lostunner's profile picture.

Lostunner

@lostunner

Pinned

Tusali Sana Tunacheka Na Watu Wengi Wanaotamani Kutuona Tunalia✍️✍️✍️✍️✍️


Kwa wenye simu OG tu..!! Copy the paste hapo 🤣 ╱◥██████◣ │∩│🌄▤│▤▤│


Lostunner reposted

Naomba tumfollow @lostunner Huyu jamaa anafollow back haraka sana 🔥🔥🔥✍️


Lostunner reposted

😂😂😂😂😂😂😂😂🥹

Mrsdaviee's tweet image. 😂😂😂😂😂😂😂😂🥹

Tarehe 5 Goli 5 Ukitaka Kujua Goli 5 Nyingi Waulize Wanandoa 😅😅😅😅😅😅


Lostunner reposted

Pigana kufa kupona usikubali kuwa fimbo ya kuwachapia wazazi wako, wakatoa machozi kwa ajili ya matendo yako


Unapomuomba MUNGU Akubariki Ili Nawe Kesho Ufanikiwe Usisahau Kumuomba HEKIMA,Pesa Zina Tabia Ya Kumpa Mtu Kiburi,Majivuno Na Kuwadharau Wengine ✍️


Lostunner reposted

🤣🤣Muhimu kupumua.

KunguSada's tweet image. 🤣🤣Muhimu kupumua.

Lostunner reposted

Hii Imeenda🐱🐱🐱

barbieSubrah's tweet image. Hii Imeenda🐱🐱🐱

Naona TANESCO Wamewaachia Vijana Wa Field Mitambo 😂😂😂😂😂


Lostunner reposted

Wasithubutu 😂😂 @lostunner una nini lakini 😂

Officialcocobeb's tweet image. Wasithubutu 😂😂 @lostunner una nini lakini 😂

Lostunner reposted

Habari njema kutoka Indrive, ukitumia usafri wa @inDrive unaweza kupata bahati ya kuride na superstar na kupiga nae stori mbili tatu na selfie za kutosha kisha, utapost selfie yako kwenye ukurasa wako wa instagram, na ikiwa utapata idadi kubwa ya "likes" utashinda iPhone 14

McinikaWaLamar's tweet image. Habari njema kutoka Indrive, ukitumia usafri wa @inDrive unaweza kupata bahati ya kuride na superstar na kupiga nae stori mbili tatu na selfie za kutosha kisha, utapost selfie yako kwenye ukurasa wako wa instagram, na ikiwa utapata idadi kubwa ya "likes" utashinda iPhone 14

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.