d_nshange's profile picture. LAWYER| LEADER| INTERNATIONAL TRADE, OIL & GAS, IP &H.RIGHTS EXPERT| INNOVATOR| RESEACHER|COMMUNITY DEVELOPER| A SMALL GIRL WITH BIG GOD &PROUD CATHOLIC
❤️ 🇹🇿

DOREEN NSHANGE

@d_nshange

LAWYER| LEADER| INTERNATIONAL TRADE, OIL & GAS, IP &H.RIGHTS EXPERT| INNOVATOR| RESEACHER|COMMUNITY DEVELOPER| A SMALL GIRL WITH BIG GOD &PROUD CATHOLIC ❤️ 🇹🇿

DOREEN NSHANGE أعاد

Pray the Holy Rosary everyday 🙏

SkyVirginSon's tweet image. Pray the Holy Rosary everyday 🙏

DOREEN NSHANGE أعاد

Jesus, I trust in You 🥹

JustAdaugoijele's tweet image. Jesus, I trust in You 🥹

DOREEN NSHANGE أعاد

"Do small things with great love." Mother Teresa

RosaryQuotes123's tweet image. "Do small things with great love." 
Mother Teresa

DOREEN NSHANGE أعاد

“When parents pray for their children, God hears them, angels move, and great things happen. Pray with faith, and do not worry." - St. Padre Pio

Faithful2Pray's tweet image. “When parents pray for their children, God hears them, angels move, and great things happen. Pray with faith, and do not worry."

- St. Padre Pio

DOREEN NSHANGE أعاد

We lost Pope Francis 2 months ago

CatholicCassie's tweet image. We lost Pope Francis 2 months ago

DOREEN NSHANGE أعاد

Kristo Yesu, katika maumbo ya Mkate na Divai, anaendelea kuwa kati yetu, huku akitukirimia nguvu ya kushinda kishawishi cha kukata na kujikatia tamaa, tayari kutekeleza mapenzi ya Mungu katika maisha yetu. Leo tutenge muda kuandamana nae katika mitaa yetu, na kwenye familia zetu.

SalekwaJ's tweet image. Kristo Yesu, katika maumbo ya Mkate na Divai, anaendelea kuwa kati yetu, huku akitukirimia nguvu ya kushinda kishawishi cha kukata na kujikatia tamaa, tayari kutekeleza mapenzi ya Mungu katika maisha yetu. Leo tutenge muda kuandamana nae katika mitaa yetu, na kwenye familia zetu.

DOREEN NSHANGE أعاد

Ekaristi Takatifu ni Zawadi kubwa na ya pekee kwa Kanisa Katoliki, wengine wote hawana hii. Asante Mungu Kwa kunifanya Mkatoliki.🙏🙏🙏

noah_mwamfupe's tweet image. Ekaristi Takatifu ni Zawadi kubwa na ya pekee kwa Kanisa Katoliki, wengine wote hawana hii. 

Asante Mungu Kwa kunifanya Mkatoliki.🙏🙏🙏

DOREEN NSHANGE أعاد

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2025.

ikulumawasliano's tweet image. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2025.
ikulumawasliano's tweet image. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2025.
ikulumawasliano's tweet image. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2025.
ikulumawasliano's tweet image. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2025.

DOREEN NSHANGE أعاد

"Kwenye maisha watu wengi hukosa kufanikiwa pamoja na uwezo wao mkubwa sababu ya kukosa unyenyekevu na utii." ~Togolani Mavura.

SikilizaTogolan's tweet image. "Kwenye maisha watu wengi hukosa kufanikiwa pamoja na uwezo wao mkubwa sababu ya kukosa unyenyekevu na utii." ~Togolani Mavura.

DOREEN NSHANGE أعاد

Balozi wa Tanzania Vatican mwenye Makazi Berlin, Ujerumani, Hassani Iddi Mwamweta, amewasilisha salamu za pongezi na kheri kutoka kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Baba Mtakatifu Leo wa XIV. Kwenye salamu hizo, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amempongeza Papa Leo…

millardayo's tweet image. Balozi wa Tanzania Vatican mwenye Makazi Berlin, Ujerumani,  Hassani Iddi Mwamweta, amewasilisha salamu za pongezi na kheri kutoka kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Baba Mtakatifu Leo wa XIV.

