mtuadimu's profile picture. Agronomist, mkulima mwandishi, ............

Utafiti Yakinifu is for Fun😀

Mtuadimu tz

@mtuadimu

Agronomist, mkulima mwandishi, ............ Utafiti Yakinifu is for Fun😀

Pinned

NDUMBA vs MIPANGO

mtuadimu's tweet image. NDUMBA vs MIPANGO

Mengine yasikie tu Kwa Mwijuma maana si Hamisi wala Muumini mwenye uwezo wa kuyabeba.


Wengine wamepotea Kwa kutamani maisha ya watu wengine bila kujua wanayoyapitia nyuma ya pazia. Hasa mitamdaoni Kuna , please usiige.


Kuna mafunzo mengi sana kwenye kubishana, Amini kuwa kupitia ubishi au kubishana Kuna dhana nyingi za kujifunza huachiliwa bure. #Adimu.


Epuka washauri wanaokujengesha chuki, wanaokufundisha kuharibu pale ulipo Hata huu ushauri wangu kama unakujengesha chuki na washauri wako epuka😋 .


Mtuadimu tz reposted

Uzinduzi wa Taasisi ya Kusaidia watu wenye Ugonjwa wa moyo #ProfeJayFoundation unakaribia Zimebaki siku (4) Pekee changia Chochote maelezo jinsi ya kuchangia yapo Kwenye bango hapo chini kwa taarifa zaidi Unaweza kupita kwenye page za mkali huyu wa bongo fleva @ProfessorJayTz

DEUSDEDITHSOKA's tweet image. Uzinduzi wa Taasisi ya Kusaidia watu wenye
Ugonjwa wa moyo #ProfeJayFoundation unakaribia Zimebaki siku (4) Pekee changia
Chochote maelezo jinsi ya kuchangia yapo
Kwenye bango hapo chini kwa taarifa zaidi 
Unaweza kupita kwenye page za mkali huyu
wa bongo fleva @ProfessorJayTz

Maisha yana Siri nzito hakuna awezaye kuzibeba Wala kuzinyenyua , busara ni kubeba zako binafsi.


Kama unataka mlevi aongee point, mpe nafasi aitetee pombe Trust me hatokuangusha.


Mtuadimu tz reposted

Na @MalemboLE Uchambuzi wa mapendekezo ya Rasimu ya Sera ya Elimu na Mtaala wa Elimu Tanzania. Serikali hivi karibuni imeachia walaka wa mapendekezo ya Rasimu mbili za maboresho ya Elimu Tanzania nimeona nikusogezee hapa Yale yaliyomo kwenye makabrasha ya mapendekezo hayo.…

MalemboLE's tweet image. Na @MalemboLE 

Uchambuzi wa mapendekezo ya Rasimu ya Sera ya Elimu na Mtaala wa Elimu Tanzania.

Serikali hivi karibuni imeachia walaka wa mapendekezo ya Rasimu mbili za maboresho ya Elimu Tanzania nimeona nikusogezee hapa Yale yaliyomo kwenye makabrasha ya mapendekezo hayo.…

Mtuadimu tz reposted

Sio rahisi kupata maneno sahihi ya kusema kwa sasa. Itoshe kusema hili ni pigo kubwa kwa wanaMtama na kusini kwa ujumla! Mwamba umeanguka! Pumzika kaka yangu!😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

Nnauye_Nape's tweet image. Sio rahisi kupata maneno sahihi ya kusema kwa sasa. Itoshe kusema hili ni pigo kubwa kwa wanaMtama na kusini kwa ujumla! Mwamba umeanguka! Pumzika kaka yangu!😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

Mtuadimu tz reposted

Matatizo sugu kwenye simu za google pixel 🙈 Wakati izi simu zinaingia Kwa mara ya Kwanza sokoni watu wengi walizisifia na kusema kuwa ni simu hazitakua na tatizo lolote lakini intaneti imethibitisha kuwa tulikosea sana kusema ivyo...!!! Relax 🙄vuta pumzi shusha mzigo

Bongotech255's tweet image. Matatizo sugu kwenye simu za google pixel 🙈

Wakati izi simu zinaingia Kwa mara ya Kwanza sokoni watu wengi walizisifia na kusema kuwa ni simu  hazitakua na tatizo lolote lakini intaneti imethibitisha kuwa tulikosea sana kusema ivyo...!!!

Relax 🙄vuta pumzi shusha mzigo

Mtuadimu tz reposted

Offer ‼️ 14 plain 128gb 2,000,000 14 pro 128gb 2,750,000 256gb 3,000,000 14 pro max 128gb Tsh. 2,950,000 256gb Tsh. 3,200,000 Top up & exchange available ✅ With one year warranty Rt to Bless🙏🏿 ☎️0752-992667

bohny_chengula's tweet image. Offer ‼️

14 plain
128gb 2,000,000

14 pro 
128gb 2,750,000
256gb 3,000,000

14 pro max 
128gb Tsh. 2,950,000
256gb Tsh. 3,200,000

Top up & exchange available ✅

With one year warranty 

Rt to Bless🙏🏿

☎️0752-992667

Jamaa anakushauri anasema mwanangu usithubutu kumsomesha mwanamke Wala kumfungulia biashara mara sijui nini na Nini... Sababu kibao.. Lakini unajiuliza huyu jamaa akizaa watoto wa kike ataweza kuwasomesha au kuwawezesha? Anahitaji kushauriwa sio kushauri


Wakati wewe unaweza ukatafute pesa mjini Kuna wanaopata pesa kijijini wanaenda kuwekeza mjini na ukiwaza tofauti wapo wanaofanya kinyume chake pia. Summary Wengine wanashuka ili wapate wengine wanapanda ili wapate Achana na wanaopata ili wapande 😜😜


Yes, wanaotuzidi wapo wengi sana, wengine wanatuzidi akili ,uchumi,uzoefu ,elimu na hata utanashati ,tukiachana na wivu na ushindani bado tuna mengi ya kujifunza kupitia wao. Utata.


If you think much on the future and careless on the present ,then you won't reach there.


Kama unadhani huna chochote cha kuwapa wengine, basi huna chochote cha kupewa.


Mtuadimu tz reposted

SHE MADE IT AGAIN!! OMG!!! 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾MAY ALLAH GIVE YOU ALL IT TAKES TO LIVE AND SAVE OUR GREAT NATION!💪🏽💪🏽💪🏽

Nnauye_Nape's tweet image. SHE MADE IT AGAIN!! OMG!!! 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾MAY ALLAH GIVE YOU ALL IT TAKES TO LIVE AND SAVE OUR GREAT NATION!💪🏽💪🏽💪🏽

Mtuadimu tz reposted

Rafiki yangu wa Jamhuri ya Twitter, fanya mambo 2 tu, nakuomba; 1. Ukiweza, changia matibabu ya kaka yetu, Professor Jay. 2. Ukiweza pia, RT (Retweet) ujumbe huu, ufike mbali, ni muhimu. Stay strong brother in struggle @ProfessorJayTz 🙏

IAMartin_'s tweet image. Rafiki yangu wa Jamhuri ya Twitter, fanya mambo 2 tu, nakuomba;

1. Ukiweza, changia matibabu ya kaka yetu, Professor Jay.
2. Ukiweza pia, RT (Retweet) ujumbe huu, ufike mbali, ni muhimu.

Stay strong brother in struggle @ProfessorJayTz 🙏

Mtuadimu tz reposted

If you think you are too small to make a difference you haven't spent a night with a mosquito." African Proverb

Nnauye_Nape's tweet image. If you think you are too small to make a difference you haven't spent a night with a mosquito." African Proverb

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.