haniupekee's profile picture. District Commissioner - Rungwe, Mbeya

Jaffar Haniu

@haniupekee

District Commissioner - Rungwe, Mbeya

Lupepo Sekondari Rungwe

haniupekee's tweet image. Lupepo Sekondari Rungwe

Leo tarehe 05 Januari, 2024 nimezindua Zahanati ya Ilenge katika Kata ya Kyimo ikiwa ni jitihada za kuwasogezea wananchi huduma ya afya karibu.

haniupekee's tweet image. Leo tarehe 05 Januari,  2024 nimezindua Zahanati ya Ilenge katika Kata ya Kyimo ikiwa ni jitihada za kuwasogezea wananchi huduma ya afya karibu.

Tarehe 14 Oktoba, 2023 nilipata fursa ya kutembelea Ziwa Ngozi ikiwa ni moja ya vivutio vya Utalii wilayani Rungwe. #utaliiwandani

haniupekee's tweet image. Tarehe 14 Oktoba, 2023 nilipata fursa ya kutembelea Ziwa Ngozi ikiwa ni moja ya vivutio vya Utalii wilayani Rungwe. #utaliiwandani
haniupekee's tweet image. Tarehe 14 Oktoba, 2023 nilipata fursa ya kutembelea Ziwa Ngozi ikiwa ni moja ya vivutio vya Utalii wilayani Rungwe. #utaliiwandani
haniupekee's tweet image. Tarehe 14 Oktoba, 2023 nilipata fursa ya kutembelea Ziwa Ngozi ikiwa ni moja ya vivutio vya Utalii wilayani Rungwe. #utaliiwandani
haniupekee's tweet image. Tarehe 14 Oktoba, 2023 nilipata fursa ya kutembelea Ziwa Ngozi ikiwa ni moja ya vivutio vya Utalii wilayani Rungwe. #utaliiwandani

Kheri ya Siku ya Wafanyakazi

haniupekee's tweet image. Kheri ya Siku ya Wafanyakazi

Jaffar Haniu hat repostet

I congratulate the people of Kenya on their peaceful general election and the subsequent announcement of Dr @WilliamsRuto as President-elect. We look forward to continue working together with our brothers and sisters in Kenya to strengthen our historically close ties. Tuko pamoja


Jaffar Haniu hat repostet

Ninapenda kuwapongeza kwa dhati wananchi wa Kenya kwa kushiriki uchaguzi wao mkuu kwa amani na utulivu, ambapo matokeo yake ni Dkt @WilliamsRuto kutangazwa kuwa Rais mteule wa Kenya. Tanzania itaendeleza undugu na ushirikiano wa Kihistoria na Kenya uliodumu miaka na mikaka.


Jaffar Haniu hat repostet

Nawapongeza Madaktari na Wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kufanikisha upasuaji wa kuwatenganisha watoto mapacha walioungana. Hii ni hatua muhimu katika utekelezaji wa mpango wa serikali kuboresha matibabu ya kibingwa. Nawaombea watoto Rehema na Neema wapone haraka.

SuluhuSamia's tweet image. Nawapongeza Madaktari na Wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kufanikisha upasuaji wa kuwatenganisha watoto mapacha walioungana. Hii ni hatua muhimu katika utekelezaji wa mpango wa serikali kuboresha matibabu ya kibingwa. Nawaombea watoto Rehema na Neema wapone haraka.

Jaffar Haniu hat repostet

Katika siku hii ya Wanawake Duniani, nawapongeza wanawake wote kwa mchango wenu katika kujenga uchumi, kustawisha jamii na kudumisha amani na utulivu. Napenda kuwatia moyo na ari zaidi, na nawaahidi ushirikiano katika kuendelea kuyatimiza majukumu hayo kwa faida ya Taifa letu.


Jaffar Haniu hat repostet

Nimesikitishwa sana na kifo cha Dkt. @mwelentuli, mwana wa Afrika ambaye ameitumikia vyema Tanzania ndani na nje ya mipaka. Pole zangu zimfikie Mzee John Malecela na familia yake yote wakati huu wa majonzi mazito. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Amin.


Jaffar Haniu hat repostet

Hongera Wana CCM wenzangu kwa chama chetu kutimiza miaka 45. Chini ya CCM Tanzania imepata mafanikio makubwa kiuchumi, kijamii, kisiasa na kiutamaduni. Tumedhihirisha kuwa CCM ni chama sahihi kuongoza dola. Tuendelee kusimamia misingi yetu ili kutimiza matarajio ya Watanzania.

SuluhuSamia's tweet image. Hongera Wana CCM wenzangu kwa chama chetu kutimiza miaka 45. Chini ya CCM Tanzania imepata mafanikio makubwa kiuchumi, kijamii, kisiasa na kiutamaduni. Tumedhihirisha kuwa CCM ni chama sahihi kuongoza dola. Tuendelee kusimamia misingi yetu ili kutimiza matarajio ya Watanzania.

Jaffar Haniu hat repostet

We follow with a lot of excitement the Beijing 2022 Olympics and Paralympic Winter Games. We wish the Government and the People of China best wishes in hosting this world greatest event.


Jaffar Haniu hat repostet

Nawashukuru nyote kwa salamu za kheri katika siku yangu ya kuzaliwa. Nimeuona upendo wenu, na ahsanteni kwa Dua zenu. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia afya njema na umri. Ninawaahidi kuendelea kufanya kazi kwa juhudi na maarifa katika kuitumikia nchi yetu. Kazi Iendelee.


Jaffar Haniu hat repostet

Kheri ya siku ya kuzaliwa kwa Mheshimiwa Dkt. Salim Ahmed Salim, mtumishi mahiri wa umma wa Watanzania, Afrika na Dunia kwa zaidi ya miongo minne. Katika siku hii adhimu ya kumbukumbu ya miaka 80 ya kuzaliwa kwako, tunakushukuru kwa utumishi uliotukuka kwa nchi yetu.

SuluhuSamia's tweet image. Kheri ya siku ya kuzaliwa kwa Mheshimiwa Dkt. Salim Ahmed Salim, mtumishi mahiri wa umma wa Watanzania, Afrika na Dunia kwa zaidi ya miongo minne. Katika siku hii adhimu ya kumbukumbu ya miaka 80 ya kuzaliwa kwako, tunakushukuru kwa utumishi uliotukuka kwa nchi yetu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Ikulu Zanzibar.

haniupekee's tweet image. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Ikulu Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi Kiwanda cha Nguo cha Basra Textile Mills Ltd kilichopo Zanzibar katika shamrashamra za kuelekea Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

haniupekee's tweet image. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi Kiwanda cha Nguo cha Basra Textile Mills Ltd kilichopo Zanzibar katika shamrashamra za kuelekea Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Salamu za Pole.

Nimeshtushwa na vifo vya Watu 14 wakiwemo Wanahabari 6 vilivyotokea leo asubuhi baada ya gari lililokuwa katika msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kugonga na Daladala. Poleni Wafiwa, Wanahabari na jamaa wote. Mungu aziweke mahali pema roho za Marehemu na Majeruhi wapone haraka.



Jaffar Haniu hat repostet

Nimeshtushwa na vifo vya Watu 14 wakiwemo Wanahabari 6 vilivyotokea leo asubuhi baada ya gari lililokuwa katika msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kugonga na Daladala. Poleni Wafiwa, Wanahabari na jamaa wote. Mungu aziweke mahali pema roho za Marehemu na Majeruhi wapone haraka.


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.