adammdemu
@adam_mdemu
| Entrepreneur | Arsenal | Yanga |
You might like
"You will never change your actions until you change your mind." ~ Van Crouch #KSK_Balozi
Neno
Ukimpenda mtu mwambie; Usipepese macho. Asipokuelewa, muoneshe kwa vitendo. Asipokuelewa, achana naye. Hastahili kupendwa. Duniani watu hupenda wasipopendwa. Ila ukibahatika kupendwa, shukuru na changamkia fursa! Maana utajapenda usipopendwa! #NjeYaBox
Ni mwendo wa barakoa TU Wapendwa VAAENI BARAKOA! Msilete ubishi - IFUNIKE MDOMO NA PUA! Kama kitambaa kiwe kisafi cha cotton cha angalau layer 2 Usisuburi mpk usimamiwe na serikali Tumia utashi wako! Ukivaa barakoa unatimiza kaulimbiu #JikingeWakingeWengine #TutaelewanaTu
Forever
POTUS has to rethink. @WHO @realDonaldTrump @ChinaDaily @bbcswahili
Halting funding for the World Health Organization during a world health crisis is as dangerous as it sounds. Their work is slowing the spread of COVID-19 and if that work is stopped no other organization can replace them. The world needs @WHO now more than ever.
Kibongo bongo, it's the time of giving back to the community, share the little you have on the fighting against #COVID19Tanzania Rihanna, Jack Dorsey Donate $4.2M to Aid Domestic Violence Victims – Rolling Stone rollingstone.com/music/music-ne…
rollingstone.com
Rihanna, Jack Dorsey Donate $4.2 Million to Aid Domestic Violence Victims Amid COVID-19 Crisis
Rihanna and Jack Dorsey have donated $4.2 million to aid victims of domestic violence in Los Angeles during the COVID-19 stay-at-home order.
We ought to change our mindsets. @CarolNdosi @MarekaMalili @Kiganyi_ @fatma_karume @MariaSTsehai
Waguzi na madaktari wamepata athari mbaya, ikiwa na vidonda kwa kuvaa mask muda wote waliokuwa wakihudumia wagonjwa wa Corona. Mungu wape nguvu wauguzi. Pia aiponyoe Dunia na janga hili.
Let us ask the Lord to give us good priests: hardworking men, men of prayer, who are close to God’s people.
The Feast of the Sacred Heart reminds us that God loved us first: He is always waiting for us, welcoming us into His heart, into His love.
It's not too late.
Everyone of you has something unique and special that you can do, and you should use it for the glory of God.
Ndugu zangu - nawaomba tutumie wiki hii kuchukua hatua kuhifadhi mazingira. Tupaze sauti. Tuwe askari wa zamu kuripoti na kuzuia waharibifu. Kila mtaa na kijiji una[paswa kuwa na] Kamati ya Mazingira. Jiunge au Anzisha Kamati ya Mazingira mtaani/kijijini kwako. #NitunzeNikutunze
Correct
Kama unajishughulisha kwa bidii,trust me kuna kipindi pesa itakutembelea. Hakuna kipindi muhimu kama hiki hasa kwenye choices&decision making. Vijana wengi hujikuta kwenye mtego wa starehe lakini kama you are smart enough weka pesa yako kwenye viwanja na mashamba. Thank me later.
Karius sobbing uncontrollably & apologising to Liverpool supporters. Should be remembered the effect that mistakes, doubt & then depression had on the late Robert Enke. It is sport, & it means a lot but it is just sport & all of us make mistakes
God loves us in a way that crushes all loneliness and isolation.
Moja ya hatua muhimu ya maendeleo ya watu ni food security. Upatikanaji wa chakula unachochea ufanisi wa shughuli zingine za kiuchumi. Vijana wakiwa ndio nguvu kazi ya taifa tusisite kupeleka nguvu zetu kwenye kilimo kwa ajili ya maendeleo. #ChukuaHatua
We are Christians to the extent that we allow Jesus Christ to live in us.
United States Trends
- 1. CarPlay 2,942 posts
- 2. Cynthia 94.7K posts
- 3. Osimhen 36.8K posts
- 4. Katie Couric 5,921 posts
- 5. #WorldKindnessDay 14.5K posts
- 6. Black Mirror 3,901 posts
- 7. Gabon 98K posts
- 8. Megyn Kelly 14.8K posts
- 9. #LoveDesignEP7 178K posts
- 10. Massie 95.2K posts
- 11. RIN AOKBAB BEGIN AGAIN 177K posts
- 12. Sheel N/A
- 13. #NGAGAB 11K posts
- 14. Pat Bev N/A
- 15. Bonhoeffer 3,117 posts
- 16. Seidler N/A
- 17. #DirtyDonald 3,683 posts
- 18. Senator Fetterman 5,436 posts
- 19. Vine 14.4K posts
- 20. Woody Johnson N/A
Something went wrong.
Something went wrong.