MATUKIO DAIMA Tv
@TvDaima
Habari wakati wote kwa weledi ,APP ya Matukio Daima ni Bure Pakua kupitia Google Play store kama unatangazo au habari ☎️0754 026 299
You might like
youtu.be/WN9mB2FCxVM?si… 🔴MATUKIO DAIMA MEDIA NA KAMPUNI YA ASAS WAPATA TUZO @VitusNkuna @kigogo2014 @fatma_karume @THRDCOALITION @MariaSTsehai @mdudechadematz @ChademaTz @kigogo2014 @ccm_tanzania @JamesMbowe4
Mbunge wa Kalenga Jackson Kiswaga akabidhi msaada wa Magari mawili ya wagonjwa kituo Cha Afya Nzihi na Kituo Cha Afya Kihwele huku akimshukuru Rais Dkt @SuluhuSamia Suluhu Hassan kupitia Waziri wa Afya @ummymwalimu Kwa kutoa Magari hayo .
Wapo wengi wanataka ubunge Kwa kutumia pesa na wanapesa nyingi kweli wakiwahonga pesa chukueni ndio fursa yenyewe hiyo ila Kwa ubunge nipeni Mimi ambae tayari nimekuwa nawaletea maendeleo Jimbo la Kalenga -Jackson Kiswaga mbunge wa Kalenga #HaflaYakukabidhigarilawahonjwaNzihi
SOMA HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMATATU MEI 6, 2024: @zittokabwe KUJITOSA URAIS 2025,KINANA ALIVYOZIJIBU HOJA 4 ZA CHADEMA, ZITTO KUJITOSA URAIS 2025, SILAHA MPYA YANGA | matukiodaimamedia.co.tz/2024/05/soma-h…
MNEC Salim Abri Asas asema ni wajibu wa Viongozi wa jumuiya ya wazazi kuendelea kusikiliza na kutatua Kero za makundi mbali mbali likiwemo kundi la Machinga,ametoa kauli hiyo leo wakati akimkaribisha katibu mkuu wa jumuiya ya wazazi Taifa Alli Hapi kwenye uwanja wa Mwembetogwa
Meneja wa Kanda wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya nyanda za juu kusini Boniface Shoo amesema TCRA hawajatoa maelekezo yoyote ya usajili wa makundi ya Whatsapp .
Meneja wa Kanda wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya nyanda za juu kusini Boniface Shoo akizungumza na watoa huduma za mawasiliano wakiwemo wamiliki vya mtandao ya kijamii na vituo vya radio mkoa wa Iringa Leo katika ukumbi wa Maktaba ya mkoa ya Iringa
youtu.be/iH9L001Ng5U?si… MPASUKO MKUBWA CHADEMA IRINGA ,TUNDU LISSU ASHUHUDIA @ChademaTz @kigogo2014 @ccm_tanzania
youtube.com/live/s2tHAe31y… @theroyalparks @SuluhuSamia @MsigwaGerson @WMaliasili @RuahaNP @ccm_tanzania
SOMA MAGAZETI LEO IJUMAA APRIL 26/2024:LEO NI MIAKA 60 YA MUUNGANO | matukiodaimamedia.co.tz/2024/04/soma-m… 🇹🇿TUJIVUNIE MIAKA 60 YA MUUNGANO WETU 🤝🤝🤝
youtube.com
YouTube
RC SERUKAMBA:TUUENZI MUUNGANO NA TUZIDI KUIOMBEA AMANI NCHI YETU YA...
USIKU WA MUUNGANO WAFANA SONGWE, RC CHONGOLO AWANG'ATA SIKIO WANANCHI JUU YA KUULINDA MUUNGANO. | matukiodaimamedia.co.tz/2024/04/usiku-… @chongolo_daniel @HappynessSeneda @SuluhuSamia @ccm_tanzania
youtu.be/TUFYWdCZyVs?si… @VitusNkuna @HildaNewton21 @TheRealJongwe @godbless_lema @freemanmbowetz @ChademaTz @CHADEMAZANZIBAR @mdudechadematz @rose_mayemba @MsigwaGerson @ccm_tanzania @ACTwazalendo
HABARI KUBWA MAGAZETINI LEO JUMAPILI APRIL 21/2024:NI YANGA KUIGAGADUA SIMBA SC TENA | matukiodaimamedia.co.tz/2024/04/habari… *PAKUA APP YA MATUKIO DAIMA* play.google.com/store/apps/det…
KISHINDO CHA SUGU UENYEKITI WA CHADEMA KANDA YA NYASA, MUNGAI ,KIMBE NA MGONAKULIMA TOKA IRINGA WAONGOZA TEAM SUGU . | matukiodaimamedia.co.tz/2024/04/kishin… @VitusNkuna @HildaNewton21 @ChademaTz @mdudechadematz @CHADEMAZANZIBAR @freemanmbowetz @tito_mboweni @godbless_lema @TunduALissu
United States Trends
- 1. Texas A&M 9,384 posts
- 2. South Carolina 10.5K posts
- 3. Marcel Reed 1,342 posts
- 4. Aggies 2,974 posts
- 5. Nyck Harbor N/A
- 6. Jeremiyah Love 2,978 posts
- 7. College Station 1,529 posts
- 8. Malachi Fields 1,234 posts
- 9. Elko 1,801 posts
- 10. Dylan Stewart N/A
- 11. #GoIrish 2,871 posts
- 12. Mike Shula N/A
- 13. Randy Bond N/A
- 14. Sellers 10K posts
- 15. TAMU 5,399 posts
- 16. Shane Beamer N/A
- 17. Northwestern 4,127 posts
- 18. #GoBlue 2,124 posts
- 19. Massie 107K posts
- 20. Navy 28.6K posts
You might like
-
Prince Evance Masonda
@evance_masonda -
N Y A N D A
@daudinyandalusi -
Ngomeni son.
@NgomeniErnest -
Thinking Humanity
@DullahKichwaWaz -
Jay
@jumadayday -
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
@Official_ElBike -
🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️Erick Key 🗝️
@Erick_GalaxyKey -
ATR Mtiling’ati
@Religion_ATR -
Rahma Salum
@RahmaSalum255 -
MLINGI E. E.
@eryamo -
Alkam
@Alkam82877024 -
Hassan zuberi😎
@dreamer_boytz -
pinto magari mwanza
@p_magari -
🅕︎🅞︎🅡︎🅔︎🅧︎ 🅣︎🅩︎
@Silumbu2 -
Its_jacky
@Itsjacky12
Something went wrong.
Something went wrong.