freengo9's profile picture. Chap

fty

@freengo9

Chap

Pinned

✅️✅️

freengo9's tweet image. ✅️✅️

fty reposted

BADO TUNAENDELEA KUJIVUNIA MATUNDA YA ROYAL TOUR,KARIBU TANZANIA 🇹🇿 ✍️ ​120 Tour Agents from the United States of America were impressed by the tourist attractions in Serengeti National Park, located in the Mara Region.


fty reposted

Maandamano ya amani huko Tabata 🥹 These were CRIMINALS.. simple


fty reposted

Unaandamana ukiona kiduka Cha ice cream umezama 😂😂😂😂 Njaa mbaya vijana wamewarudisha nyuma vijana wenzao bila sababu za msingi


Tumejikuta tukipoteza mvuto wa kisasa kwa sababu tumekuwa tukichanganya siasa na harakati. Unajua, kati ya siasa na harakati kuna mstari mwembamba sana unaozitenganisha — na mara nyingi watu hushindwa kutambua tofauti hiyo.


Wanaharakati wa Bongo mara nyingi huongozwa na hisia tu — leo wako huku, kesho kule. Wengi wao hawana ajenda maalum wala mwelekeo thabiti; kazi yao kubwa ni kubwabwaja maneno mitandaoni bila vitendo vya maana.


fty reposted

The sworn in ceremony of the 7th President of URT is underway Wale wanaharakati wana lolote?Jeshi linawalinda kuandamana au vipi? MTAJUA HAMJUI YAANI...

kigogo2014's tweet image. The sworn in ceremony of the 7th President of URT is underway

Wale wanaharakati wana lolote?Jeshi linawalinda kuandamana au vipi? 

MTAJUA HAMJUI YAANI...

fty reposted

Samia Suluhu Hassan ameapishwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Sherehe zilizofanyika kwenye Viwanja vya Kijeshi Dodoma. Mbali ya Rais Samia, Dkt. Emmanuel John Nchimbi naye amekula kiapo cha kuwa Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.…


fty reposted

You need to know CHADEMA is not representing all Tanzanians! Kwa hiyo ni sawa tu hawa kama hawamtambui but 32m Tanzanians wamemchagua na kesho anaapishwa kama Rais wa 7 wa Tanzania 😀

This post is unavailable.

fty reposted

Huyu ni nani?

kigogo2014's tweet image. Huyu ni nani?
This post is unavailable.

fty reposted

Uchaguzi Tanzania 2025: Viongozi wa Afrika wampongeza Rais Suluhu kwa ushindi wake bbc.in/4qDWc81

bbcswahili's tweet image. Uchaguzi Tanzania 2025: Viongozi wa Afrika wampongeza Rais Suluhu kwa ushindi wake
bbc.in/4qDWc81

fty reposted

Samia Suluhu vows to crack down on protesters


Kweli kabisa.......


Ulisoma shule gani bro maana mathematics 000000

This post is unavailable.

fty reposted

Kwamba Zimepigwa Kura MILIONI 32 Na samia kapata Kura MILIONI 31 (97%). Dunia nzima imeona hakuna watanzania milioni 32 waliopiga kura. Huu UCHAFUZI unatakiwa kupingwa kwa nguvu zote. Hatuwezi kuongozwa na mtu aliekataliwa nchi nzima na dunia imeona. Hawa watu hawana nia njema…


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.