mankaree07's profile picture. God over everything, Tour guide & Manager. 
Nature lover, Balance is the key 🧘‍♀️. 
♌️ , keep it real keep it simple.

it's well😊

@mankaree07

God over everything, Tour guide & Manager. Nature lover, Balance is the key 🧘‍♀️. ♌️ , keep it real keep it simple.

Udhalilishaji wa kiwango cha juu sana! Na sio tuu kwake kama kiongozi bali hata kwa watu anaowaongoza Sala, hii sio sawa hata kidogo. Muogopeni Mungu jamani! Kuna kufa tena hakibishi hodi kifo🙌🙌

😂😂😂we kama unaeza seat kwake fanya chap usijali kuhusu sisi wengine ...

Lakini on a serious note do y’all seat on each other’s faces ama inakuwanga tu mambo ya mtandao?🤔

Baaaaaaaas!

A good woman won't come to make you feel like a man, she will come to expose the fact that you've been pretending to be one. She won't argue She won't begging She will just exist in truth And her truth will make u uncomfortable, because you've built your identity in lies.

Gen Z wako na fashion zao poa sana hasa wakiume 🤌

it's well😊 reposteó

Very good point re: TPDF relationship with wananchi

Reputation of the President Office,Intelligence Service, Parliament,Courts all gone and the only remained Institution which people had trust remained now is also gone,why? They all want to protect thugs who can't reach 100 in #People are abducted and we never seen them come out

Hapo kwa replies 🙌

I bring ibele to the table🫶🏽

Eeeh😂🙌

linnar__'s tweet image.
linnar__'s tweet image.
linnar__'s tweet image.

Ajira saahizi😂😂😂😂 lakini hii ni mambo gani?

Ange block and report kabisa😂😂😂😂

I once visited my girlfriend her assignment was due Monday, so I offered to help. Within 30 minutes, we were done. She was so happy we made love till Sunday morning. Come Monday, she submitted it. Tuesday morning, she got her results… 6/50. She blocked me that same day 😭💔

Wewe jamaniii.... mambo mai😊

Zungumzia sera za chama chako si mnaingia kwenye uchaguzi?? Unazungumziaje chama ambacho hata hakipo kwenye uchaguzi na siku zimebaki chache zakunadi sera wewe baba??

VIDEO: "Watanzania ninawaambia, hii nchi ni kubwa kuliko mtu, nchi hii ni kubwa kuliko chama chochote cha siasa, wakati unafika lazima wote tusimame tuseme nchi kwanza. Sasa leo, watu tu wanakuja wanakwambia tu oooh! Oktoba tarehe 29...chama chetu hicho cha zamani, kimebaki kuwa…

So watu wanameza vidonge vya kujichubua??? Seriously??? Hii sasa ni shida ya akili aisee😳🙌

Ukiandika tuu twit bila kushusha hasira , hashtag njenje mme☹️

We mtoto komaaaaaaa wewe!!

Speaking on behalf of all ladies, Men, we don't like this.

Berryspicess's tweet image. Speaking on behalf of all ladies, Men, we don't like this.

😂😂

Everyone on 𝕏 thinks they’re the main character of the app.

Here you go...

mankaree07's tweet image. Here you go...

Mliosoma Pasiansi na Mweka mambo ya Wildlife huyu ndio Nyoka gani.???

EngMapundajr's tweet image. Mliosoma Pasiansi na Mweka mambo ya Wildlife huyu ndio Nyoka gani.???

Few snake ID details, this might be very helpful especially for those who work on field za forest .

mankaree07's tweet image. Few snake ID details, this might be very helpful especially for those who work on field za forest .

It's by WHO, so I believe so stories tu, there is a scientific explanation behind it 🙂,muhimu kimbia hospitali ya karibu, USIRUHUSU MTU AKUNYONYE SEHEMU ULIONG'ATWA AU KUCHANJA SEHEMU ULIONG'ATWA UTAINGIZA sumu zaidi kwenye Mfumo wa damu kuliko kumsaidia mgonjwa

it's well😊 reposteó

Hello @Meta, @instagram, @finkd @POTUS @UNHumanRights. The government of Tanzania is actively censoring posts that expose corruption and enforced critic dissappearences in fear of peaceful protest to restore Government accountability. May this fall into your attention and action

Hi guys, naandika hii posti huku natetemekea vidole kwa hasira. @instagram @meta wameblock posts 10 zisipatikane Tanzania. Yani bado zipo ila kama uko TZ ni mpaka uwashe VPN ndio utaziona…. . Na ile post ya miamala ya kina Yassir kupitia equaty bank ndio imeshashushwa kabisa…

mangekimambi's tweet image. Hi guys, naandika hii posti huku natetemekea vidole kwa hasira. @instagram @meta  wameblock posts 10 zisipatikane Tanzania.  Yani bado zipo ila kama uko TZ ni mpaka uwashe VPN ndio utaziona…. 
.
Na ile post ya miamala ya kina Yassir kupitia equaty bank ndio imeshashushwa kabisa…

United States Tendencias

Loading...

Something went wrong.

Something went wrong.