Binafsi nimependa sana muitikio wa viongozi wa dini za kikristo kuingilia kati hili suala la haki na mabadiliko. Enough is enough naomba repost nyingi kwao
“Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuwaachilia mara moja na bila masharti viongozi wa kisiasa waliokamatwa kwa kudai haki, likisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kulinda amani ya taifa, hasa kuelekea mwaka wa uchaguzi.
Kenyans stand with CHADEMA party leader, Tundu Lissu. #FreeTunduLissuNow
Picha za UKONGA zinawaumiza sana WAKOLONI WEUSI. Naomba ZISAMBAE NCHI NZIMA.🔥🔥🔥 REPOST 200🔥🔥🔥🚨🚨🚨
Leo tulianzia gereza la KEKO, @TunduALissu hayupo. Tukaelekea gereza la SEGEREA, hayupo. Tukaelekea gereza la UKONGA. TAL yupo. Tukaelezwa ni watu watatu tu wanaruhusiwa kumuona kwa siku. @ExMayorUbungo amefanikiwa kuingia na kuzungumza na TAL na amesisitiza #noreformsnoelection
Nashauri Watu Wasiende Kupiga Kura, Kwasababu Mifumo iliyopo Sio Rafiki inapendelea Upande Mmoja, Sitakwemda Kupiga Kura Nchi hii Mpaka Mifumo itakapokua Huru.. Kama Uko Pamoja na Mimi Chapa Hapo Ule Ujumbe wa CAG, Prof. Assad, kisha Watagg @TumeUchaguziTZ Kisha nitakuFollow.
Taarifa za uhakika zilizotufikia hivi punde ni kuwa Lissu ameanza kuteswa kisaikolojia baada ya kugoma kulambishwa asali. Watu wanazuiwa kumuona. Lissu ashikilie hapo hapo maana amevuruga vichwa vya watu Lumumba. Chadema msimuangushe Lissu tarehe 24. Jitokezeni kwa maelfu.
Dili anayopewa Lissu na Samia ni kwamba, Lissu atulie uchaguzi huu upite, Chadema iingizwe serikalini, Lissu atapewa nafasi, halafu mabadiliko yatafanyika baadaye. Lissu amegoma kabisa. Muombeeni sana Lissu. Mpiganieni pia. Jitokezeni kwa wingi tarehe 24. #TanzaniaLeaks
Madai ya #NoReformsNoElection yatapatikana Asubuhi TUKIAMUA!!Fikirieni itakuwaje endapo watu Laki Moja Wametinga Mahakamani Tarehe 24/04/2025 na Vazi hili la #KatibaMpya Wakiwa wamefunga Katambaa Cheupe na Chupa ya Maji ya Kunywa Mkononi? REPOST.
Tumefika gereza la UKONGA, @TunduALissu yupo salama. Kamishna Jenerali wa @MagerezaT nataka kuamini mmezingatia (ss. 53-61) Prison Act, kumuondoa Tundu Lissu kutoka gereza la KEKO kumpeleka gereza la UKONGA. Lakini mnashindwa nini kueleza umma taarifa hiyo kuondoa taharuki?
Kuna sintofahamu kubwa sana Ikulu, Lumumba & Idarani. Watendaji waandamizi wanadai ishu ya Lissu ni mbaya kwa serikali. Magareza hawaelewi kinachoendelea, wanalalamika kuingiliwa kiutendaji kwani hawajui Lissu kapelekwa wapi. Wanapasua kichwa tarehe 24 raia wakijitokeza kwa wingi
Leo naomba kila MPENDA HAKI ampe PAUL MAKONDA 💐🌹🌷 yake. Pamoja na MAMBO YAKE, lakini hapo 👇 ameongea JAMBO LA MAANA SANA.
‼️🚨Samia Suluhu's regime must answer for human rights abuses! 🇹🇿 Demand justice—impeachment & accountability NOW! #TanzaniaDeservesBetter #HumanRights #NoReformsNoElection
No reforms No Election. Kesho Tukutane Kawe.
Msikubali kutolewa katika mstari. Adui wa CHADEMA siyo mpya. Adui wa CHADEMA ni DOLA KATILI ya CCM. Kuwa kiongozi wa CHADEMA ni kukubali kujitoa muhanga. Kuwa mwanachama na mfuasi wa CHADEMA ni kuwa vitani. DOLA katili la CCM linaona shughuli za CHADEMA ni uhaini na ugaidi.
Taarifa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imeeleza Watu tofauti wakiwemo Viongozi na Wanachama wamefika katika Gereza la Keko ambapo Mwenyekiti wa Chama hicho, #TunduLissu anashikiliwa, lakini hawakufanikiwa baada ya kuelezwa kuwa hayupo katika gereza hilo bila…
No Reforms No Election
#BREAKING #TANZANIA: TUNDU LISSU REPORTEDLY MOVED FROM KEKO JAIL TO AN UNKNOWN LOCATION Tanzanian prominent opposition leader Tundu Lissu has been reportedly transferred from Keko Jail to an undisclosed location. This is according to reports from his lawyers and family, who…
United States Trends
- 1. #SpotifyWrapped 186K posts
- 2. Chris Paul 24.6K posts
- 3. Clippers 35.7K posts
- 4. Hartline 7,141 posts
- 5. #HappyBirthdayJin 83.3K posts
- 6. GreetEat Corp N/A
- 7. Henry Cuellar 1,566 posts
- 8. David Corenswet 3,406 posts
- 9. South Florida 5,289 posts
- 10. Jonathan Bailey 4,696 posts
- 11. Ethan Hawke 2,759 posts
- 12. $MSFT 13.3K posts
- 13. #NSD26 21.1K posts
- 14. Collin Klein 1,493 posts
- 15. #OurSuperMoonJin 68.3K posts
- 16. #WorldwideHandsomeJin 66.3K posts
- 17. Chris Klieman 1,532 posts
- 18. Chris Henry N/A
- 19. Penn State 23.4K posts
- 20. Good Wednesday 37.6K posts
Something went wrong.
Something went wrong.