RadoThehacker's profile picture. RadoTheHacker

Rado Thehacker

@RadoThehacker

RadoTheHacker

Repost di Rado Thehacker

"Tukirejea tu kutoka kambi tunaangusha jezi kweli mtoko wa taifa" Afisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe akizungumzia siku yao ya kutambulisha jezi mpya kwaajili ya msimu wa 2023/2024. #JeziMpyaAzamFC #AzamSportsUpdates #AfisaHabari


Shusha handle tuambie zao gani🤔

RadoThehacker's tweet image. Shusha handle tuambie zao gani🤔

Nitajie sheria za huu mchezo

RadoThehacker's tweet image. Nitajie sheria za huu mchezo

MILLARDAYO anatuchukuliaje ayu anatuonaje anazani TANZANIA mzima akina MANDONGA🏋️

RadoThehacker's tweet image. MILLARDAYO anatuchukuliaje ayu anatuonaje anazani TANZANIA mzima akina MANDONGA🏋️

Bado tupo kwenye TRAB na TRAT

RadoThehacker's tweet image. Bado tupo kwenye TRAB na TRAT

Maisha mafupi🏋️


Repost di Rado Thehacker

Huwezi muachia Morisson simu yako apige nayo picha kama Mayele.


Repost di Rado Thehacker

Karibu Mzimbazi Cesar Lobi Manzoki

gift_macha's tweet image. Karibu Mzimbazi Cesar Lobi Manzoki

Repost di Rado Thehacker

Yanga jitambulisheni kwa RT moja ya heshima kwa Nkane tafadhali….

millardayo's tweet image. Yanga jitambulisheni kwa RT moja ya heshima kwa Nkane tafadhali….

Repost di Rado Thehacker

Stars yashuka viwango vya Fifa maulidkitenge.com/stars-yashuka-…


Repost di Rado Thehacker

Wimbo mzuri, Video kali na Ubunifu wa kutosha. Lakini kuteleza kwa waandaaji wa Video kusitufanye tumvunje Moyo kijana wetu. Naamini ameona kosa, amejifunza na wakati mwingine atakuwa makini zaidi.

ayubu_madenge's tweet image. Wimbo mzuri, Video kali na Ubunifu wa kutosha. Lakini kuteleza kwa waandaaji wa Video kusitufanye tumvunje Moyo kijana wetu. Naamini ameona kosa, amejifunza na wakati mwingine atakuwa makini zaidi.

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.