Selapi4's profile picture.

Pilase.

@Selapi4

Pilase. reposted

Wengine ndoto zetu sio kumiliki majumba na magari wengine ndoto zetu ni kuhakikisha tunakuja kuwa na uwezo wa kula tunachokitaka. TUSHACHOKA UGALI MAHARAGE DAILY📌🤲


Pilase. reposted

Ujumbe mzito sana 🙌🏾 Baraka kubwa zinahitaji maandalizi makubwa. Ombi bila maandalizi ni matumaini, sio mpango. Ukiomba mafanikio, andaa nidhamu. Mungu hatoi mavuno kwa mtu asiye na ghala. Kabla ya kupokea zaidi, hakikisha umejipanga kubeba zaidi.


Pilase. reposted

"Huwezi kutaka mavuno mengi wakati huna ghala la kuhifadhia mavuno", unapoomba mambo makubwa kwa Mungu hakikisha umeandaa ground kwa ajili ya kuyapokea mambo hayo makubwa🙌🏾 Mwl. Christopher Mwakasege


Pilase. reposted

Litume la akina Chande wasipotuambia hawa ni wa kikosi gani au mamluki kutoka nchi gani basi wasitusumbue 🙄 Mijitu ilikuwa ina terrorize wananchi ndani ya nyumba zao na kuwaua na kuwajeruhi! Hapo hakuna mwandamanaji wala nini Takataka ninyi @SuluhuSamia 🚮 hamna moral authority…


Pilase. reposted

Mwambe anadai alikua anaenda Nairobi kwa matibabu. Ni matibabu ambayo yalishindikana bongo. Anayo barua ya rufaa na appointment ya daktari. Anafika mpakani Namanga anazuiwa kuvuka. Ananyang'anywa passport na kuamriwa kurudi. Anaona kaonewa. Anaamua kufungua kesi Mahakamani ili…

Sativa255's tweet image. Mwambe anadai alikua anaenda Nairobi kwa matibabu. Ni matibabu ambayo yalishindikana bongo.

Anayo barua ya rufaa na appointment ya daktari. Anafika mpakani Namanga anazuiwa kuvuka. Ananyang'anywa passport na kuamriwa kurudi. 

Anaona kaonewa. Anaamua kufungua kesi Mahakamani ili…

Pilase. reposted

Mhe. @HecheJohn katoa ujumbe mfupi ila mzito sana.💪

HildaNewton21's tweet image. Mhe. @HecheJohn katoa ujumbe mfupi ila mzito sana.💪

Pilase. reposted

Katibu Mkuu wa CHADEMA Mhe. @jjmnyika


Pilase. reposted

Katambi wanaoharibu amani katika hii nchi ni Polisi na TISS, Wakiongozwa na Samia na baba yake Abdully (Kikwete)

Oktoba29's tweet image. Katambi wanaoharibu amani katika hii nchi ni Polisi na TISS, Wakiongozwa na Samia na baba yake Abdully (Kikwete)

Pilase. reposted

Nimependa sana, Waombolezaji waliopo msibani kwa Mzee Mtei wameambiwa wasimame wakati Mwigulu anaingia, wamegoma kusimama. Halafu unakujaje msibani na mitutu ya bunduki, unaogopa nini Bwana muuaji?😀


Pilase. reposted

Mbunge Msukuma Kazipiga Kavukavu na Mwekezaji mbele ya Kamera; kapigwa Ngumi kaokolewa. Msukuma anatakiwa kutofautisha kati ya chama na serikali, ukiwa upande wa chama hauna mamlaka ya kiserikali 🤣🤣


Pilase. reposted

Watanzania soon mtapata habari njema ambazo kidogo zitatufanya tuone dunia inajali mauaji ya kikatili tuliyoyapitia. Bookmark this tweet.


Pilase. reposted

VIDEO: Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile amemshambulia kwa maneno Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Butiku, akimtuhumu kuonesha chuki dhidi ya aliyekuwa Balozi Humphrey Polepole, ambaye hivi karibuni kumeripotiwa sintofahamu juu ya alipo.…


Pilase. reposted

Father Kitima anapiga kwenye mshono mbichi.


Pilase. reposted

Homa ya Ini ni HATARI kuliko UKIMWI.


Pilase. reposted

@tanpol tambueni kwamba vijana hawataki upumbavu hata kidogo. Na huu ni ujumbe tosha kwenu kwamba Vijana wamelichoka jeshi la polisi na mauaji yenu kwa vijana wasio na hatia.


Pilase. reposted

Hatua walizochukua wote tunazijua. 1. Walifuata watu majumbani na kuwapiga RISASI ZA VICHWA. 2. Waliuwa kwa RISASI ZA VICHWA vijana wote walioonekana barabarani wakiandmaana. 3. Walibaka na KULAWITI watu wote waliokuwepo majumbani. Hizi ndizo hatua ambazo IDI AMINI MAMA…

Sativa255's tweet image. Hatua walizochukua wote tunazijua.

1. Walifuata watu majumbani na kuwapiga RISASI ZA VICHWA.

2. Waliuwa kwa RISASI ZA VICHWA vijana wote walioonekana barabarani wakiandmaana.

3. Walibaka na KULAWITI watu wote waliokuwepo majumbani.

Hizi ndizo hatua ambazo IDI AMINI MAMA…

Pilase. reposted

Bro Hakuna tuzo ya Mfanyaji bora wa Ngono, Save Pesa zako na jitahidi kuwekeza siku hizi Uzee unawahi sana! Usiseme hukuambiwa!🫵🏽


Pilase. reposted

nchi inayoamua kuwa na mtu aliyewahi kuvamia chombo cha habari, akiwa na watu wenye silaha, kama waziri wa habari ni nchi iliyopoteza mwelekeo. ni sawa na kuwa na mlawiti wa watoto kama waziri wa maendelo ya jamii. ni nchi isiyojua inakokwenda. ni nchi ya kukatiwa tamaa!


Pilase. reposted

Kama hujui thamani ya uaminfu huwezi kuelewa madhara ya usaliti.


Pilase. reposted

Gen Zs in Uganda are not afraid of Museveni one appeared in his rally wearing a Bobi Wine regalia.


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.