ProLearner77's profile picture. A Real Human. Being //

Reposts≠endorsements

Learner

@ProLearner77

A Real Human. Being // Reposts≠endorsements

98% wala hata siyo issue. Maana hata kura milioni 2, zinaweza kutoa hiyo 98%. Ujuha ni KURA Milioni 31.

Aliyeamua iwe 98% lazima kufeli alianza toka vidudu.



Learner reposted

Kuhusu Tanzania na ripoti ya CNN


Learner reposted

Tanganyika Law Society Sues Tanzanian Government Over Post-Election Curfew The Tanganyika Law Society (TLS), the mainland’s bar association, has filed a landmark constitutional petition against the Tanzanian government, challenging the legality of a controversial five-day…

TheChanzo's tweet image. Tanganyika Law Society Sues Tanzanian Government Over Post-Election Curfew

The Tanganyika Law Society (TLS), the mainland’s bar association, has filed a landmark constitutional petition against the Tanzanian government,  challenging the legality of a controversial five-day…

Wao NDIO Sheria. Kama ambavyo WALIFUNGA MAKANISA. Kama ambavyo WAMEFUNGUA MAKANISA. Wanaweza pia KUYAFUNGA TENA. Inategemea WAMEAMKAJE, na Inategemea WANAJISIKIAJE. Hakuna NCHI HAPO. LAWLESSNESS.


Learner reposted

Kwamba watu wanawaonea wivu kwasababu ya rasimali zenu!!!! Rasimali zipi? Bandari mmekabidhi kwa mwarabu Dubai. Madini wanamiliki watu wa nje wazungu na migodi midogo wachina. Vijana wa Tanzania wananufaika vipi na hizo rasimali tofauti na nyie na familia zenu? Wakitaka…


Learner reposted

South Africa's🇿🇦 former President Thabo Mbeki, through his foundation @TMFoundation_, says Tanzania🇹🇿 "currently lacks a legitimate government" as the one in place led by President Samia Suluhu Hassan "has been imposed upon the people through a combination of force and fraudulent…

KennedyWandera_'s tweet image. South Africa's🇿🇦 former President Thabo Mbeki, through his foundation @TMFoundation_, says Tanzania🇹🇿 "currently lacks a legitimate government" as the one in place led by President Samia Suluhu Hassan "has been imposed upon the people through a combination of force and fraudulent…
KennedyWandera_'s tweet image. South Africa's🇿🇦 former President Thabo Mbeki, through his foundation @TMFoundation_, says Tanzania🇹🇿 "currently lacks a legitimate government" as the one in place led by President Samia Suluhu Hassan "has been imposed upon the people through a combination of force and fraudulent…

Learner reposted

TZ Government Vs CNN's Larry Madowo

iGaddo's tweet image. TZ Government Vs CNN's Larry Madowo

Kujitoa AKILI. Kukaza FUVU. Kutumia AKILI ya MTU MMOJA ambaye bahati mbaya HANA. Collective Imbecility.

From Jambo TV

CCM ingevunja tu, hizo wanazoita SHULE ya UONGOZI huko KIBAHA. Maana kwasasa kuna GENGE zito kabisa CCM lililopewa MADARAKA, ambalo halijui chochote kubusu Mwalimu Nyerere wala historia ya NCHI hii.

Watanzania tunajiuliza huu ni ujirani gani? 1.Jirani zetu wanawahifadhi watu wanaopanga mipango ya kuihujumu nchi yetu. 2. Vyombo vyao vya habari vimejitolea kuharibu taswira ya nchi yetu kwa nguvu kubwa kwa kuzungumza habari zetu kwa mtazamo mmoja tu hasi. Kila mahojiano…

Aduiwayanga's tweet image. Watanzania tunajiuliza huu ni ujirani gani?

1.Jirani zetu wanawahifadhi watu wanaopanga mipango ya kuihujumu nchi yetu.
2. Vyombo vyao vya habari vimejitolea kuharibu taswira ya nchi yetu kwa nguvu kubwa kwa kuzungumza habari zetu kwa mtazamo mmoja tu hasi. Kila mahojiano…


Learner reposted

Alikuwa mjamzito wa miezi 3. Ameacha watoto wawili na mume waliomtegemea. Niliongea na familia yake lakini waliogopa kuhojiwa

LarryMadowo's tweet image. Alikuwa mjamzito wa miezi 3.

