John Patrick Mbozu
@johnpmbozu
Researcher| Mjamaa| Eagle| Lawyer|
قد يعجبك
Hali ya upatikanaji wa Maji imeendelea kuwa kilio kikuvwa Kwa wananchi wanaoishi vijijini ,hayo ndiyo maisha ya wapiga kura wetu,mliofika kuwaomba kura ,maji yasiye mtego Kwa wapiga kura,wananchi wanahitaji huduma ya maji safi na salama.Hawahitaji rushwa ya maji.
"Serikali itoe taarifa kuhusu hali ya usalama ya Wanajeshi wa Tanzania waliopo DRC." Waziri Kivuli wa Ulinzi na JKT @johnpmbozu #TaifaLaWote #MaslahiYaWote @ACTwazalendo
"Serikali itoe taarifa kuhusu hali ya usalama ya Wanajeshi wa Tanzania waliopo DRC." Waziri Kivuli wa Ulinzi na JKT @johnpmbozu #TaifaLaWote #MaslahiYaWote @ACTwazalendo
Hata taa zikizima kama una #eeZeeNoodles hapo mlimani wala huna shida. Utashiba
Mnaokusanyika hapo Mlimani City wala msihangaike, ukiwa na thermos lako la maji ya moto ni mara moja una msosi ili usiondoke eneo la tukio na kulinda kura yako. Beba #eeZeeNoodles uwe na nguvu ya kutosha ya kulinda ushindi wako. Wenzenu Dodoma wamezila sana mambo yao mswanooo😂
No power? No problem! With eeZee noodles, you’ll always have a quick and satisfying meal ready. #eeZeeNoodles #NiZee #Quick #Tasty
Habari ya Mjini ni hii. Support local content BUY #eeZeeNoodles
Tambi bora ujawai ona , zinapatikana maduka yote ya shoppers plaza Usipange kukukosa
Kwa maelekezo ya Chama Katibu Mkuu, @AdoShaibu alitangazia wanachama na Umma wa Tanzania kwamba wenye nia ya kugombea milango iko wazi Leo 16 Januari, 2025 rasmi @SemuDorothy ametangaza nia ya Kugombea nafasi ya Urais hakika uwezo wake hauna mashaka anaweza.
Leo nimetia nia katika Chama changu @ACTwazalendo ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri wa Muungano katika Uchaguzi Mkuu 2025. #Mabadilikonisasa
KC @SemuDorothy ametangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. #MabadilikoNiSasa #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Ni Dorothy
Kampuni ya Mirumbani Foods ambayo ni Kampuni tanzu ya Kundi la Makampuni @mirumbani inakuletea bidhaa mpya sokoni #eeZeeNoodles. Ni nzuri, zenye ladha na rahisi kupika. Ni instant. Hii ni biashara yangu, niunge mkono!
I’m not ashamed to say Jesus Christ is my Lord and Savior. Amen if you’re not ashamed!
Heri ya siku ya kuzaliwa Kiongozi Mstaafu wa @ACTwazalendo, Ndugu @zittokabwe. Wenzako katika chama tunakutakia maisha marefu, yenye afya na mafanikio.
Ahsante kwa utumishi wako uliotukuka. @ACTwazalendo #AhsanteBabuDuni #TaifaLaWote #MaslahiYaWote #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili
Updates: Halmashauri Kuu ya Chama cha @ACTwazalendo iliyokutana leo 25 Agosti, 2024 Dar es Salaam kwa madaraka iliyo nayo imethibitisha uteuzi wa Ndg. Ester Akoth Thomas kuwa Naibu Katibu Mkuu (Tanzania Bara) wa Chama. #Miezi10 #WanachamaMilioni10 #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Nimefurahi sana na Uteuzi huu. Ni uthibitisho mwengine kuwa Chama changu cha @ACTwazalendo kinawaamini sana Vijana. Ni chama cha Vijana na Matumaini ya Vijana wa Tanzania. Hongereni wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama na Hongereni Ndugu zangu @OMARALISHEHE2 na @Ester_Thomas1…
United States الاتجاهات
- 1. Sonic 3 8,610 posts
- 2. GOTY 20.2K posts
- 3. Expedition 33 31.2K posts
- 4. Moana 28.8K posts
- 5. #TheGameAwards 35.7K posts
- 6. Zelda 55.2K posts
- 7. Comey 28.7K posts
- 8. Ted Cruz 15.7K posts
- 9. FEMA 6,841 posts
- 10. Grok 4.1 7,041 posts
- 11. Clair Obscur 20K posts
- 12. Cher 20.2K posts
- 13. Silksong 34.9K posts
- 14. Hades 2 13.4K posts
- 15. #RestoreTheSnyderVerse 39.4K posts
- 16. Until Dawn 2,899 posts
- 17. Baton Rouge 2,040 posts
- 18. Virginia Tech 1,917 posts
- 19. Geoff 5,680 posts
- 20. Hayden 3,236 posts
قد يعجبك
-
Absalom Kibanda
@absakibanda -
Ngome ya vijana_Official
@NgomeyaVijana -
Omar Said Shaaban
@omarshaaban80 -
khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹
@ThatBoyKhalifax -
Sandeep Hooda
@sandeephoodahr -
mansoor himid
@mansoorhimid -
Mwanaisha Mndeme
@Mwanaishamndeme -
Dotto Rangimoto
@JiniKinyonga -
Rev. Kishoka
@RevKishoka -
Wiston Andrew Mogha
@WistonMogha -
Salha Binti Aziz 🇹🇿
@SalhaBintiAziz -
#ActiveCitizen
@noor_abdul -
Lameck Isaya
@isaya_lameck -
Kassala
@Vicent_Kassala -
Julius Joseph Massabo.
@juliusmassabo
Something went wrong.
Something went wrong.