peter7ernest
@peter7ernest
Tanzanian Voice for truth/Witness to Resilience /Sharing real stories from the ground/Freedom,Justiceand Human dignity🇱🇷🇹🇿🇫🇷🇬🇧🫵😎.
You might like
Hata kama ni Gizani lakini watashindwa TU, Lissu hajawah kushindwa Kesi
Kila mpenda HAKI aliweke hili akilini. Huu ni mwaka wa kubadilisha huu UHUNI ambao tumekuwa tukifanyiwa na hawa WAKOLONI WEUSI kila mara na wanaona unawalipa ndiomaana wanapata VIBURI. 2019 uhuni wao tuliukalia kimya. 2020 uhuni wao tuliukalia kimya. 2024 uhuni wao tuliukalia…
Maisha ni Magumu Lakini Hakikisha Unamiliki Pisi Kali Yenye Akili.!!😅
The only way Foward kwasasa ni KUANDAMANA NA KUDAI HAKI YETU YA KUPOGA KURA NA KUCHAGUA KIONGOZI TUNAEMTAKA. #Oktoba28Tunaandamana✅ #NoReformsNoElection #TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Only a few men can understand this.
‼️TUJIKUMBUSHE‼️ Gen Z mlikuwa watoto wakati Rostam alikuwa mweka hazina wa CCM Ila someni kitabu cha Mkapa - uchaguzi 2005 wakati hazina ilikwapuliwa kupitia EPA , hisa zake Vodacom alafu nendeni mambo ya Richmond/Dowans hadi Rostam kujiuzulu 2011 ubunge na ilisemekana hata…
Huyu mnyakyusa WA DODOMA CHAMWINO bila shaka. Anatuona sisi ni MATAKO yake. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Huyu Jamaa ndiyo Mchungaji pekee ambaye hadi Wanaume wanasikiliza mahubiri yake.😁
Nichukue nafasi hii kumshukuru sana mtumishi wa MUMGU Pastor Kabigumila kwa ujumbe wake huu. 🙏 Moja ya platform ya mtandaoni ambayo ililala kwenye mapambano ya kudai HAKI ni instagram. Lakini kwasasa wananchi wameamka na kuanza kudai haki zao. Japo sio wote ila inatia moyo…
KANISA LISILOKEMEA UOVU NA DHULUMA KATIKA TAIFA NI KANISA LA SHETANI. Asante sana kwa mchango mzuri sana. Nimeongeza maelezo hayo mawili kwa mtiririko na mtazamo ule ule wa awali, na kuiboresha zaidi kuwa ujumbe wenye msimamo wa kiroho na kijamii. Hapa chini ni toleo…
Siza Keheta, aliyekuwa diwani wa (CCM) kata ya Ganyange, Tarime Vijijini (2020/2025), na rafiki yake, Anthony Gabriel Moseti walisafiri Ijumaa, 25.07.2025 kwenda katika shughuli zao za biashara. Hadi wanaondoka, walikuwa na mawasiliano na familia zao vizuri tu. Lakini kitu cha…
📌 Usipite bila kusoma and bookmark this! 🚨🚨‼️MIPANGO YA MADHULMAT YAVUJA🚨🚨‼️ Watoa taarifa wameniletea yafuatayo na huku nikiendelea kuthibtisha naweka matukio wanayosema yamepangwa 👉🏽 Mwamba kuhama si ishu sasa ishu ni tarehe - imepangwa tarehe 3 Agosti na itakuwa siku wa…
Mdude Nyagali My Guy, Samia amekuuwa? Solidarity, always, My Guy! Long live the spirit of Mdude Nyagali👊🏽
Grok ftw
BriansNotion Unlike OpenAI's ChatGPT, where shared chats can be indexed by Google, Grok has no such sharing feature. We prioritize privacy: private chats are deleted within 30 days, we don't sell data, and advise against sharing sensitive info. See x.ai/privacy-policy for…
Tutachukua hatua ikitulazimu
*“Twendeni tukapambane si mnataka? si mmefungua kesi ya uhaini? Pelekeni taarifa mahakama kuu kama sheria inavyotaka”* *“Ni ajabu kwamba hapa ni mshtakiwa ndie anaedai apelekwe mahakama kuu akashtakiwe kama mahakama inaona anahatia anyongwe, mshtakiwa ndie anasema twendeni huko…
#TajiriLaKihaya Huu Mwaka mzima- This is The BEST QUOTE EVER🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Hii ni Nchi yetu sote au ni mali ya mtu binafsi kwa masilahi yake na kikundi chake? Yaani YouTube imezimwa kwasababu ya uoga na uroho wa madaraka? Kama unajiamini mtu anaekukosoa na uongozi wako jibu hoja zake kuliko kuwaweka Watanzania kwenye matatizo kwasababu za mambo…
United States Trends
- 1. Cynthia 78.6K posts
- 2. #WorldKindnessDay 11.9K posts
- 3. Massie 81.7K posts
- 4. GRABFOOD LOVES LINGORM 880K posts
- 5. Larry Brooks 2,272 posts
- 6. Good Thursday 37K posts
- 7. Katie Couric 2,333 posts
- 8. Encyclopedia Galactica 2,330 posts
- 9. #thursdayvibes 3,596 posts
- 10. #LoveDesignEP7 69.9K posts
- 11. Tommy James N/A
- 12. Bonhoeffer 1,678 posts
- 13. RIN AOKBAB BEGIN AGAIN 71.7K posts
- 14. #SwiftDay N/A
- 15. #BuyTheDip N/A
- 16. Michael Burry 10.9K posts
- 17. RIP Brooksie 1,346 posts
- 18. Bongino 6,804 posts
- 19. Rejoice in the Lord 2,895 posts
- 20. Mollie 2,345 posts
You might like
Something went wrong.
Something went wrong.