Japhari L. Kibona
@Visualizedboy
*The talented ones are the Blessed ones* 📌Graduated at UDOM (2017-2020) 📌BedADMAN 📌SIMBA SC, MAN UTD&R. MADRID FAN Am here to hang around with sociable ones
Was dir gefallen könnte
Drink where the horse drinks. A horse will never drink bad water. Make your bed where the cat lies down. Eat fruit that has been touched by a worm. Feel free to pick mushrooms that gnats land on. Plant a tree where a mole digs the ground. Build a house where a snake basks. Dig a…
There are people in your life who treat you like a power bank. They only come to you when they are low.
Uzuri wa kiburi ni namna kinavyokuandalia anguko lako kwa ustadi mkubwa. Kwanza, kinakujaza ujasiri uamini wewe ni mtu mwenye akili zisizo za kawaida, unaona wasichoona watu wote na kisha kinakufumba macho usiuone ukweli unaouhitaji kwa kukuletea watu waliobobea kukusifu kama…
"Tunapita katika wakati mgumu, nipa kumhakikisshia mama Naomi Mwakyoma Kaihula kwamba Chama chako hakitakengeuka, yale uliyoyaamini na uliyokufa ukipigania tutaendelea kuyapigania." Mhe. John Heche
Makaburi mengi siku hizi sio Uchawi tena bali MAPENZI, hisia zimezika ndoto za Wafalme wengi sana, kupenda kupitiliza na kuamini kupita kiasi amini ukiweza kucontrol hisia zako kwa Mwanamke basi umeweza kuitawala dunia yako.
Hii michango ya Harusi inatakiwa iwe kifamilia au kiukoo🙌sisi watubaki tubaki kwenye position ya kutoa zawadi tu. Sio mtu umefahamiana nae saizi kesho unamuomba mchango. Ukiona gharama ni kubwa USIOE😁
Who betrays you once, will betray you a thousand times. There is no need to drink the whole sea to realize that it's salty.
Dear Government! Hayupo anaeweza kushindana na nyinyi kwa lolote. Mnaweza kila kitu isipokuwa kubadili NYAKATI! Kwa sasa tupo nyakati za Akili-Akili sio Jino-Jino Najua mnajua kuwa kuna Wajinga wengi mtaani sababu hamjawaelimisha, Bad news!! Watu sasa wanaelimika bila kukaa…
1. Ni nani aliwahamasisha waafrika kupigania uhuru wao wengi wao wakiwa vijana (Nyerere, Jomo Kenyatta, Nkrumah, Kamuzu Banda, Mandela)? 2.Nani aliwahonga hela hawa wapigania uhuru vijana ili wapiganie uhuru?
"Unapolalamika mtoto wako amevunjwa mguu, ameuwawa ulishindwa nini kumkataza asiende kwenye maandamano"-; Samia Suluhu
The day I chose misogyny as a badge of honor. Ladies and gentlemen, I would like to introduce you to Benjamin Mendy, a former Manchester City soccer player. He was earning over $280,000 a week and was very good at what he did. He was arrested and accused of raping two women. As…
A loyal, respectful woman who makes your life easier and ask you for nothing, deserves everything.
Nasikia mama yenu anatoa matokeo (findings) za tume yake!!! Hakuna Tume hapo!!, Busara ilikuwa ni kutokubali kuwa wajumbe wa Tume sio kung’ang’ania!! Hawa wasipewe fursa ya kufunika kombe, mwaharamu apite!! Mwanaharamu asipite wakuu na kombe lisifunikwe!!! #hatutokimsibani
Mkewe aliuza mashine yake ya kukaushia nywele(dryer) ili kutuma muswada wake kwa posta, kisha akashuhudia ukishinda Tuzo ya Nobel. Gabriel García Márquez alikuwa na umri wa miaka 13 alipomwona Mercedes Barcha kwenye dansi ya shule nchini Colombia. Alikuwa mzuri, mwenye…
Ahsante sana Bi. Mkubwa. 👏
ukifanya jambo kwa umakini, juhudi na haki... hata kama watu hawata kupongeza basi utafurahishwa na matokeo yake
Mzee Kifimbo angekuwa na Nepotism....naamini mmoja wanawe wangekuwa MARAIS wa STANZA....wengine wangehudumu Uwaziri kwenye serikali ya Ruksa...na Mzee wa Lupaso.
Uwezo wetu wa kupenda unakwamishwa na uwezo wetu wa kukumbuka historia zetu. Tumenasa kwenye kitanzi cha historia ya aina ya watu tuliowahi kukutanana nao, maumivu waliyowahi kutupitisha, maneno waliyowahi kutuambia na mikosi tunayoamini wametuachia.
GUYS, TRAB na TRAT ni MIYEYUSHO Tanzania, taasisi za fedha na watoa huduma za kifedha wanatakiwa kutoa taarifa; report) kuhusu miamala mikubwa ya fedha taslimu kwa Kitengo cha Ujasusi wa Kifedha (The Financial Intelligence Unit - FIU). Miamala ya Fedha Taslimu (Cash…
Sisi kama kanisa ni wahanga, tulishapewa tahadhari tutapotezwa, hatupuuzi. Ametekwa Padri Jordan Kibiki Mafinga. Ametekwa Padri Padre Camillus. Tarehe 26 Novemba 2025 juzi mwanafunzi wa usista ametekwa Mwanza. Tusikilizwe ama tusisikilizwe tutaongea. Fr. Charles Kitima
United States Trends
- 1. Cowboys 72.4K posts
- 2. LeBron 99.5K posts
- 3. Gibbs 19.6K posts
- 4. Lions 89.6K posts
- 5. Pickens 14K posts
- 6. #heatedrivalry 21.7K posts
- 7. scott hunter 4,019 posts
- 8. Brandon Aubrey 7,173 posts
- 9. #OnePride 10.4K posts
- 10. Ferguson 10.7K posts
- 11. #DALvsDET 6,132 posts
- 12. Shang Tsung 24.7K posts
- 13. Eberflus 2,579 posts
- 14. CeeDee 10.4K posts
- 15. Goff 8,588 posts
- 16. fnaf 2 24.8K posts
- 17. Warner Bros 17.6K posts
- 18. Paramount 18.9K posts
- 19. Bland 8,525 posts
- 20. DJ Reed N/A
Was dir gefallen könnte
-
Nathan Paul Jr
@Fikra_pevu -
Makanya jr
@kayombo29 -
D E E 🇹🇿
@LubonaJr -
Shane McMahon
@ShaneShayo -
D I N G O O
@dingoopoul97 -
Mkataumeme
@Shabiki255 -
#Man_water🇧🇸
@Mc_walterII -
Mwalimu Tarajali
@nzagamba2015 -
hurryGun🔫
@6xtus -
HERO🧠
@HenryRobertJr1 -
Kerrigan
@clinton_lema -
JacobJooh
@ngengemkeniiiii -
Gustaph Lyakurwa.
@Gustaphlyakurwa -
Elias
@EliasEliasBoy -
Abuu Zahraa
@Ibn_Mustwapha97
Something went wrong.
Something went wrong.