MsYNWA's profile picture. No bio

Ms_Liverpool🐓

@MsYNWA

No bio

Pinned

Kwa hiyo ndoa zao zitakuwa ivi🥹

MsYNWA's tweet image. Kwa hiyo ndoa zao zitakuwa ivi🥹

Ms_Liverpool🐓 reposted

Mwanzoni mapenzi yanavyo anza unaweza sema huyu ndiyo ametumwa na mungu, ila kadri siku zinapozidi kwenda ndiyo unagundua mungu hajui chochote kuhusu hayo mambo yenu 😅


Ms_Liverpool🐓 reposted

And the most blocked award goes to @SharonMontana20 🙌🙌😂Maana wee Kila Sehemu Niko blocked 😂


Ms_Liverpool🐓 reposted

Kumbe anafanya kazi saloon za massage Dodoma na kazi yake kukesha kwenye ma Bar na aliolewa akaachika🤣🤣🤣🤣 Hizo nyumba vipi? Haloooo kumbe umalaya damuni nilitaka kushangaa mmama uwe stara yako upost utumbo ule Jamvi la wageni weeeeeeeee😂😂🤣🤣


Ms_Liverpool🐓 reposted

Sina hela kama hivi lakini kama nimeolewa nina mume si nakula tu nakuvaa Jamani nioeni nimechoka kupambana 🤣🤣😂😂 Kula kwa jasho ni kugumu😂🤣


Ms_Liverpool🐓 reposted

Goodbye to a year that taught me I can lose anything at any time😔,……but God kept me ❤️‍🩹

MsFrancic's tweet image. Goodbye to a year that taught me I can lose anything at any time😔,……but God kept me ❤️‍🩹

Ms_Liverpool🐓 reposted

Kuna mualiko hapa Wa conference itafayika July 2026 Canada, unatakiwa watu 10 Tu ambao nitawaombea visa as a group, kama unajua huna ubinafsi DM nitakwambia requirements kama utakua nazo Mimi nitakufanyia application Tu free lakini ujue nitaomba kama group so


Ms_Liverpool🐓 reposted
Lizzie36021's tweet image.

Tuone umeshika nini mkononi?🤔

maila_kasorii's tweet image. Tuone umeshika nini mkononi?🤔


Ms_Liverpool🐓 reposted

Ninachowapendea wachaga wengi wao wakienda makwao hawapigi picha kuonyesha nyumba zilizopo kule, wanapiga picha kichumini😁❤️❤️


Ms_Liverpool🐓 reposted

Today is Xmas, but also the birthday of my beloved dad a man whose life was taken too soon by a cruel system, You would have turned 55 today,I carry your strength, your love, and your memory with me always,Happy Heavenly Bday, Dad, Justice will speak one day, Merry Christmas 🎄


Ms_Liverpool🐓 reposted

Najua haiwahusu ila kwa mwaka 2025 kitu pekee nilicho fanikiwa ni kuongeza kg 1 kwenye kg 58 na sasa nina kilo 59 😂

SharonMontana20's tweet image. Najua haiwahusu ila kwa mwaka 2025 kitu pekee nilicho fanikiwa ni kuongeza kg 1 kwenye kg 58 na sasa nina kilo 59 😂

Ms_Liverpool🐓 reposted

Tuna Mapenzi ya dhati Hatujui kucheat Tuna huruma Tunaona future Tuna hofu ya Mungu Hatuachiki hovyo labda uwe umechanganyikiwa N.k☺️

Wanawake wenye macho makubwa wana sifa gani??😋🤔

maila_kasorii's tweet image. Wanawake wenye macho makubwa wana sifa gani??😋🤔


Ms_Liverpool🐓 reposted

Si umri unaoongezeka, bali maarifa, subira na ujasiri. Happy Birthday to the strong soul in me.

fakhardinfahady's tweet image. Si umri unaoongezeka, bali maarifa, subira na ujasiri. Happy Birthday to the strong soul in me.

Ms_Liverpool🐓 reposted

Ndugu zangu Katika Kristo tumetoka Jumuiya Allah'Amdulillah Tuanze siku Kwa damu ya Bwana Yesu insha'Allah 🙏


Ms_Liverpool🐓 reposted

My job is to cover Africa accurately, not positively

LarryMadowo's tweet image. My job is to cover Africa accurately, not positively

Ms_Liverpool🐓 reposted

Like & Ritwit bila sababu Repost 560 ❤️ Larry Madowo

Sativa2555's tweet image. Like & Ritwit bila sababu

Repost 560 ❤️  Larry Madowo

Ms_Liverpool🐓 reposted

Repost(RT) For Larry, Likes For Eyo

gabyconscious's tweet image. Repost(RT) For Larry, Likes For Eyo
gabyconscious's tweet image. Repost(RT) For Larry, Likes For Eyo

Ms_Liverpool🐓 reposted

Aisee 🥺💔 Ile report ya CNN imefanya nilie upya 😭alafu mnakuja kusema sijui hakuna kilichotokea 💔ata Shetani anaogopa huyu maza Wallah


Ms_Liverpool🐓 reposted

#TajiriLaKihaya WAISLAMU Kwa WAKRISTO Sisi ni Ndugu…. Tumeoana, tunaishi pamoja,Sisi ni marafiki… tunafanya biashara pamoja,Tunazika pamoja,tunahudhuria sherehe pamoja… katika familia zetu ni mix ya Wakristo na waislamu… Kama mjomba wako sio dini tofauti basi atakuwa…


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.