Zingibermc
@zingibermc
👉https://youtu.be/Ga2zWhwq9Mc
You might like
UJUMBE WA MATESO KUTOKA KWA MH. TUNDU LISSU AKIWA GEREZANI UKONGA. “Ndugu zangu, Kwa wiki kadhaa sasa nimewekwa kwenye total isolation “upweke wa kulazimishwa” Wale wafungwa wenzangu waliokuwa nami kwenye selo moja, ambao walikuwa wamehukumiwa adhabu ya kifo, wametolewa wote…
😀😀😀
Shahidi kesi ya Mwenyekiti ameingia mitini. Hali ilivyokuwa akiambiwa shahidi👇👇
😀😀😀😀
Shahidi kesi ya Mwenyekiti ameingia mitini. Hali ilivyokuwa akiambiwa shahidi👇👇
FREE JOHN HECHE NOW…!! Kama nchi imewashinda kuiongoza kwa HAKIna KATIBA, semeni tujue moja… Ila sio kwa INCOMPETENCE na UONEVU huu wa Raia ambao sio tu wana exercise haki zao bali mnapaswa kuwalinda! Tujuzeni kama tunaongozwa na utawala wa KIIMLA au kama Tanzania ni POLICE…
"Kuanzia sasa ninakaa gerezani kwa sababu ya uchaguzi tu, kesi imekwishaaa" Mhe. @TunduALissu #NoReformsNoElection #FREELISSU #FREEHECHE
😀😀nimependa hyo chorus 😀😀😀
Kwa kuwa Afya Yako Ya Akili Ni ya Muhimu Usi:- 1.Usioe 2.Usibeti 3.Usikopeshe 4.Usioe 5.Usimuahidi Mwanamke Pesa 6.Usioe 7.Usimnunulie zawadi Nyingi 8.Usicheze Michezo (Vikoba) 9.Usiweke Pesa kwenye ile bank ya Tembo wa kijani 10.Usioe
😀😀oya
BASATA bn nao.. Pole sana @Roma_Mkatoliki
HABARI: Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeuzuia rasmi wimbo wa msanii Ibrahim Mussa, maarufu kama Roma Mkatoliki, unaoitwa “Teremsha Bunduki”, hadi utakapofanyiwa marekebisho. Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya BASATA, wimbo huo ulitolewa tarehe 10 Oktoba 2025 chini ya lebo za…
@Roma_Mkatoliki New Song is out🔥🔥 Ninasikiliza🎶Kesho bora ya mwanao🎶 Go support artists like Roma who speaks out truth! Link to the New Song👇🏽 youtu.be/e0m9Dv0iF2c?si…
😀😀😀
ROMA WIMBO MPYA WA MAANDAMANO Repost Mara nyingi uwezavyo.
Asante Sana Roma youtu.be/e0m9Dv0iF2c?si…
youtube.com
YouTube
ROMA Mkatoliki - Teremsha Bunduki (Official Audio)
Daah
Raila Odinga Will Not be Buried, atafufuka on Sunday together with Jaramogi Oginga Odinga, and other prominent politicians. A Prophet has revealed!
🤣🤣🤣🤣
Raila Odinga Will Not be Buried, atafufuka on Sunday together with Jaramogi Oginga Odinga, and other prominent politicians. A Prophet has revealed!
Katika mazingira kama haya ndio Kuna mtu anakwambia "Usalama wa nchi upo vizuri na mambo ni salama kabisa,raia wasidanganywe na Kuja kuichafua amani hii iliyo" Mtu mwenye maneno kama hayo Kwa namna yoyote Ile ni ametuona wapumbavu au YEYE NDIO MPUMBAVU. Second is best.
Mheshimiwa Rais, Maisha yangu yako katika hatari kubwa. Tafadhali, naomba kwa unyenyekevu mkubwa unisikilize. Ningependa kuishi ili niweze kuwaona watoto wangu wakikua, kuoa na kuolewa mbele ya macho yangu, na ikiwezekana, niweze kufurahia wajukuu wangu ikiwa Mungu atanijalia…
😭😭😭
Pastor Ezekiel of New Life Prayer Centre & Church mourns the passing of former Prime Minister Raila Odinga!
Hata kama tuna hofu kiasi gani lakini Kwa kitendo walichomfanyia huyu jamaa MDUDE, aaaisee hakifai kunyamazia Hawa viumbe wasiombe siku na zamu Yao ya kuwanyoa ifike kizazi hiki kinacho yashudia haya kikiwa hai. Sipati picha. May be RIP MDUDE 😭😭au Get well soon and be free.
Kaka @mdudenyagali sisi ndugu zako tunaendelea kutafuta. Haki zako usiku na mchana na kamwe hatutakubali haki zako ziporwe na watawala haramu. Kiongozi wetu @Mwabuk2Boniface ameendelea na jitihada za mapambano Mpaka kieleweke dhamira yetu ni nchi ya haki.
United States Trends
- 1. Giannis N/A
- 2. #SmackDown N/A
- 3. Sinner N/A
- 4. Adam 22 N/A
- 5. #OPLive N/A
- 6. Bucks N/A
- 7. #DragRace N/A
- 8. Pacers N/A
- 9. Spizzirri N/A
- 10. Jason Luv N/A
- 11. Kuzma N/A
- 12. Dabo N/A
- 13. #ZuffaBoxing01 N/A
- 14. Aaron Gordon N/A
- 15. Callum Walsh N/A
- 16. Doc Rivers N/A
- 17. Ryan Rollins N/A
- 18. Blackwood N/A
- 19. Antarctica N/A
- 20. Attitude Era N/A
Something went wrong.
Something went wrong.