Ulix, E.D
@mkonge_
Tax Management | Chuganian | Young African & Man U fan
You might like
Kuna siku nilikosoa video ya Ikulu nikaonekana mkora.Sasa nimeweka picha mbili hapa chini embu tuzichambue pamoja. Hivi ni vikao vya mabaraza ya mawaziri. Rate the following: -Decor -Design/Setup -Quality of pic (lighting,Angle etc) Like for 1st frame Rt for 2nd frame
Mimi sio mtaalam wa video ila hii video ni mbovu,mbaya na haivutii kabisa.Poor quality,engo za picha mbovu,mwanga mbovu.Waige timu ya Makamu au ile ya January.Unaona raha kuzitazama. Halafu mama akiwa hapo ndani ya Ikulu angalau mwacheni apumue.Anasongwa sana na details.
Maisha Ya Mzee Mwinyi Inabidi Yafundishwe Kizazi Hadi Kizazi Tuambiwe Mzee Anakula Nini, Nini Hali, Anakunywa Nini, Nini Hanywi Na Anafanya Mazoezi Gani. Maana Mzee Wa Miaka 98 Kutovaa Miwani, Kutotembelea Fimbo Na Bado Anakimbia Marathon, Ni Kitu Cha Ajabu Kwa Dunia Ya Sasa
Unahitaji kujiunga na familia ya Yanga Twitter Family? DM ipo wazi, tafadhali tuwasiliane. Sambaza ujumbe. 📌
#HiiImeendaChallenge Qoute RT na picha yako ya Jezi mpya Kisha andika kwenye Tweet yako #HiiImeenda Tukutane kwa Mkapa Kesho. #WikiYaMwananchi
WANANCHI DAY 22/07/2023.💛💪💚 #HiiImeenda #TukutaneKwaLupaso #DaimaMbeleNyumaMwiko
Okay labda wenzetu sikuizi wanajiita “Shem” kwa kifupi…. 😅#WeekYaWananchi Yanga💚💛
#HiiImeendaChallenge Qoute RT na picha yako ya Jezi mpya Kisha andika kwenye Tweet yako #HiiImeenda Tukutane kwa Mkapa Kesho. #WikiYaMwananchi
Wananchi naombeni RT 500 kwa Djigui Diarra tafadhali. Yanga ipo kwenye mikono salama, Tanzania ipo kwenye mikono salama. 📌
Asian People Fuatilia slides hizi chache labda zitatusaidia sisi kizazi cha mtu mweusi "tunaojitafuta"😂😂😂😂 Nini nimejifunza kutoka kwa watu wa asili ya Asia?
United States Trends
- 1. Don Lemon N/A
- 2. Catherine O’Hara N/A
- 3. FACE Act N/A
- 4. Kwesi N/A
- 5. First Amendment N/A
- 6. Grand Jury N/A
- 7. Home Alone N/A
- 8. Schitt's Creek N/A
- 9. Journalists N/A
- 10. JJ McCarthy N/A
- 11. Kevin Warsh N/A
- 12. IndyCar N/A
- 13. 1st Amendment N/A
- 14. Todd Blanche N/A
- 15. Storming N/A
- 16. Falvey N/A
- 17. Steve Baker N/A
- 18. #FursuitFriday N/A
- 19. Djokovic N/A
- 20. Grigson N/A
Something went wrong.
Something went wrong.