Kwenye salamu hizo, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amempongeza Papa Leo…

DOREEN NSHANGE أعاد

BINTI SALAMA PROGRAM Leo BFI yazindua rasmi mpango wa kila mwaka wa kutoa elimu ya hedhi salama na taulo za kike kwa wasichana wenye uhitaji. Kauli mbiu: "Hedhi salama inaanza na mimi" Kwa heshima, usalama na hadhi ya binti!

buildfuturetz's tweet image. BINTI SALAMA PROGRAM
Leo BFI yazindua rasmi mpango wa kila mwaka wa kutoa elimu ya hedhi salama na taulo za kike kwa wasichana wenye uhitaji.
Kauli mbiu: "Hedhi salama inaanza na mimi"
Kwa heshima, usalama na hadhi ya binti!

DOREEN NSHANGE أعاد

"Kanisa ni Takatifu, sio kwa sababu ya matendo yetu, bali kwa sababu kichwa chake ni Kristo mwenyewe ambaye ni Mtakatifu. Kazi yetu sisi ni kuishi kwa kumfuata Yeye, sio kuunda Kanisa kwa mfano wetu" ~ Papa Leo XIV

AlesandroJR's tweet image. "Kanisa ni Takatifu, sio kwa sababu ya matendo yetu, bali kwa sababu kichwa chake ni Kristo mwenyewe ambaye ni Mtakatifu. Kazi yetu sisi ni kuishi kwa kumfuata Yeye, sio kuunda Kanisa kwa mfano wetu" ~ Papa Leo XIV

DOREEN NSHANGE أعاد

Sleep well Gentle Giant Charles Martin Barnabas Hilary Ignas Nkwanga Kizee Shkopashambena Mzangizangi - ‘Tishio’, Mzee wa Macharanga, Uncle Chaaz It was an absolute pleasure to have worked with you.


DOREEN NSHANGE أعاد

Peace be with you all! This is the first greeting spoken by the Risen Christ, the Good Shepherd. I would like this greeting of peace to resound in your hearts, in your families, and among all people, wherever they may be, in every nation and throughout the world.


DOREEN NSHANGE أعاد

Out of My Control

Holy__Bible1's tweet image. Out of My Control

DOREEN NSHANGE أعاد

I woke up in the middle of the night with this song in my spirit. I believe this is a song of the Spirit for someone today and in this season. Locate the lyrics of this song, and just declare them with conviction and faith. Sing it as a testament of what He has already done. And…

nathanielblow's tweet image. I woke up in the middle of the night with this song in my spirit. 
I believe this is a song of the Spirit for someone today and in this season. Locate the lyrics of this song, and just declare them with conviction and faith. Sing it as a testament of what He has already done. And…
nathanielblow's tweet image. I woke up in the middle of the night with this song in my spirit. 
I believe this is a song of the Spirit for someone today and in this season. Locate the lyrics of this song, and just declare them with conviction and faith. Sing it as a testament of what He has already done. And…

DOREEN NSHANGE أعاد

Alizaliwa Chicago USA akasoma Seminary kisha Chuo akasoma Degree ya Mathematics. Akaamua kuwa padri wa shirikika la mtakatifu Agustino kisha akasoma PhD ya Sheria hasa za Kanisa huko Italy. Mzungumzaji wa lugha 6 aliyefanya kazi nchi kadhaa. Huyu ni Papa Leo XIV na ana miaka 69.

ayubu_madenge's tweet image. Alizaliwa Chicago USA akasoma Seminary kisha Chuo akasoma Degree ya Mathematics. Akaamua kuwa padri wa shirikika la mtakatifu Agustino kisha akasoma PhD ya Sheria hasa za Kanisa huko Italy. Mzungumzaji wa lugha 6 aliyefanya kazi nchi kadhaa. Huyu ni Papa Leo XIV na ana miaka 69.

DOREEN NSHANGE أعاد

NENO LA BARAKA KWA BABA MTAKATIFU MPYA LEO XIV - Mpendwa karibu umtakie neno la Baraka na matashi mema Kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Leo XIV ambaye leo amechaguliwa kuwa Khalifa mpya wa Mtakatifu Petro.

radiomariatz's tweet image. NENO LA BARAKA KWA BABA MTAKATIFU MPYA LEO XIV
- Mpendwa karibu umtakie neno la Baraka na matashi mema Kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Leo XIV ambaye leo amechaguliwa kuwa Khalifa mpya wa Mtakatifu Petro.

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.