Mr, HB
@MusaMusah3
Teacher
You might like
Utaskia baadae CHAMA NA BALEKE nimewakuta WANACHEKA CHOONI😁
"Tunaishi maisha ya shida na ufukara mkubwa tangu Azori Gwanda alipotoweka, familia haina msaada na hatujui kama yupo hai au alikufa, tunaomba Rais (Samia Suluhu) atusaidie mtoto wetu apatikane tutakufa kwa Mawazo."- Mama Mzazi wa Mwandishi Azory Gwanda, Eva Mpulumba (88)
Maafisa wa Ulinzi wa Marekani wameiambia Serikali ya Israel kwamba endeleeni na Operation na Meli za Wanamaji za Marekani katika Bahari ya Mashariki ya Mediterania zitatumika kujibu mapigo ya Makombora ambayo yanarushwa na Hezbollah kutokea Lebanon na kwamba Majeshi ya Marekani…
Haya kumekucha, Leo Nataka Retweet 100 tu niwakwangulie Voda, Tigo & Halotel. Twende kazi🔥🔥
Vipers kwenye mechi zake mbili za ugenini za kimataifa, wameshinda 1-0 dhidi ya Rayon Sports Rwanda, wameshinda 2-0 dhidi ya Yanga SC hapa Dar. Jamaa wana balaa.
Ruto asema akiingia madarakani, katika ufisadi hata kama ni rais atakabiliwa na mkono wa sheria bbc.in/3aQ2hfy
Serikali inabidi iingilie kati, Yanga wanafanya Usajili utadhani wanashiriki Uefa Champions league! Haikubaliki mamae.
Tunza vyema wazazi wako lea vyema family yako na moja ya malipo yake makubwa ni yeye Mungu mwenyewe kuwa muangalizi wa kazi zako na badala yake utaona tu vitu vinakua pasi na kutegemea na hakuna pahali utakosea naitwa 🗣hassan mwakinyo Asalaam alaykum..🙌🙌
Dozens of Russian weapons tycoons have faced no Western sanctions. It’s time for that to change. reuters.com/world/europe/d…
Mpaka sasa Man of the man ni FARID MUSSA.
Shughuli za Kijeshi hazina Siasa wala Maneno mengi ndani ya dakika 10 tu mambo yamekwisha. Tayari Jenerali Jacob John Mkunda amekwisha valishwa vyeo vyake vipya na Kula kiapo cha kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania.
Kilichonifurahisha zaidi ni Jamaa kutokutetema.
Mungu akupe Hitaji lako la Moyo Wewe Unaesoma tweet hii Na kuwalinda wale uwapendao🔥🙏
United States Trends
- 1. Veterans Day 394K posts
- 2. Tangle and Whisper 2,690 posts
- 3. Woody 14.2K posts
- 4. #stateofplay 13.7K posts
- 5. Toy Story 5 19.8K posts
- 6. Luka 86K posts
- 7. Nico 146K posts
- 8. Gambit 44.9K posts
- 9. AiAi 9,472 posts
- 10. Travis Hunter 4,159 posts
- 11. Payne 12.7K posts
- 12. SBMM 1,635 posts
- 13. Square Enix 5,707 posts
- 14. Tish 5,893 posts
- 15. Marvel Tokon 1,773 posts
- 16. #SonicRacingCrossWorlds 2,108 posts
- 17. Nights 55.7K posts
- 18. Antifa 197K posts
- 19. Sabonis 4,014 posts
- 20. De Minaur 3,624 posts
Something went wrong.
Something went wrong.