Ameacha watoto wawili na mume waliomtegemea.

Niliongea na familia yake lakini waliogopa kuhojiwa

Learner reposted

Tanzania inahitaji mwanzo mpya haraka – Taasisi ya Thabo Mbeki bbc.in/4oa5Cpl

bbcswahili's tweet image. Tanzania inahitaji mwanzo mpya haraka – Taasisi ya Thabo Mbeki
bbc.in/4oa5Cpl

Nyerere alijenga ABSOLUTE RULE akiamini watakao mfuata wote watakuwa na AKILI. Leo tumewekwa chini ya VIBUYU na tunalazimishwa kila sekunde kuishi kama tuko North Korea ili tusiwaudhi VIBUYU. Muda wote wanawaza WIZI, CONTROL, MAUAJI na UTEKAJI. SHERIA na KATIBA kwao ni KIKWAZO

Shahidi wa Jamhuri kwenye kesi ya ugaidi ya TAL hatakiwi kujulikana ila waliowapa taarifa CNN wanapaswa kujulikana, HAYA!



Learner reposted

Samia Suluhu Hassan kalazimisha kuingia madarakani kwa damu. Kaua maelefu. EU wamekata pesa, USA inafuata. SADC imekataa kumtambua. AU nayo imemkana. Kagame kapiga kimya. Ruto kasema hakuna democracy unashinda kwa 98%. Thabo Mbeki kasema serikali ya Samia ni illegitimate.…

Liberatus80's tweet image. Samia Suluhu Hassan kalazimisha kuingia madarakani kwa damu. Kaua maelefu. 

EU wamekata pesa, USA inafuata. SADC imekataa kumtambua. AU nayo imemkana. Kagame kapiga kimya. 

Ruto kasema hakuna democracy unashinda kwa 98%. Thabo Mbeki kasema serikali ya Samia ni illegitimate.…

Learner reposted

THABO MBEKI ON TANZANIA "This leads to the deeply troubling conclusion that the UR of Tanzania currently lacks a legitimate government, suggesting instead that the current administration has been imposed upon the people through a combination of force and fraudulent means."

awamisammy's tweet image. THABO MBEKI ON TANZANIA 

"This leads to the deeply troubling conclusion that the UR of Tanzania currently lacks a legitimate government, suggesting instead that the current administration has been imposed upon the people through a combination of force and fraudulent means."
awamisammy's tweet image. THABO MBEKI ON TANZANIA 

"This leads to the deeply troubling conclusion that the UR of Tanzania currently lacks a legitimate government, suggesting instead that the current administration has been imposed upon the people through a combination of force and fraudulent means."

Learner reposted

"I saw Larry Madowo issue, and how people have been murdered, ....i cried yesterday when i saw it."-Amb John CW


Learner reposted

Makanusho...

king_kinya's tweet image. Makanusho...

Learner reposted

Tanzanians risked their lives to speak to CNN for our investigation despite police warning against sharing that content. We only reported what we carefully verified and nobody has pointed out a single lie. Thanks to 🇿🇦 SABC News' @Oliver_Speaking for amplifying our work


Learner reposted

Deeply alarmed by reports out of Tanzania, where a police crackdown on protests has left hundreds dead. We must have an independent, transparent investigation and accountability. And the US must always support self-determination & a peaceful democratic process.

Geolocated videos from the scenes, audio forensic analysis of the shots fired and first-hand accounts from witnesses and victims document the brutality unleashed on young demonstrators following the re-election of President Samia Suluhu Hassan – who claimed she won with 98% of…

CNNAfrica's tweet image. Geolocated videos from the scenes, audio forensic analysis of the shots fired and first-hand accounts from witnesses and victims document the brutality unleashed on young demonstrators following the re-election of President Samia Suluhu Hassan – who claimed she won with 98% of…


Learner reposted

Samia And CCM in Tanzania

iGaddo's tweet image. Samia And CCM in Tanzania

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.