MLINZI FEKI
@mtsonga12
Mtoto wa mtaani. Chelsea Fan. Real Madrid.
WANANGU, Tuwe busy tupambanie maisha yetu, wao ajira zao zipo ndani ya nguo zao wengi wao, sisi ajira zetu zipo ndani ya jasho letu mpaka mwisho Mwanangu. TUWE BIZEE.
Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi sana... 😂
Kwenye kila anguko kuna njia zinazokuelekeza sehemu sahihi za kupita!!✍️
Vijana wote wa nchi nzima Tuungane kuisapoti serikali kwa pamoja popote ulipo✊JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA............
Good morning,epuka marafiki feki ,🫵
Mkumbushe Mwanao ya kwamba..... Wakati mwingine ni bora MENGINE asitake kuyafahamu ili aendelee tu kubaki na amani katika MOYO wake.......
"Haya Ni maagizo kutoka Juu " Hii kauli imedhulumu haki za wengi sana hapa Mjini.
Kama huwezi kununua simu kama uliyopoteza haujajipata bado.!!
Siku zote, Mshindi anatoka upande wa wale walioamua kushindana, Anza leo ili ukitaka kukata tamaa ukumbuke sababu iliyokufanya ukaanza🤝. Ridhki ikawe upande wetu ,Ameen🙏
Zamani kumla Dem Tigo lazima pesa nyingi zitumike, Dem anasema "nipe iphone 14-15 ,nataka gari ndo nikupe Tigo" 😂Ila Now days upo na Dem yeye mwenyewe anahamisha Voda kwenda Tigo freeboat Wengine ndo hao wanaacha mavi kwenye Boda!!
Broo to Broo kama biashara sio ya Halali usimshirikishe mwanamke yeyote.
Pesa ina maana kwa sababu ya wanawake.
Epuka kujiona Tajiri ukiwa katika kipindi cha kujitafuta!!✍️
Kwenye Maisha Zingatia tofauti ya ZIADA na DHARURA.✅ Good morning Family 🤝
United States الاتجاهات
- 1. Philip Rivers N/A
- 2. benson boone N/A
- 3. Ryan Wedding N/A
- 4. FINALLY DID IT N/A
- 5. #FursuitFriday N/A
- 6. #FanCashDropPromotion N/A
- 7. AMERICAN GIRLS N/A
- 8. Cameron Smotherman N/A
- 9. Lobo N/A
- 10. #FridayVibes N/A
- 11. March for Life N/A
- 12. Season 2 Weight Loss N/A
- 13. #Supergirl N/A
- 14. Bricillo N/A
- 15. Jeff Saturday N/A
- 16. Jason Momoa N/A
- 17. Top 12 N/A
- 18. #Silver N/A
- 19. Good Friday N/A
- 20. Pettine N/A
Something went wrong.
Something went wrong.