null000n's profile picture. null!!

one๐Ÿ†š๏ธone

@null000n

null!!

๐Ÿ†š๏ธ๐Ÿค”

null000n's tweet image. ๐Ÿ†š๏ธ๐Ÿค”

Jobless pia ni kazi aise!! ๐Ÿ˜”

null000n's tweet image. Jobless pia ni kazi aise!! ๐Ÿ˜”

Sali sana vijana๐Ÿ™๐Ÿ“Œ


Aise!! ๐Ÿ’ก@grok nimkwel kabs!

Freeman Mbowe, Tundu Lissu (CHADEMA), and Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) are potential opposition leaders for Tanzania's 2025 presidential race. Zitto has a strong profile but his partyโ€™s few seats weaken his chances against President Samia Suluhu Hassan, backed by CCMโ€™s dominance.โ€ฆ



๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚mwambie tunalipa deni la taifa

Yani Taifa linapitia kwenye kipindi kigumu cha kuwa na Deni kubwa la Kitaifa bado kuna Mwanamke anataka Hela ya Abaya..!๐Ÿ’”๐Ÿ˜‚



Aise!! Naona amenifata sasa na yeye anaomba hela ya Abaya, em niambieni ivi abaya ndo nini na cost yake aise!!๐Ÿคฆ


Uselessness ๐Ÿคฆ

Kigamboni kuna club moja inaitwa NOLASCO wahuni waliniibia simu ikiwa juu ya Meza wakati nakula makange. Nilipiga woteee, mpaka wale mabaunsa nilipiga nilikuwa sipokei maelezo, baada ya nusu saa simu ikarudishwa ikiwa nzima hawakutoa hata protector.



You should just continue sleeping, this one remains a dream.

My dream is to marry a woman who has never been touched by any man. Which is your dream.!?



Huyu tapeli hadi kufa!

Kafufuka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜€

athanas_pius's tweet image. Kafufuka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜€


Aisee ๐Ÿ˜ž mapenzi sitaki tena!!๐Ÿคฆ


ukiwa na dalili hii wewe kama kijana tafuta sanaa hela "Smartphone yako kuwa na redio" ๐Ÿ“Œ


Nimecheka sanaa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ sijui nimecheka nn ila hakuna kitu hapo

Ukimpata mwanamke anaitwa JACKLINE mtunze sana wengi wao wanaakili sana za maisha na ni wife material๐Ÿ˜ฌ



Nilikuwa naangalia toka Ramadan imeaza ad leo @MwijakuBurton sio chini 50M ameokota aise! Uchawa kuna hela vijana!

null000n's tweet image. Nilikuwa naangalia toka Ramadan imeaza ad leo @MwijakuBurton sio chini 50M ameokota aise! Uchawa kuna hela vijana!

Daah ila wasafi fm,, kuna wanaume me na wasiwasi nao kikwel!! ๐Ÿคฆ

null000n's tweet image. Daah ila wasafi fm,, kuna wanaume me na wasiwasi nao kikwel!! ๐Ÿคฆ

Aise fear woman๐Ÿ˜ญ


Aise! Shikamoo kaka godlove, me chimbo tu la benz aise!

Tatizo lenu hamnisalimii ningewaonyesha chimbo

ChiefGodlove666's tweet image. Tatizo lenu hamnisalimii ningewaonyesha chimbo
ChiefGodlove666's tweet image. Tatizo lenu hamnisalimii ningewaonyesha chimbo
ChiefGodlove666's tweet image. Tatizo lenu hamnisalimii ningewaonyesha chimbo
ChiefGodlove666's tweet image. Tatizo lenu hamnisalimii ningewaonyesha chimbo


Em check hizi course kwel utakosa hela hapa ukimaliza

null000n's tweet image. Em check hizi course kwel utakosa hela hapa ukimaliza

๐ŸšจAu serikali iweke na Boom VETA ione kama hatujai huko..!๐Ÿ˜‚



Tena nyie ndo mnasemekana mhujui kitu, ni veta moja kwa moja๐Ÿ‘€

Wakuu Hadi wenye GPA ya 4 tunatakiwa Kwenda Veta??๐Ÿ˜‚



Ila hapa itakuwa sisi vijana tumenukuu vibaya, Kuna watu wanasoma engineering 4 years ila bado unamleta mtaani hawezi kufanya chchte kweny iyo engineering,, So sibora haende veta

#TajiriLaKihaya Ujue hili swala la VETA nlijua ni MEME wanampakizia PM๐Ÿ˜ณKumbe Ni kweli aliyasema haya ๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ’”



Sasa uwez kuwa na hivyo vyote ila kukose kimoja, ๐Ÿ‘€

#TajiriLaKihaya Ujue hili swala la VETA nlijua ni MEME wanampakizia PM๐Ÿ˜ณKumbe Ni kweli aliyasema haya ๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ’”



Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.