You might like
It's Furahi Day Vibe at EB25...... Free Entrance,Free parking and Door Opens at 6pm๐ช
Kama bado huwezi kujitosheleza kifedha epuka sana kuwa na mtoto. Ukiweza kujitosheleza kifedha, kuwa makini sn unapochagua baba/mama wa mtoto wenu. Ushauri gani wa maisha unaweza kumpa kijana anayeingia rasmi kwenye ulimwengu wa kujitegemea?
Kama unaamini kuwa @kigogo2014 ndiye mwanaharakati bora na mwenye ushawishi mkubwa fanya Ku-Retweet ๐ mpaka imfikie ili tuendelee kuwa pamoja ๐๐ช
habari kutoka Arusha na Kilimanjaro zinatisha. Familia nzima zinaambukizwa na kifo kimoja kinafuata kingine. Lakini watu bado hawaelewi. @wizara_afyatz Tanzania, kwa nini hakuna kampeni kabambe kuhusu suala hili. Delta huambukiza zaidi, na huwa kali zaidi.
Kwa hiyo ukimuona Rais yuko eneo la umma na walinzi waliomzunguka baadhi yao wana mabegi mkononi, basi ujue sio document zile walizobeba. Ile ni sehemu ya mkakati wa dharura wa 'extraction' kama ikitokea Rais anashambuliwa. Kindly Retweet Habibu B. Anga To Infinity and Beyond
Seth na Rugemalila watakula pasaka wiki ijayo wakiwa nyumbani !๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ
Tunatamani sana kama vijana tupambane kivyetu bila kuipigia kelele serikali but kila kwenye mapambano yetu kikwazo inakuwa ni serikali,kodi nyingi,sheria za ajabu ajabu sasa tutatoboaje #VijanaKwanza
Tuseme asante Mungu kwa kutuamsha salama tena leo. Twende sasa tukatafute mkate wetu wa kila siku wanyonge wenzangu,na leo ikawe siku yetu tofauti Allah akajaalie Inshaallah ๐๐๐
๐ญ WATANZANIA WENZANGU.. ๐๏ธ Tunafaa Kuangazia yanayoendelea UGANDA na Kwingineko Ulimwenguni Kwa Kujifunza Namna BORA Kama Hii ya Kupigania HAKI Zetu. HATUPASWI Kuyatazama Matukio Haya kwa HOFU na WOGA~Bali Kwa UJASIRI MKUBWA Haswa!!๐ช Retweet ๐ Kama Unaunga Mkono Ujumbe Huu.
Matokeo yangu niliyokusanya Jimbo la Kigoma Mjini yanaonyesha kuwa nimeshinda Ubunge kwa kura 5218 licha ya maelfu ya Kura bandia. Lakini HAWATANITANGAZA! Wananchi wa Kigoma watakachoamua ndicho nitakachofuata
KURA ZA URAIS ZANZIBAR Jimbo la Mkoani Mwinyi -3,914 Maalim Seif -7,893
Mawakala wote Jimbo la Pangani wametolewa vituoni wakati wa kuhesabu kura. Mabomu yanapigwa muda hu na maboksi yanaingizwa vituoni.Uhalifu huu dhidi ya Haki ya Watanzania na Ukiukwaji mkubwa na taratibu za uchaguzi HAUKUBALIKI Wananchi mna Haki ya kuupinga kwa nguvu zote.
siku ya uchaguzi ni siku takatifu ya upigaji piga foleni piga Kura piga rangi kidole piga picha lakini siyo piga kampeni piga rafu piga watu piga risasi
Praying for my people in Zanzibar & Tanzania ๐๐พ And the families of the people who have been affected by the terrible loss of lives.
Natoa wito kwa Wazanzibari kesho tujitokezeni kwa wingi vituoni kupiga kura. Ushindi ni wetu pamoja na vituko vyote walivyofanya - @SeifSharifHamad
Unaua binadamu mwenzako ili uendelee kutawala milele, ni aibu kubwa sana yaani
United States Trends
- 1. Josh Allen N/A
- 2. Josh Allen N/A
- 3. Broncos N/A
- 4. Broncos N/A
- 5. Tony Romo N/A
- 6. Keon Coleman N/A
- 7. Sean Payton N/A
- 8. Sean Payton N/A
- 9. #BUFvsDEN N/A
- 10. James Cook N/A
- 11. Kincaid N/A
- 12. Jordan Humphrey N/A
- 13. Frank Crum N/A
- 14. Britain N/A
- 15. Piers N/A
- 16. Shakir N/A
- 17. Jake Lang N/A
- 18. Mecole Hardman N/A
- 19. Virginia N/A
- 20. Troy Franklin N/A
You might like
Something went wrong.
Something went wrong.