jacksonwaitare's profile picture. waitare#

Mwanajesus🙏

@jacksonwaitare

waitare#

Pinned

Shika hii na usiiache mwanaume 👊epuka maswali haya Kwa mwanamke ambaye uko nae kweny mahusiano ya bila ndoa yaani uchumba 1- mbn kmy sana 2- ulikuwa unaongea na Nani? 3- mbn cm yako inatumika sana 4- mbn unanikatia cm 5- inamaaan missed call na text zangu huzioni 🕺🔥


Haya sasa kumekucha bingwa WA dunia🤣


𝐓𝐔𝐊𝐔𝐓𝐀𝐍𝐄 𝐒𝐀𝐀 𝟓:𝟎𝟎 𝐔𝐒𝐈𝐊𝐔 #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko

jacksonwaitare's tweet image. 𝐓𝐔𝐊𝐔𝐓𝐀𝐍𝐄 𝐒𝐀𝐀 𝟓:𝟎𝟎 𝐔𝐒𝐈𝐊𝐔

#timuyawananchi 
#daimambelenyumamwiko

Kuna mtu añapanga kuishi na Mtu Wako milele😂


Maisha NI mazuri ukiwa na furaha , Ila NI mazuri zaidi watu wengine Wakiwa na furaha Kwa sababu yako📌


What happend?????but Amani NI Bora kuliko haki 🕺🕺🕺🕺

jacksonwaitare's tweet image. What happend?????but Amani NI Bora kuliko haki 🕺🕺🕺🕺

Leo nimegundua ;;Maumivu ya mapenzi NI makubwa mno kuliko kunyimwa haki , sjaona mtu analia kisa tumenyimwa penalty dhiddi yaMorocco 🤣🤣🤣🤣


Mwanajesus🙏 reposted

Watu wamepotea sababu ya kujitoa kwa ajili ya Tanzania. Tusiwaangushe. Hakuna kurudi nyuma

mangekimambi's tweet image. Watu wamepotea sababu ya kujitoa kwa ajili ya  Tanzania. Tusiwaangushe. Hakuna kurudi nyuma

"" Usije kuharibu Amani ya moyo wangu, Kwa kuniambia habari za watu walionisema. Kaa nazo wewe .walikwambia Wewe nasio mimi*


Hivi mwakan ntakuwa wapi jamn au Nd cm zinaanza kuita 🧑‍🔬 chamsingi tuombe mungu Tu🤝

jacksonwaitare's tweet image. Hivi mwakan ntakuwa wapi jamn au Nd cm zinaanza kuita 🧑‍🔬 chamsingi tuombe mungu Tu🤝

Ukikuta mdada kampost mpenz wake bas jua anafany hivy ili kumkomoa mtu kwakuwa bad moyo unampend ila Tu yupo pale basi liende😅😅😅


Kitu pekee x wangu naweza kukukumbuka Zaid bas ntakae kuwa nae asiwe fundi kukuzid 🤫


Sio Wote Tunaweza Kufanya Mambo Makubwa, Lakini Tunaweza Kufanya Mambo Madogo Kwa Upendo 🫶 Mkubwa.


NI vema kufanya Jambo unaloona NI sahihi Kwa wakati uliopo kamwe usitazame wakati ujao , furahi unapopata nafasi 😛maan siku zijazo utakuwa mgeni WA kifuta machozi😭


Jitahd sana furaha yako bas usioneshe Kwa unaempenda jitahd kudeka ili azid kuamin mapenz NI utoto👩‍❤️‍👨


🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰 🏆 #CRDBBankFederationCup ⚽️ Young Africans SC🆚JKT Tanzania 📆 18.05.2025 🏟 CCM Mkwakwani 🕖 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko


Ndoto yangu siku moja NI kuwa moja ya matajiri wanaokopwa na serikali💪 am faiting all th time👏 Kama utaish Nani Kwa hii ndoto nione 💚zakutosha


Kuna wangapi wanazaliwa alafu hawatimiz ndoto zao 😓 Ila huyu katimiza ndoto zake Kama ------?


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.