+255 🇹🇿
@jacobolaizer
Absolutely || @SimbaSCTanzania @realmadrid & @LFC || Activist of my life.
You might like
Degree is just a piece of paper, Real education is seen in Behavior.
Naam hoja ijibiwe kwa hoja, Larry Modowo anasema walicho kiandika kuhusu Tanzania wanaweza kukithibitisha.
Statement kama hii ilitakiwa itolewe na chama tawala chenye ridhaa ya kimchongo wa kulinda uhai wa wananchi wake... Ila badala yake page ya chama kinabaki kuimba pambio za MAMA yupo kazini🤔
Actives, gather here let's follow ourselves😭
“Mama analia amesikitika sana, hakujua mauaji yalikuwa makubwa hivi” Boo frigging HOO! Hii narrative mpya hamuwezi kutuuzia ninyi 🚮 Jibuni kwanza: 👉🏽 Alipojiapiisha military base ya Ngerengere alikuwa hajasikitika bado? 👉🏽 Tulipokuwa tunapost hapa video na picha alikuwa…
No account should have less than 20k followers Drop handles 📸
Tundu Lissu alipinga MASHAHIDI WA SIRI kwenye kesi yake ya UHAINI—serikali ikasimamia kuwepo kwa MASHAHIDI WA SIRI na ikapitisha. Leo CNN wanae NESI ameomba Taarifa zake binafsi zisitolewe (SHAHIDI WA SIRI) GIRISHONI kupitia serikali mnakuja kukebehi ufanisi wa CNN kuwepo kwa…
Aljazeera waliwaalika. Jama wakachimba. Of course, Girishoni Msigwa hana intellectual bandwidth ya ku engage kwenye mijadala muhimu. Swaaleko, watumishi wenzangu! Endeleeni kupuliza upepo. Mzigo wa kuku uko wazi!
Katika maelezo yote aliyotoa Gerson Msigwa leo hakuna mahali amesema kwamba CNN wamesema uongo ila anacholalamika ni kwamba kwanini wamerusha maana wao walitaka iwe siri Dunia isijue kuwa Idd Amin Mama ameuwa Watanganyika zaidi ya elfu kumi kwa risasi.
Hatimae Serikali ya Tanzania imeomba kutendewa HAKI NA CNN. Kumbe HAKI ni ya muhimu kuliko AMANI.
Hivi kuna uhusiano wa mtu kua shabiki wa Yanga na kua kilaza?
Kete ya Udini ilianza kuwapushed na Hao Wanaharakati wenu, hao ndio walikuja hapa hadi kukashifu viongozi wa dini A hawana Elimu compared to Viongozi wa dini B, leo ile Kete imefika ‘King’ waaharakati Uchwara haohao wanaanzisha Propaganda za kidwanzi, Mnashare Video Mchungaji…
MC PILIPILI imethibitishwa kwamba aliuwawa kwa kupigwa, kuteswa na kuuwawa. Nani alimteka na kumuua? Haijawekwa wazi. Wasanii wapumbavu wamekwenda Dodoma kujiliza kiwaki, lakini hawasemi waliomuua wakamatwe. Wasanii wapumbavu wameshindwa hata kukemea utekaji. Kitu gani wanaweza?
Kama unasema kwamba vijana walilipwa kuandamana, unajua kwamba hao vijana walitoka Nchi jirani. Unaunda hiyo inayoitwa tume ikafanye nini? Yaani unataka ikachunguze nini wakati wewe tayari unajua na unasema kwa uwazi? Uelewa wa Watanzania wa sasa ni mkubwa sana. Haya mambo…
Mumepumusika? Umbwa wako makaburi ya Kondo kufukua miili muda huu. Ugly!!
United States Trends
- 1. #IDontWantToOverreactBUT N/A
- 2. Thanksgiving 140K posts
- 3. Jimmy Cliff 20.7K posts
- 4. #GEAT_NEWS 1,190 posts
- 5. #WooSoxWishList N/A
- 6. $ENLV 14.7K posts
- 7. #MondayMotivation 12.4K posts
- 8. Victory Monday 3,585 posts
- 9. Good Monday 49.5K posts
- 10. DOGE 224K posts
- 11. Monad 164K posts
- 12. #NutramentHolidayPromotion N/A
- 13. $GEAT 1,149 posts
- 14. The Harder They Come 2,925 posts
- 15. Feast Week 1,619 posts
- 16. TOP CALL 4,670 posts
- 17. Bowen 16.3K posts
- 18. Many Rivers to Cross 2,571 posts
- 19. Soles 95.7K posts
- 20. $NVO 3,424 posts
You might like
-
FCB 53 K❤️💙
@EA_C77 -
Senator Beatrice Akinyi Ogolla
@BeatriceOyomo -
Royal Derick🇰🇪
@royalderick1 -
Leon B Music
@leonbmusic256 -
unsung hero👑
@ComradeFyatt -
Kakashi🇰🇪
@itsJoabbrian -
Dynamic eyes ✴️
@abdulkarerm_m -
Chingiz Tanashev
@shizanutii -
MARLEY JUAN
@WeRiseAgain_ -
wezzey
@kasimuabuu98 -
Wa Kanuthu
@Kaluluu -
MILANO
@Lilyuzzle11 -
Nigga hood the Emcee ✊🏿👮🏿♂️
@LucasOdero8 -
Johnnie Johnny 🇰🇪
@johnnieokemwa -
Mtumish Zephania ⭐
@MtumishKapinga
Something went wrong.
Something went wrong.