_Assad29's profile picture. Rule number #1: simple usicomplicate.

General

@_Assad29

Rule number #1: simple usicomplicate.

General reposted

Soon nitawapelekea Moto WASANII… na kisha kuweka context ya ushiriki wao as Enablers, Apologists & Sympathizers. Mambo ni mengi bado na digest Speech na Matamko ya MADELU. Na kuna angles zingine bado hatujazi analyze. SUBIRA SUBIRA No stone will be left untouched!


General reposted

Me naona kila mtu aendelee na maisha yake😂


General reposted

𝐔𝐏 𝐍𝐄𝐗𝐓🔰 🏆 #CAFCL 🆚 JS Kabylie 🇩🇿 (A) 🗓️ 28 November 2025 🏟️ Hocine Aït Ahmed ⏱️ 7:00PM🇹🇿 | 5:00PM🇩🇿 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

YoungAfricansSC's tweet image. 𝐔𝐏 𝐍𝐄𝐗𝐓🔰

🏆 #CAFCL
🆚 JS Kabylie 🇩🇿 (A)
🗓️ 28 November 2025
🏟️ Hocine Aït Ahmed
⏱️ 7:00PM🇹🇿 | 5:00PM🇩🇿

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko

General reposted

✅ Unbeaten ya mechi 21 za Mc Alger 🇩🇿 ilikatwa na Al Hilal 🇸🇩 ✅ Unbeaten ya mechi 12 za FAR Rabat 🇲🇦 ilikatwa na Young Africans 🇹🇿 ⏳ Azam Fc 🇹🇿 nao wana kazi ya kukata Unbeaten 11 za Wydad 🇲🇦

Iamfelixtz's tweet image. ✅ Unbeaten ya mechi 21 za Mc Alger 🇩🇿 ilikatwa na Al Hilal 🇸🇩 

✅ Unbeaten ya mechi 12 za FAR Rabat 🇲🇦 ilikatwa na Young Africans 🇹🇿 

⏳ Azam Fc 🇹🇿 nao wana kazi ya kukata Unbeaten 11 za Wydad 🇲🇦
Iamfelixtz's tweet image. ✅ Unbeaten ya mechi 21 za Mc Alger 🇩🇿 ilikatwa na Al Hilal 🇸🇩 

✅ Unbeaten ya mechi 12 za FAR Rabat 🇲🇦 ilikatwa na Young Africans 🇹🇿 

⏳ Azam Fc 🇹🇿 nao wana kazi ya kukata Unbeaten 11 za Wydad 🇲🇦

General reposted

Upo nyumbani unaanza bila Striker unajifanya Pep kwa mpia gani 😌


General reposted

Mechi zijazo (CAF CL & CAF CC) 🗓️ Novemba 28, 2025: JS Kabylie 🇩🇿 🆚 🇹🇿 Yanga Sc Azam Fc 🇹🇿 🆚 🇲🇦 Wydad 🗓️ Novemba 30, 2025 Singida BS 🇹🇿 🆚 🇿🇦 Stellenbosch Stade Malien 🇲🇱 🆚 🇹🇿 Simba Sc ✅ Mechi zote nne zitachezwa saa moja kamili usiku.

Iamfelixtz's tweet image. Mechi zijazo (CAF CL & CAF CC)

🗓️ Novemba 28, 2025:
JS Kabylie 🇩🇿 🆚 🇹🇿 Yanga Sc
Azam Fc 🇹🇿 🆚 🇲🇦 Wydad

🗓️ Novemba 30, 2025
Singida BS 🇹🇿 🆚 🇿🇦 Stellenbosch
Stade Malien 🇲🇱 🆚 🇹🇿 Simba Sc

✅ Mechi zote nne zitachezwa saa moja kamili usiku.
Iamfelixtz's tweet image. Mechi zijazo (CAF CL & CAF CC)

🗓️ Novemba 28, 2025:
JS Kabylie 🇩🇿 🆚 🇹🇿 Yanga Sc
Azam Fc 🇹🇿 🆚 🇲🇦 Wydad

🗓️ Novemba 30, 2025
Singida BS 🇹🇿 🆚 🇿🇦 Stellenbosch
Stade Malien 🇲🇱 🆚 🇹🇿 Simba Sc

✅ Mechi zote nne zitachezwa saa moja kamili usiku.

General reposted

Best caption wins! 🤔


General reposted

Jumapili Kareem

Neypaul01's tweet image. Jumapili Kareem

General reposted

Kiroho Safi Wanangu naomba repost yako hapa 🫡

ze_mandevu's tweet image. Kiroho Safi Wanangu naomba repost yako hapa 🫡

General reposted

Sigh!


General reposted

Nadhani kilichobaki tuwaombee tu msamaha wale wote waliokamatwa ama kutekwa kwa makosa ya kimtandao kwa kufanya uchochezi wawasamehe tu kwani walifanya kwa mihemko. Tumekubali Sisi ni Wajinga.😭

ze_mandevu's tweet image. Nadhani kilichobaki tuwaombee tu msamaha wale wote waliokamatwa ama kutekwa kwa makosa ya kimtandao kwa kufanya uchochezi wawasamehe tu kwani walifanya kwa mihemko. Tumekubali Sisi ni Wajinga.😭

Hata wana wa Israel hawakupata tabu kidogo ndo wakaamka, muda bado wakati ukifika wala hamtawahitaji kina PYALA MASTER kuwaambia nini cha kufanya mtafanya tu wenyewe. MUDA BADO


General reposted

Updates ✍️ ➡️ Wananchi 🔰 Young Africans wanamkosa Pacöme Zouzoua 🇨🇮 dhidi ya Mtibwa Sugar hii leo. ❌ Professor sio sehemu ya kikosi kilichotolewa.

