Eng. Samamba Awataka Wadau wa Sekta ya Madini Kutumia Maonesho ya Geita Kuelimisha Wananchi 📍Geita Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba, amewataka wadau wa Sekta ya Madini kutumia vyema fursa ya Maonesho ya Kimataifa ya Teknolojia ya Madini Geita…
Siku ya faru Tuwalinde faru kwa maendeleo ya utali wetu
Soko Jipya la Madini ya dhahabu na vito lafunguliwa Tanga Serikali yasogeza huduma kwa wachimbaji na wafanyabiashara ya madini.
Soko la Madini Laanzishwa Tanga Kusogeza Huduma kwa Wachimbaji ☑️ Mnyororo wa Thamani wa Madini Kubaki Tanga Kupitia Soko la Madini ☑️ Fursa Mpya kwa Wachimbaji Wadogo kuuza Dhahabu na Vito kwa bei stahiki na usalama wa uhakika. 📍Tanga, Imeelezwa kuwa kuanzishwa kwa Soko la…
*Dkt. Abbasi akagua ujenzi wa Makumbusho ya Jiolojia (Geopark) Karatu* Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbasi leo Septemba 18, 2025 ametembelea na kukagua ujenzi wa Makumbusho ya Jiolojia (Geopark) mjini Karatu.
MKUU wa Wilaya ya Karatu mkoani Arusha, Dkt. Lameck Karanga amesema Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi ya raia wa kigeni na waongoza watalii wanaorekodi maudhui yasiyofaa kwa kabila la Wahadzabe
Hebu semeni ukweli je nikwamba kiwango cha simba bado kipo chini? Ama ni mchezo tuu yanga ni wakawaida
United States 趨勢
- 1. Sesko 44.6K posts
- 2. Ugarte 15.6K posts
- 3. #SaturdayVibes 4,695 posts
- 4. Richarlison 20.9K posts
- 5. Gameday 13.7K posts
- 6. Amorim 64.3K posts
- 7. De Ligt 25.2K posts
- 8. Good Saturday 32.7K posts
- 9. #Caturday 4,828 posts
- 10. Casemiro 23.4K posts
- 11. Texas Tech 7,449 posts
- 12. Cunha 25K posts
- 13. Vicario 1,966 posts
- 14. Calen Bullock N/A
- 15. #TOTMUN 17.6K posts
- 16. Lando 42.2K posts
- 17. Trump Stadium 1,523 posts
- 18. #COYS 2,645 posts
- 19. Bortoleto 20.4K posts
- 20. Odobert 4,780 posts
Something went wrong.
Something went wrong.