methodjr's profile picture. Fulbright TEA Alumnae. 
Husband and Father of Four boys.
Teacher, Soccer Coach & Writer. 
Arsenal. Next TFF President

Method Alimentarius

@methodjr

Fulbright TEA Alumnae. Husband and Father of Four boys. Teacher, Soccer Coach & Writer. Arsenal. Next TFF President

Pinned

Join my feedback discussion on "TRC ROLES AND EFFECTIVENESS." academia.edu/s/2bc8b447b1?s…


Method Alimentarius reposted

Mzee Joseph Sinde Warioba (aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji wa Mahakama ya Rufaa na Waziri Mkuu wa Tanzania ) ametupa tafakuri nzito ya kufunga mwaka: Kwamba; ADUI WA TAIFA, Idd Amin na Jeshi la Uganda (Vita vya Kagera 1979) waliua Watanzania wachache —kuliko


Bwana @ezekiel_kamwaga nakubaliana na wewe tuchukue mrengo wa Uchina hata katika hatua wanazochukua dhidi ya ufisadi na ulaji rushwa

BREAKING: China has executed Bai Tianhui, a former manager at China Huarong International Holdings Ltd, for accepting more than $156 million in bribes.

Currentreport1's tweet image. BREAKING:

China has executed Bai Tianhui, a former manager at China Huarong International Holdings Ltd, for accepting more than $156 million in bribes.
Currentreport1's tweet image. BREAKING:

China has executed Bai Tianhui, a former manager at China Huarong International Holdings Ltd, for accepting more than $156 million in bribes.


Method Alimentarius reposted

Pope Leo XIV prays with leaders of various Christian Churches in Nicaea, modern-day Iznik, Türkiye, and invites all Christians to follow the paths of fraternal encounter, dialogue, and cooperation. loom.ly/wcxyFDc


Method Alimentarius reposted

Kwanini katika hiyo inayoitwa orodha ya “uharibifu wa mali uliotokana na vurugu za oktoba 29” hakuna vituo vya kupiga kura? Je, ni kwa sababu mnaelewa mkithubutu kusema, watu timamu watawauliza hizo 98% za kishindo mmezitoa wapi kama vituo na vifaa vya kupiga kura viliharibiwa?


Method Alimentarius reposted

#Arsenal did us all proud. Congrats.


Ndugu @kipepe123 hilo suala wala lisikusumbue kwa sababu Walimu tulipewa vishkwambi tu lakini tulisemwa kuanzia na Mwalimu Mkuu, Afisa Elimu Kata, Diwani, Mwenyekiti wa CCM, Afisa Elimu, Mkurugenzi, Mkuu wa Wilaya na wenza wetu. Vumilia Risala za Mzee!

Utaaminikaje kama wanaotakiwa kukuamini Hawako tayari kufanya hivyo Mimi home tu kupewa gari ya mzee napewa Risala siku nzima



Method Alimentarius reposted

Kwenye nchi ambayo “Rais” anaamua leo uwe na kesi ya uhaini ambayo adhabu yake ni kifo kesho uwe huru, leo uwe mtuhumiwa wa ugaidi Mwenye kesi ya kujibu kesho uwe huru, leo utekwe kesho ama urejeshwe au uuliwe etc., ni kawaida sana kusikia porojo za WASIOTUTAKIA MEMA.

EduTalkTz's tweet image. Kwenye nchi ambayo “Rais” anaamua leo uwe na kesi ya uhaini ambayo adhabu yake ni kifo kesho uwe huru, leo uwe mtuhumiwa wa ugaidi Mwenye kesi ya kujibu kesho uwe huru, leo utekwe kesho ama urejeshwe au uuliwe etc., ni kawaida sana kusikia porojo za WASIOTUTAKIA MEMA.

Absolutely, may you leave in peace.

I’m the prettiest girl to ever leave on this earth.

tall_chilizzy's tweet image. I’m the prettiest girl to ever leave on this earth.
tall_chilizzy's tweet image. I’m the prettiest girl to ever leave on this earth.


