TravisIssack's profile picture. notre Dieu est fidèle🇹🇿.

Johnson

@TravisIssack

notre Dieu est fidèle🇹🇿.

Pinned

STOP LOSS is good elementary thing in your trading don't compete with market. "Market " is your friend same time your enemy 💰📈📉

Johnson reposted

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Mjadala wa Kimataifa wa Chakula wa Norman E. Borlaug ambao uliandaliwa na Taasisi ya World Food Prize Foundation katika Mji wa Des Moines, Iowa nchini Marekani tarehe 31 Oktoba, 2024.

Johnson reposted

My young brother Yusuf! You have truly left an imprint in my life, one that is incomparable. For that I’m grateful. May your soul rest in peace!🤲

LugumiL's tweet image. My young brother Yusuf! You have truly left an imprint in my life, one that is incomparable. For that I’m grateful. May your soul rest in peace!🤲

Johnson reposted

Nimewasili nchini Indonesia kwa Ziara ya Kitaifa ya siku 3, kufuatia mwaliko wa kaka yangu, Mheshimiwa Rais @Jokowi. Uhusiano wa Tanzania na Indonesia ambao mapema mwezi huu (Januari 13) ulitimiza miaka 59, umekuwa wenye tija kwa nchi yetu na mamilioni ya Watanzania hasa kwenye…

SuluhuSamia's tweet image. Nimewasili nchini Indonesia kwa Ziara ya Kitaifa ya siku 3, kufuatia mwaliko wa kaka yangu, Mheshimiwa Rais @Jokowi. Uhusiano wa Tanzania na Indonesia ambao mapema mwezi huu (Januari 13) ulitimiza miaka 59, umekuwa wenye tija kwa nchi yetu na mamilioni ya Watanzania hasa kwenye…

Johnson reposted

Rais Samia Suluhu Hassan ahudhuria Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar tarehe 12 Januari, 2024.

Johnson reposted

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Tunguu, Zanzibar tarehe 16 Januari, 2024.

ikulumawasliano's tweet image. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Tunguu, Zanzibar tarehe 16 Januari, 2024.

Gratified to join fellow former leaders in Accra for the 7th Africa Leadership Forum. We had candid and constructive discussions on promoting intra – African trade to unlock the agricultural potential of our continent. Key are homegrown solutions to challenges facing the sector.

jmkikwete's tweet image. Gratified to join fellow former leaders in Accra for the 7th Africa Leadership Forum. We had candid and constructive discussions on promoting intra – African trade to unlock the agricultural potential of our continent. Key are homegrown solutions to challenges facing the sector.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakati alipotembelea mradi wa kufua umeme wa Kikagati – Murongo (Megawatt 16), Mbarara nchini Uganda tarehe 25 Mei, 2023.

ikulumawasliano's tweet image. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakati alipotembelea mradi wa kufua umeme wa Kikagati – Murongo (Megawatt 16), Mbarara nchini Uganda tarehe 25 Mei, 2023.

It was a pleasure to meet former @UN Secretary-General Ban Ki-moon. Education is vital to empower individuals and communities. #Korea is an inspiration for #TransformingEducation and has the expertise and resources to advance education in @GPforEducation partner countries.

GPEChair's tweet image. It was a pleasure to meet former @UN Secretary-General Ban Ki-moon.

Education is vital to empower individuals and communities. #Korea is an inspiration for #TransformingEducation and has the expertise and resources to advance education in @GPforEducation partner countries.

2021 I had some assignments na Xinhua China News Agency nikapeleka barua na documents concerned wakaipokea but some days mbele he texted me WhatsApp kunipa updates ..I learned communication it's a best thing in attaining daily goals ambacho wanacho sie hatuna

MFANYABIASHARA mwenye asili ya Asia Utaagiza mzigo. Atakupatia namba yake. Atachukua namba yako. Akiweka order, atakupigia au atakutumia message. Mzigo ukianza kuletwa atakutaarifu. Mzigo ukifika atakutaarifu halafu atakuuliza kama unataka wakuletee nyumbani. Ni baraka 🙏

TravisIssack's tweet image.

Siku moja kwenye hafla IKULU Magogoni. Rais Samia akawasili kwenye meza yetu Rais Samia : “eeh na wewe unaitwa nani? Mimi: Mhe Rais mimi naitwa Prisca kishamba Mtangazaji wa vipindi vya michezo clouds Media na Sports lady wa nchi hii 😃

PKishamba's tweet image. Siku moja kwenye hafla IKULU Magogoni. Rais Samia akawasili kwenye meza yetu 

Rais Samia : “eeh na wewe unaitwa nani? 

