Binti NGALAPI
@ngalapi
Chief Communication manager - TAMWA Zanzibar . Freelance Journalist and Gender activist, Facilitator in Gender and Safely for female journalists and Mentor.
Tukiwa tunakumbuka miaka 26 tangu aondoke Baba wa Taifa. Nakushauri Nonekana tofauti kwa kutumia vipochi hivi vizuri na unique @Imaniluvanga @MarekaMalili
Kumpa mwanamke nafasi ya kumiliki ardhi ni hatua ya kuleta maendeleo na usawa wa kijinsia katika jamii. Muwezeshe mwanamke Leo, ulete mabadiliko kesho. #mwanamkenikiongozi #mwanamkenatabianchi
Ni Jumatatu nyengine ✨ Leo Dr. Mzuri Issa, Mkurugenzi TAMWA ZNZ anashiriki na kuwa miongoni mwa wazungumzaji katika Mkutano wa 5 wa Jukwaa la Uongozi wa Wanawake (Women’s Leadership Forum) ulioandaliwa na @uongozi_institute jijini Dar es Salam. Ushiriki wa Dkt. Mzuri ni…
Siku ya Haki ya Kujua Duniani, izingatiwe vyema kuelekea uchaguzi 2025 #UhuruWaHabariZanzibar @TAMWA_Zanzibar @MarekaMalili @NajjatOmar @ngalapi @TweveDevota
Journalists inform, educate and entertain the public every day. But who is really caring for their safety? How do we make sure they feel safe at work, empowered in their independence, and resilient in the face of growing challenges?
Unapomwomba Mungu akusaidie katika mapambano yako, usisahau kuiombea cycle yako Huenda kuna mmoja atakua daraja lako kutoka hapo ulipo kwenda hatua nyingine kubwa au bora zaidi. Kuombeana kwa Mungu ni Bure. Na hili sio la kubaniana. #DIWIInsights
Mh. Balozi wa Norway nchini Tanzania, Tone Tinnes, na ujumbe wake wamekutana na waandishi wa habari na content creators ili kusikia simulizi za mafanikio yao kupitia program ya SWIL. Kupitia mafunzo ya wanawake na uongozi, waandishi wamekuwa daraja muhimu la kusambaza habari,…
🤝 Leo tumepokea ugeni wa Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mh. Tone Tinnes pamoja na ujumbe wake. Ubalozi wa Norway ni washirika wakubwa wa Programu ya Kuimarisha Uongozi kwa Wanawake (SWIL), wametembelea kuona maendeleo ya programu na kukutana moja kwa moja na wanufaika wa…
TAMWA ZNZ kwa kushirikiana na JUWAUZA, ZAFELA & PEGAO wanaendelea na mafunzo ya siku 3 kwa wanawake wagombea 56 wa Zanzibar kutoka vyama 18 vya siasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 🗳️. Lengo: 💪 Kujiamini, kushinda changamoto & kuongeza ufanisi majukwaani. #mwanamkenikiongozi
"Tumeona umuhimu wa kuandaa mafunzo haya kwenu ambayo yatawasaidia kuwajengea uwezo wa kujiamini, kupambana na changamoto na kuongeza ufanisi katika kampeni", Saphia Ngalapi Meneja mawasiliano, TAMWA-ZNZ #MwanawakeNiKiongozi @TAMWA_Zanzibar @MarekaMalili @NajjatOmar @ngalapi
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. Pongezi kwa wanawake waliochukua fomu kugombea Urais na Umakamu wa Rais. #mwanamkenikiongozi
Leo, tarehe 5 Agosti 2025, TAMWA-ZNZ imeanza mafunzo ya siku tatu kwa waandishi wa habari 20 kutoka Unguja kuhusu ujumuishwaji na haki za watu wenye ulemavu. Mafunzo haya yanafanyika katika ofisi za TAMWA-ZNZ zilizopo Tunguu – Unguja. Mafunzo haya ni sehemu ya utekelezaji wa…
📢 Rushwa ya ngono si mzaha – ni ukatili. Ni kikwazo kwa wanawake wengi wenye ndoto za kuwa viongozi. Tuwapunguzie mzigo huu wanawake ili waweze kushiriki zaidi katika nafasi za uongozi. @norwayintz
“Wamenisema sina pesa, wamenithibitishia jina langu likirudi nikawatie mikwaju mbele ya watoto zao, wengine wamesema watahama shehia", Asma Sadik. Haya ni baadhi ya maneno ya dharau anayokutana nayo Asma Sadik, mtia nia nafasi ya Uwakilishi kupitia CCM jimbo la Tunguu. Lakini…
Waandishi wa habari 10 kutoka vyombo mbalimbali kisiwani Pemba wameanza mafunzo ya uandishi wa habari zinazohusu wanawake, uongozi, na mabadiliko ya tabianchi. 📍 Mafunzo haya yanafanyika katika ofisi za TAMWA Zanzibar zilizopo Mkanjuni. 🌱 Lengo ni kuwawezesha wanahabari…
👏🏼👏🏼
Napenda sana kufundisha wanawake,vijana na jamii kwa ujumla masuala ya usawa wa kijinsia, uongozi kwa wanawake na vijana.
United States Trends
- 1. South Carolina 31.8K posts
- 2. #EubankBenn2 27.2K posts
- 3. Bama 10.6K posts
- 4. Ty Simpson 2,338 posts
- 5. Texas A&M 31.3K posts
- 6. Mateer 2,199 posts
- 7. Beamer 9,121 posts
- 8. Oklahoma 19.1K posts
- 9. Ryan Williams 1,493 posts
- 10. Arbuckle N/A
- 11. #UFC322 24.2K posts
- 12. Camilo 8,462 posts
- 13. Heisman 9,018 posts
- 14. Daniel Hill N/A
- 15. Makai Lemon N/A
- 16. Michigan 43.4K posts
- 17. Aggies 9,173 posts
- 18. #Sooners 1,521 posts
- 19. Sellers 14K posts
- 20. Tate Sandell N/A
Something went wrong.
Something went wrong.