Iamfelixtz's tweet image. Updates ✍️

➡️ Wananchi 🔰 Young Africans wanamkosa Pacöme Zouzoua 🇨🇮 dhidi ya Mtibwa Sugar hii leo.

❌ Professor sio sehemu ya kikosi kilichotolewa.
Iamfelixtz's tweet image. Updates ✍️

➡️ Wananchi 🔰 Young Africans wanamkosa Pacöme Zouzoua 🇨🇮 dhidi ya Mtibwa Sugar hii leo.

❌ Professor sio sehemu ya kikosi kilichotolewa.

General reposted

Jamhuri Vs. Tundu A.M Lissu Kesi ya uhaini, Jamhuri Vs. Tundu A.M Lissu inatarajiwa kusikilizwa mfululizo kuanzia Jumatatu, saa 4 asubuhi 06.10.2025 hadi 24.10.2025 na kuendelea kuanzia 03.11.2025 hadi 12.11.2025. Kesi itasikilizwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya…

IAMartin_'s tweet image. Jamhuri Vs. Tundu A.M Lissu 

Kesi ya uhaini, Jamhuri Vs. Tundu A.M Lissu inatarajiwa kusikilizwa mfululizo kuanzia Jumatatu, saa 4 asubuhi 06.10.2025 hadi 24.10.2025 na kuendelea kuanzia 03.11.2025 hadi 12.11.2025. 

Kesi itasikilizwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya…

General reposted

🚨 💣 UPDATES 👇 ➡️ Coastal Union imekamilisha usajili wa beki wa kati Jonas Manyama kutoka Chipukizi ya Zanzibar. Two-year deal signed ✍️ ✅ It's all Done & Sealed 🔒

Iamfelixtz's tweet image. 🚨 💣 UPDATES 👇

➡️ Coastal Union imekamilisha usajili wa beki wa kati Jonas Manyama kutoka Chipukizi ya Zanzibar.

Two-year deal signed ✍️

✅ It's all Done & Sealed 🔒
Iamfelixtz's tweet image. 🚨 💣 UPDATES 👇

➡️ Coastal Union imekamilisha usajili wa beki wa kati Jonas Manyama kutoka Chipukizi ya Zanzibar.

Two-year deal signed ✍️

✅ It's all Done & Sealed 🔒

General reposted

Nadharia Mbili: (A). Dunia ni uwanja wa mashindano kugombea rasilimali chache. Kuna wakati Lazima mwenzio akose; ili wewe upate. (B). Dunia ina fursa za kutosha kwa watu wote. Kila mtu anaweza kufanikiwa bila kumshusha mwenzake. Wewe ni mtu wa Imani A au Imani B?


General reposted

Hivi huwa mkifika maeneo mnaandika "Nani yupo hapa.. aje hapa" lengo lenu haswa huwa ni nini ?


General reposted

🚨 💣 UPDATES 👇 ➡️ Mshambuliaji wa Simba Sc 🇹🇿 Lionel Ateba (26) 🇨🇲 bado hajaaga na hajaondoka kambini Egypt 🇪🇬. Kwasasa anaendelea na program za timu kama kawaida. ⏳Mchakato wake wa kuondoka Simba bado unafanyiwa kazi ili kubaki na wachezaji 1️⃣2️⃣ wa kigeni.

Iamfelixtz's tweet image. 🚨 💣 UPDATES 👇

➡️ Mshambuliaji wa Simba Sc 🇹🇿 Lionel Ateba (26) 🇨🇲 bado hajaaga na hajaondoka kambini Egypt 🇪🇬.

Kwasasa anaendelea na program za timu kama kawaida.

⏳Mchakato wake wa kuondoka Simba bado unafanyiwa kazi ili kubaki na wachezaji 1️⃣2️⃣ wa kigeni.
Iamfelixtz's tweet image. 🚨 💣 UPDATES 👇

➡️ Mshambuliaji wa Simba Sc 🇹🇿 Lionel Ateba (26) 🇨🇲 bado hajaaga na hajaondoka kambini Egypt 🇪🇬.

Kwasasa anaendelea na program za timu kama kawaida.

⏳Mchakato wake wa kuondoka Simba bado unafanyiwa kazi ili kubaki na wachezaji 1️⃣2️⃣ wa kigeni.

General reposted

Klabu ya Young Africans SC (Yanga) imetoa ufafanuzi kuhusu mchango wa Shilingi milioni 100 uliotolewa katika Harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 12 Agosti 2025, kufuatia mjadala ulioibuka kwenye mitandao ya kijamii na miongoni mwa wanachama ambapo Klabu hiyo imeweka wazi…

millardayo's tweet image. Klabu ya Young Africans SC (Yanga) imetoa ufafanuzi kuhusu mchango wa Shilingi milioni 100 uliotolewa katika Harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 12 Agosti 2025, kufuatia mjadala ulioibuka kwenye mitandao ya kijamii na miongoni mwa wanachama ambapo Klabu hiyo imeweka wazi…

General reposted

Tumewasili salama jijini Dar es Salaam🔰 #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko

YoungAfricansSC's tweet image. Tumewasili salama jijini Dar es Salaam🔰

#timuyawananchi 
#daimambelenyumamwiko
YoungAfricansSC's tweet image. Tumewasili salama jijini Dar es Salaam🔰

#timuyawananchi 
#daimambelenyumamwiko
YoungAfricansSC's tweet image. Tumewasili salama jijini Dar es Salaam🔰

#timuyawananchi 
#daimambelenyumamwiko
YoungAfricansSC's tweet image. Tumewasili salama jijini Dar es Salaam🔰

#timuyawananchi 
#daimambelenyumamwiko

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.