BREAKFAST
@Walebbright
In truth we survival,we need love each other
You might like
Umeshiriki kuivimbisha
Leo Samia kawapa mashtaka ya UHAINI Watanganyika 291 kwa Mkoa wa DSM pekee. Kaagiza Vikosi vya utekaji kuingia mitaani kuendeleza na utekaji kwa kila mtu anayempinga. WATANGANYIKA TUSIPOMDHIBITI SAMIA ATATUMALIZA #09December.
Baada ya MAANDAMANO kuisha Achimwene SAFARI wametoa mabango ya Uchawa na kupromote dhahabu ambayo ndio kazi yao kuu. Waliwaweka SPIKA NA SAMIA kama sehemu ya SHOBO kwa watawala, kulikuwa na Tetesi za chini chini kuwa hizi Bus kuna mkono wa SPIKA TULIA. Kama mnavyojua mali…
Pale Mwembe Chai walikufa VIJANA Weengi Sanaaa hasa Waliokua Mbele Hili Nitukio Ambalo Mimi Mwenyewe Nimelishuhudia kwa Macho yangu Kwenye ile Noah Nyeupe isiyo na PlateNumber kuna Muuaji Mmoja alivalia Jezi ya Yanga aseeh!! yule Jamaa ni Mkatili Sanaa sidhani Kama ni Mtanzania
Master TINDWA ni mfano wa watanzania waliofariki kinyama sana. Alikuwa Nyumbani kwake, akapigwa RISASI na watu wa Jeshi la POLISI. Aina hii ya mauaji ndio imehusisha watu wengi sana. Mpaka sasa ni zaidi ya watu ELFU TATU wameuliwa na POLISI. Kwamujibu wa DIKTETA JIKE anasema…
Nakuchukia Mno Chalamila!! Unatia Hasira Sana!! Wewe ni mnufaika now wa kinachotokea!! But Coin inakwenda Kugeuka soon utakuwa Muhanga!! Mwisho wako utakuwa mbaya sana Chalamila!!
Niamini Mimi...!! Nurudia Tena Na Tena Kwamba Jamhuri Hii Kamwe Haitotawaliwa Na SAMIA,Kwa Muhura Mwingine Zaidi Ya Ule Aliorithi Kutokana Na Kifo Cha Rais Magufuli.
Angalia hii video kwa makini uone jinsi Polisi wanavouwa Ndugu zetu. Kumbe walizima data na umeme ili wafanye huu ukatili gizani walidhan itakuwa siri.
Imagine media inaogopa kiasi kwamba hata kutangaza tu kuwa mwanahabari wake ameuawa na @SuluhuSamia imeshindwa!!
Hakuna mgeni yoyote aliyekuja kujaribu kutoa maisha yake kwaajili ya Tanzania. 🇹🇿 WALIOFANYA MAANDAMANO NA FUJO ZOTE, NI WATANZANIA WENYEWE.🙏 kama mnataka Mungu aiponye nchi yetu kubalini makosa. Lakini mkiendelea kuficha moto ndani kwa tamaa za madaraka, ipo siku hii ichi…
Tunzeni hii
Mlochukua nchi mko wapi?😆😆 Hongera sana Mama Samia Suluhu Hassan 💚💛
TAARIFA MUHIMU Serikali inaendelea kutoa miili ya wapendwa wetu waliouwawa na Vikosi vya Samia Mahospitalini na kwenda kuwazika kwenye Makaburi ya pamoja. Watanganyika pigeni kelele kuzuia uhalifu huu, Samia ameua vijana wetu basi atupe haki ya kuhifadhi Miili yao kwa heshima.
Hivi mnaotetea ushenzi wa @SuluhuSamia mmengalia hizi video kweli mkaona alichokifanya?🤔🤔
Mambo ya "YUKREINI & RASHIA" huwa wanaitwa Wachambuzi ili kuyachambua kinaga ubaga. Ila yanayoendelea Nchini mwao sasa😥 wanageuka VIZIWI kwa VIPOFU VYOMBO VYA HABARI VIMEBAKWA VYOMBO VYA HABARI VIMEBAKWA VYOMBO VYA HABARI VIMEBAKWA VYOMBO VYA HABARI VIMEBAKWA 💔💔
Safu ya ulinzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Bw. Hamza Said Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi leo, imesema Bw. Johari ataapishwa keshokutwa Jumatano Novemba 5 saa nne asubuhi katika Ikulu ya…
Samia Suluhu Hassan is NOT my President. RT if you agree.
Sijui wanaogopa nini
Kwasasa JWTZ watakuwa wanajiona WASALITI sana kwa watanzania.
Bado najiuliza Vifo vyote hivi na udanganyifu huu ni kwa ajiri ya kumlinda Mtu mmoja. Hongera zako wewe ulindwaye kwa damu
United States Trends
- 1. #GMMTV2026 165K posts
- 2. Moe Odum N/A
- 3. #WWERaw 75.3K posts
- 4. Brock 40.6K posts
- 5. Panthers 37.6K posts
- 6. Bryce 21.1K posts
- 7. Finch 14.1K posts
- 8. Keegan Murray 1,486 posts
- 9. Timberwolves 3,830 posts
- 10. Gonzaga 4,051 posts
- 11. 49ers 42K posts
- 12. Canales 13.3K posts
- 13. TOP CALL 9,057 posts
- 14. AI Alert 7,716 posts
- 15. Alan Dershowitz 2,550 posts
- 16. #FTTB 5,908 posts
- 17. Penta 10.6K posts
- 18. Check Analyze 2,339 posts
- 19. Market Focus 4,656 posts
- 20. Niners 5,883 posts
Something went wrong.
Something went wrong.