Mr Butondo
@VButondo
LOCAL GOVERNMENT ADMINISTRATION OFFICER #Savebeforeuse
You might like
Unaowaona wanaheshimika Kuna kitu kinawaheshimisha ,tuendelee kupambana wanangu😢🗣️
Wasomi tusichague kazi kisa hatujazisomea wewe omba Kama vigezo vinakidhi ,Kisha ukishaingia kwenye mfumo rasmi pambana kupata kazi unayotaka wewe
Njia rahisi kabisa ya kufanikiwa ni kuanza na ulichonacho ,acha kusuburi upate kikubwa utapoteza hata kile ulichonacho
NYAKATI!!. Kubali kupitia kipindi usichokipenda ili kurahisisha kufika kipindi unachokitamani
Mtu mwingine ambaye unatakiwa uwe naye makini sana ni rafiki yako
Ukiacha ujuaji tu kila mtu anakitu cha kukufundisha na kukufanya uwe Bora zaidi @visitkidhapu
Ushindi wa kweli maishani ni kushinda hofu yako, weka bidii katika kila kitu unachokifanya.
Bila kuchoka Wanangu naomba Repost zenu.👊
AD Naomba retweets hapa wakuu 🚀 Airtel 5G – Kasi ya radi! 🚀 🌐 Kwa Nini Uchague Airtel 5G? ✅ Speed kali na ya uhakika muda wote ✅ Data bila kikomo – tumia bila hofu! ✅ Unganisha hadi vifaa 64 bila shida 💼 Vifurushi Nafuu kwa Mahitaji Yako: 📶 10 Mbps – TZS 70,000/mwezi…
Kabla mambo hayajawa mengi Wanangu naombeni Repost zenu hapa.
Ukiamka Anza na Sala, Utabarikiwa Kila Uingiapo na Utokapo🛐♡
Kwanini Vijana Siku hizii hawapendi kwenda Kanisani, Au kwanini Leo hujaenda Kanisani..?
Uongozi wa kampuni ya Dalali Mwanamke Real Estaste imempa zawadi ya kiwanja golikipa Moussa Camara kama zawadi baada ya kudaka mikwaju miwili ya penati kati ya tatu zilizopigwa na Al Masry katika mchezo wa mzunguko wa pili wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho. #WenyeNchi…
Mara nyingi matatizo tuliyonayo yanasababishwa na ndugu zetu wa karibu
United States Trends
- 1. 49ers N/A
- 2. Seahawks N/A
- 3. finn N/A
- 4. Super Bowl N/A
- 5. Good Sunday N/A
- 6. Cooks N/A
- 7. Niners N/A
- 8. Venus Williams N/A
- 9. Bo Nix N/A
- 10. #ALGS N/A
- 11. #JimmyGraduationDay N/A
- 12. Allen N/A
- 13. Stidham N/A
- 14. Congratulations Jack N/A
- 15. baekhyun N/A
- 16. #Toonami N/A
- 17. Purdy N/A
- 18. #Mashle N/A
- 19. sabrina N/A
- 20. Korda N/A
You might like
Something went wrong.
Something went wrong.