Method Alimentarius reposted

Kutoka kwenye Maktaba TEC @2017

joeselasini's tweet image. Kutoka kwenye Maktaba  TEC @2017

Method Alimentarius reposted

MSIGWA KAISHIWA PAWA PRESS HAIELEWEKI; umeita LOCAL MEDIA kuongelea INTERNATIONAL MEDIA, alafu unalilia WATALII, kisha unaanza PROPAGANDA. Hii ni Dalili KUELEKEA KIBLA. Unataka Media zifanye kazi kwa “Uwazi, Haki na Uwajibikaji”? Michael Jackson aliimba, STARTING WITH MAN ON

Wakazi's tweet image. MSIGWA KAISHIWA PAWA

PRESS HAIELEWEKI; umeita LOCAL MEDIA kuongelea INTERNATIONAL MEDIA, alafu unalilia WATALII, kisha unaanza PROPAGANDA. Hii ni Dalili KUELEKEA KIBLA.

Unataka Media zifanye kazi kwa “Uwazi, Haki na Uwajibikaji”? Michael Jackson aliimba, STARTING WITH MAN ON
Wakazi's tweet image. MSIGWA KAISHIWA PAWA

PRESS HAIELEWEKI; umeita LOCAL MEDIA kuongelea INTERNATIONAL MEDIA, alafu unalilia WATALII, kisha unaanza PROPAGANDA. Hii ni Dalili KUELEKEA KIBLA.

Unataka Media zifanye kazi kwa “Uwazi, Haki na Uwajibikaji”? Michael Jackson aliimba, STARTING WITH MAN ON

Watu wanakarabati matumbo yao na familia zao kwa jina la uwanja na ninyi mnawaamini.

Kinacho karabatiwaga uwanja wa Mkapa huwa sikielewi mimi binafsi. Kila wakifunga na kufungua eneo la kuchezea bado ni chini ya viwango. Haijawahi kufika kwenye ile level ya ujio Everton.



Hii ni narration yao wao wanapowalipa influencer halisi 20 wenye akaunti 200.

Msigwa anasema ni watu 20 tuu unakuta kila mmoja ana account 100 😅😅😂😂 ndo wanalalamika mitandaoni.... Wengine we are not real people... Ni misukule...



Method Alimentarius reposted

SERIKALI wanasema wamenyimwa HAKI ya kusikilizwa ndio milio yote hii. Sasa sisi wananchi tunanyimwa HAKI za kuishi na hatusikilizwi mmeona inavyouma ukinyimwa HAKI japo nyie mlipewa hamkutaka kuitumia? Hayo maumivu ndio tunayapitia Wataanzania. 1. Tumenyimwa HAKI ya kuishi.


Method Alimentarius reposted

My job is to cover Africa accurately, not positively

LarryMadowo's tweet image. My job is to cover Africa accurately, not positively

Amin Yarab

اللَّهُمَّ صَيِّبًا نَافِعًا Allahumma ṣayyiban nāfiʿan O Allah, make it a beneficial rain.” Ndugu zangu Wakritu tuseme Amin Yarab. 🙏🏻 📍Dodoma 🇹🇿

mhdhamad's tweet image. اللَّهُمَّ صَيِّبًا نَافِعًا
Allahumma ṣayyiban nāfiʿan

O Allah, make it a beneficial rain.”
Ndugu zangu Wakritu tuseme Amin Yarab. 🙏🏻

📍Dodoma 🇹🇿


Umekubali haraka........


Method Alimentarius reposted

CRIMINALS CAN NOT INVESTIGATE THEMSELVES Mama Wa Kambo, hiyo Tume umeiunda wewe mwenyewe, ila haina uhalali wa kufanya hivyo. KWANZA SIO RAIS HALALI (Haujachaguliwa na democratic process) Pili, Wewe na Vyombo vya Dola ndio haswa wanapaswa kuchunguzwa, maana ndio the PRIME


Ijumaa yako ibarikiwe sana na Bwana Sheikh.

Ndugu zangu Wakristo kabla sijaendelea kuhusu Christmass Mubarak wacha ninywe maji Kidogo .. “Clap Clap Mfululu 😅😁”

Athman_Sungura's tweet image. Ndugu zangu Wakristo kabla sijaendelea kuhusu Christmass Mubarak wacha ninywe maji Kidogo .. 

“Clap Clap Mfululu 😅😁”


Method Alimentarius reposted

Inasikitisha sana kuona watu waliosoma wanashindwa kuona ukweli huo. Kulikuwepo amani wakati wakoloni wanatawala hiyo hakuwazuia wazee wetu kupigania uhuru. Tukaupata na baadaye tukawa Jamhuri maana yake nchi ya watu na si ya kifalme. Lengo kuu ni kustawi pamoja katika nchi


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.