanadhani solar project ni pesa nyingi sana kuweza kukamilisha mradiwake.

Labda tukuambie ni pesa kidogo tuuu

United States 趨勢

Loading...

Something went wrong.

Something went wrong.