Mimi: Mhe Rais mimi naitwa Prisca kishamba Mtangazaji wa vipindi vya michezo clouds Media na Sports lady wa nchi hii 😃

👏Ukipitia hii nakala utajifunza kitu! Tunaweza nufaika kwa ukubwa wa nchi kwa modern cattle keeping ikazalisha ajira na kuongeza Pato kwa taifa Developed countries hii sector ni moja ya sensitive sector kwa manufaa ya taifa yao tukijifunza kwa waliofanikiwa ni aspect muhimu

Only 60% of the cow's body is used for meat

Johnson reposted

Nimeshiriki na kuhutubia Mkutano wa Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa (UNGA) unaondelea Jijini New York nchini Marekani ambapo nimemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

dr_mpango's tweet image. Nimeshiriki na kuhutubia Mkutano wa Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa (UNGA) unaondelea Jijini New York nchini Marekani ambapo nimemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Education is an underestimated but critical pillar of #ClimateAction. Today, I joined the @GenUnlimited_ Global Leadership Council Meeting and discussed how we can unlock opportunities for a youth-powered green transition. #SkillsRightNow #TransformingEducation @MSFTIssues

GPEChair's tweet image. Education is an underestimated but critical pillar of #ClimateAction.

Today, I joined the @GenUnlimited_ Global Leadership Council Meeting and discussed how we can unlock opportunities for a youth-powered green transition.

#SkillsRightNow #TransformingEducation @MSFTIssues

Hahaha kipimo how level you can a conquire a problem in short period of time..in short how u're intelligence works kwa given time problem situation

Kama ajira ndo ivi, acha tu nikauze genge😂😂!! NMB 50 questions for 20minutes??? 🚮🚮

Down Fall ya Putin ni hii operation kivita nchini UkrainPentagon house (USA)walijua kucheza karat vizur mno Sas hiv ni kuforce raia waingie kwenye mzoz usio na tija Mmarekani anaamin ukiw kiongoz wa mda mrefu na hautaki kuachia ngazi haswa Developed countries unakuwa tishio kwa🌍

Mashirika ya Ndege ya Urusi yameamriwa kuacha kuuza tiketi kwa wanaume wenye umri kati ya miaka 18 na 65 ila tu kwa wenye ruhusa ya kusafiri kutoka Wizara ya Ulinzi. Watu wameandamana baada ya Ikulu ya Kremlin kutoa tangazo la kuhitajika kwa askari wa akiba kuongeza nguvu vitani

mshambuliaji's tweet image. Mashirika ya Ndege ya Urusi yameamriwa kuacha kuuza tiketi kwa wanaume wenye umri kati ya miaka 18 na 65 ila tu kwa wenye ruhusa ya kusafiri kutoka Wizara ya Ulinzi.

Watu wameandamana baada ya Ikulu ya Kremlin kutoa tangazo la kuhitajika kwa askari wa akiba kuongeza nguvu vitani

Johnson reposted

Inspired by @Evra advocacy to end violence against children and to invest in education for the most marginalized. Schools should be a safe place for all students to learn, hope, and build a better future. #RaiseYourHand #TransformingEducation

GPEChair's tweet image. Inspired by @Evra advocacy to end violence against children and to invest in education for the most marginalized. 
Schools should be a safe place for all students to learn, hope, and build a better future. #RaiseYourHand #TransformingEducation

Mashirika ya Ndege ya Urusi yameamriwa kuacha kuuza tiketi kwa wanaume wenye umri kati ya miaka 18 na 65 ila tu kwa wenye ruhusa ya kusafiri kutoka Wizara ya Ulinzi. Watu wameandamana baada ya Ikulu ya Kremlin kutoa tangazo la kuhitajika kwa askari wa akiba kuongeza nguvu vitani

mshambuliaji's tweet image. Mashirika ya Ndege ya Urusi yameamriwa kuacha kuuza tiketi kwa wanaume wenye umri kati ya miaka 18 na 65 ila tu kwa wenye ruhusa ya kusafiri kutoka Wizara ya Ulinzi.

Watu wameandamana baada ya Ikulu ya Kremlin kutoa tangazo la kuhitajika kwa askari wa akiba kuongeza nguvu vitani

🇹🇿&🇰🇪🤝

We will expand our engagement with Tanzania on trade, agriculture, security among other areas of interest, besides working together in the spirit of the East African Community for our mutual benefit.

WilliamsRuto's tweet image. We will expand our engagement with Tanzania on trade, agriculture, security among other areas of interest, besides working together in the spirit of the East African Community for our mutual benefit.

Huyu mzee aisee nahisi hii election lose imemuuma Sana ... being head of state sio poah raia zote wako under u're control

Why I won’t be available for William Ruto's inauguration.

RailaOdinga's tweet image. Why I won’t be available for William Ruto's inauguration.

Loading...

Something went wrong.

Something went wrong.