steve
@SteveGeneral_
HIP HOP/ ARSENAL supporter/ AZAM FC-Timu Bora bidhaa bora🍦 GEMIN👨❤️👨/ NGONI tribe/ Born here here
You might like
Leo nilikuwa na maeneo ya rainbow kuna upande wa uswahilini kunaitwa unyasani nimekutana na Muha mmoja ananiambia katika vitu anajua maishani mwake ni maamuzi ya kutoka kigoma kuja Dar baada ya kuangalia movie ya Kanumba. oya nimecheka sana leo
Hili swala la wasanii kukopa chips na wasilipe kama upo mbali nao unaweza kuona kama maigizo tu kumbe
ukitaka kujua hawa watoto wa kike majumbani kwao wanateswa akija gheto kanalala kama kamefunga shule jana
DEAR PROMOTA, USINI BEEP! Ewe Promota, Muandaa Show, Sponsor, Manager, etc please it is 2026, kama hamuwezi fanya kazi ki-professional, basi msitafute PROFESSIONALS. Ukipata au Ukipewa Mawasiliano ya Representative wa Artist, muelezee Shida yako kikamilifu. Pia akikuuliza…
kuna yule braza mtaani ana mke watoto 3 kapanga kazi anazofanya sio rasmi mara kalima umemtuma umempa buku 2. Halafu kunae wewe una kipato rasmi una mipango kibao huna mke Huna mtoto Kila mwaka wa kwako. masiku nayo yanakata
katika story ambayo sijawahi kuielewa ni kuwa kichwa cha ng'ombe kina nyama nyingi 🤣
Leo barabarani traffic wengi sana na wana njaa sijui wanataka kurudisha Hela zao za Ada
nimepita KFC maeneo ya fire pale kuna wengi wamepanga foleni na bahasha za kaki usiku wanaohitajika 2 tu
Wakuu kwa ground kwa moto sana💔 Graduates wengi hawana ajira🥹 hapa nipo sehemu kuna usahili mshahara 300k elimu kuanzia la saba ila kuna degree sio chini ya 100 hadi mimi mgonga ulimbo na elimu yangu ndogo nimetetemeka😔 Mungu asaidie mapambano ya vijana kwa ground kunatisha🤲
Sijui next Album ya @dizastavina itauzwaje. Lakini kama itakuwa chini ya Laki 1. Nitanunua kwa Laki 1.🙏🫡
Wanangu Repost ifike Mbali tuchangie Familia kwa Chochote.🙏🙏
Tunaambiwa maarifa kibao yamefichwa katika vitabu, na kwa bahati mbaya wengi wetu hatuna kipaji cha usomaji. Ila nakuhakikishia kuna Maarifa mengi pia yanapatikana katika Muziki wa DIZASTA VINA Ushindwe wewe tuu kuyaokota 👊🏾 NB: "Hizi ngumu hawaDance wakina Angel Nyigu"
Umepandiwa dau, haiwezekani hausi gelo akuja na mpunga mrefu namna hiyo. Chunguza majirani/ndugu/ rafiki zako
Kasema nauli nakurudshia na ya kwenda haitaki anayo
United States Trends
- 1. #MLKDay N/A
- 2. Dr. Martin Luther King Jr. N/A
- 3. Don Lemon N/A
- 4. Good Monday N/A
- 5. #KUNxIndonesianidol N/A
- 6. Dr. King N/A
- 7. #Caixukun N/A
- 8. #MondayMotivation N/A
- 9. Happy MLK N/A
- 10. #MondayMood N/A
- 11. 25th Amendment N/A
- 12. FACE Act N/A
- 13. Dolly Parton N/A
- 14. Davos N/A
- 15. Adams N/A
- 16. Morocco N/A
- 17. DJ Moore N/A
- 18. Gizelle N/A
- 19. Brad Garlinghouse N/A
- 20. Board of Peace N/A
You might like
-
N O A H
@nuang_scu -
♊️, introvert
@thisiscrn -
Lugombo
@LugomboMaKaNTa -
Kawau
@Gideonkawau -
Nathan J. Mkunda
@Mkunda_ -
Wamuhira
@MishitaW -
Mkinga13
@Tracer1813 -
Momumo
@MomumoMaKaNTa -
Ezekiel
@MTOTOWAK -
Babu Bomba
@BabuBomba4 -
FIXY 🙅
@MLOZIfini -
Kefa Mkombola
@MkoKeNya -
Musa D.Njoghomi
@MusaNjoghomi -
🇸 🇼 🇦 🇭 🇮 🇧 🇦
@BStani92 -
PRAYFORTANZANIA
@mostoni1989
Something went wrong.
Something went wrong.