mkuuJr5's profile picture. 👨‍⚖️Lawyer | 🧑‍🤝‍🧑 Father of 2 | 🌾 Farmer | 📚 Reading Enthusiast | 🎵 Music Lover | 💡 Brainstorming Aficionado | 🚫 No Sugar Coating | 🗣️ Views Are Mine

Mkuujr5

@mkuuJr5

👨‍⚖️Lawyer | 🧑‍🤝‍🧑 Father of 2 | 🌾 Farmer | 📚 Reading Enthusiast | 🎵 Music Lover | 💡 Brainstorming Aficionado | 🚫 No Sugar Coating | 🗣️ Views Are Mine

Bayer Leverkusen vs St. Pauli - 1&GG Arsenal vs Chelsea - 1&GG Bologna vs AC Milan - 2 & GG Weka milioni halafu agiza popcorn 🍿🫡


Mkuujr5 reposted

thank you


Mkuujr5 reposted

Oyaa niliona nikapuuuzia Kabsa


Angekuwa mwanangu @moodewji hadi meme za wahindi tungeziona .!!! Ma influenza wangekuwa wanatembea na power bank mkononi. Nimekumbuka matangazo ya Mo kwenye jezi za Simba . Wenyewe miliita “MAKOROKOCHO” aka “ MAKORO” ila nchi hii.!!😂😂

Kampuni ya GSM Tanzania ( GSM Tanzania Limited ) ambayo ni miongoni mwa Makampuni ya GSM yanayoongozwa na Mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed, imetangazwa Mshindi wa tenda ya kuujenga uwanja wa Club ya Young Africans Sports Club utakaojengwa Makao Makuu ya Yanga yaliyopo…

millardayo's tweet image. Kampuni ya GSM Tanzania ( GSM Tanzania Limited ) ambayo ni miongoni mwa Makampuni ya GSM yanayoongozwa na Mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed, imetangazwa Mshindi wa tenda ya kuujenga uwanja wa Club ya Young Africans Sports Club utakaojengwa Makao Makuu ya Yanga yaliyopo…


Only for Risk takers Al- Riyadh vs Al Nassr Club - Away win & GG Kocaelispor vs Fenerbahce - Away win & GG Mallorca vs Sevilla - GG NOTHING IS SAFE . Risk yourself.!!🫡


Angeomba Kandarasi ya kujenga uwanja wa Bunju je .? Tafuteni hela wanangu. 😂

mkuuJr5's tweet image. Angeomba Kandarasi ya kujenga uwanja wa Bunju je .? 

Tafuteni hela wanangu. 😂

Mkuujr5 reposted

😅😅😅


Mkuujr5 reposted

We elewa ivo brother unanikataa sana😂 Sema fresh tu


Mkuujr5 reposted

Mzee ni mtu mbad sanaa


Kwani uwanja ungejengwa kimya kimya kuna mtu angeuliza.? 😂

BREAKING: Rasmi kampuni ya GSM Tanzania Limited imeshinda tenda ya kujenga Uwanja wa klabu ya Yanga kwa kushirikiana na klabu hiyo. Rais wa klabu ya Yanga Sc, Eng. Hersi Said ndiye Mwenyekiti wa Kamati Maalum iliyoundwa kusimamia ujenzi wa uwanja huo, huku Wajumbe wa kamati…

mshambuliaji's tweet image. BREAKING: Rasmi kampuni ya GSM Tanzania Limited imeshinda tenda ya kujenga Uwanja wa klabu ya Yanga kwa kushirikiana na klabu hiyo. 

Rais wa klabu ya Yanga Sc, Eng. Hersi Said ndiye Mwenyekiti wa Kamati Maalum iliyoundwa kusimamia ujenzi wa uwanja huo, huku Wajumbe wa kamati…


Mkuujr5 reposted

..mzee hii imetema


Tabia ya kupuuzia puuzia mambo ndo maana tunakufa masikini.😂😂

Strasbourg vs PSG - Away win & GG Parma vs Juventus- Away & Over 2.5 Take a risk , nothing easy .!! 🫡



Strasbourg vs PSG - Away win & GG Parma vs Juventus- Away & Over 2.5 Take a risk , nothing easy .!! 🫡


Mkuujr5 reposted

Lete zaleo mkuujr5


Mkuujr5 reposted

Ulisuka mkeka huu kibabe mnoo,ila hakuna kukata tamaa


Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary 😂😂😂

mkuuJr5's tweet image. Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary 😂😂😂

Ugali adhabu, Ndomana hakuna jela wanapika wali. 😂


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.