
Jamii Forums
@JamiiForums
Inform | Engage | Empower | Digital Democracy
你可能會喜歡
The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) has suspended JamiiForums’ Online Content License for 90 days and blocked access to the platform, effectively from today (Sept 06, 2025), citing violations of the Electronic and Postal Communications Regulations regarding…



Sweden is a strong actor for #Democracy & #HumanRights . Democratic societies are a prerequisite for lasting peace & freedom. Today we highlight the importance of protecting democratic principles: free expression, respect for human rights & elections by universal suffrage.

Jambo Tanzania🇹🇿! Andrew linked up with our friends at @JamiiForums & Tech and Media Convergency(TMC) @MediaConvergecy. Everthing digital security, internet freedom and dignity was on the menu. @goleandrew #RoadToDigitalSafety
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni TCRA imesema uamuzi huu…



Turejee enzi zile za shule, pale tulipowapa Walimu wetu majina ya utani yaliyojaa ubunifu na ucheshi, bila shaka kila mmoja anakumbuka jina moja au mawili yaliyobaki kuwa kumbukumbu zetu mpaka leo. Kushiriki mjadala jamii.app/MajinaWalimuUt… #JamiiAfrica #JamiiForums #JFChitChat



Mdau, una maoni gani kuhusiana na mistari ya wimbo huu? Tembelea JamiiForums.com kushiriki kwenye mijadala mbalimbali yenye tija. Zaidi bofya jamii.app/JukwaaJamiiFor… #JamiiAfrica #JamiiForums #AmkaNaJamiiAfrica #GoodMorning #Maisha

ChatGPT inaoongoza kwa matumizi ya Akili Mnemba (AI) kote Ulimwenguni kwa Mwaka 2025, Watu wameitembelea mara bilioni 46.6 hali inayofanya kuwa na 48.36% ya soko zima la matumizi ya teknolojia hiyo. Vilevile, kulingana na takwimu za Statcounter za Julai 2025, matumizi ya AI…


DRC: Serikali imethibitisha mlipuko mpya wa Virusi vya Ebola, Kusini mwa Mji wa Kasai ambapo hadi sasa kuna Wagonjwa 28 wanaoshukiwa kuambukizwa, idadi ya vifo ikiwa ni 15. Wizara ya Afya imesema mlipuko ulianza mwishoni mwa Agosti 2025 baada ya Mwanamke mjamzito kulazwa katika…

ZANZIBAR: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema, yeyote atakayezungumza kinyume na kuhubiri amani huyo hataki mema, akisisitiza kuwa kila Mwanasiasa na kiongozi wa dini akizungumza jambo lolote ambalo linaashiria uvunjifu wa amani…
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini kupitia Chama cha #ACTWazalendo, Edwin Kachoma ametangaza kujiondoa katika kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu akidai amekosa ushirikiano kutoka Makao Makuu ya chama hicho, ikiwemo kushindwa kumpatia vifaa vya kampeni kama bendera na…
MBEYA: Akizungumza katika Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (#CCM), jana Septemba 4, 2025, Profesa Palamagamba Kabudi amesema Rais Samia Suluhu ametekeleza mambo makubwa ambayo Baba wa Taifa, Hayati Mwl. Julius Nyerere aliyatamani lakini hakuweza kuyafanya, na huko aliko Baba wa…
Mshiriki wa Stories of Change (#SoC) 2022 Kupitia andiko lake ameelezea Wajibu na dhamana ya Wabunge kuleta maendeleo kwa Wananchi akisisitiza kuwa wanatakiwa kusikiliza na kufuatilia changamoto za Wananchi wao kisha kuwasilisha Serikalini ili kuweza kutatuliwa wakishirikiana na…



KATAVI: Baada ya baadhi ya Wanawake Wajasiriamali Tarafa ya Karema Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kudai hawapati Mikopo ya Halmashauri hali inayowarudisha nyuma kimaendeleo, Uongozi wa Wilaya umefafanua. Mkuu wa Wilaya, Onesmo Buswelu amesema Wanawake waliolalamika ni…
DAR: Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, leo Septemba 4, 2025 amesema wanawashikilia Watu 15 kwa tuhuma za kutumia Namba za Usajili 'SSH 2530' kwenye magari kinyume cha Sheria ya Usalama Barabarani, huku msako dhidi ya wengine ukiendelea. Ikumbukwe,…
MBEYA: Chifu Soja Masoko akizungumza katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (#CCM), leo Septemba 4, 2025, ametoa wito kwa Machifu wote nchini kutumia 'mambo ya kimila' ili wale wanaobeza na kumtukana Rais kupitia Mitandao ya Kijamii walaaniwe.…
MBEYA: Mgombea wa Ubunge Jimbo la Uyole, Tulia Ackson, leo Septemba 4, 2025 amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu imefanya mabadiliko makubwa yatakayowezesha Uchaguzi wa Mwaka 2025 kuwa Huru na Haki zaidi, ikiwemo kubadilisha namna anavyopatikana Mkurugenzi wa Uchaguzi na Wajumbe…
Waswahili wanasema “Mnyonge akipumua hujipa moyo.” Mdau, zingatia mahitaji ya mwili wako. Ikiwa umechoka kiakili na kimwili, kupumzika ni jambo la busara. Zaidi bofya jamii.app/JukwaaJamiiFor… #JamiiAfrica #JamiiForums #AmkaNaJamiiAfrica #GoodMorning #Maisha

Mdau wa JamiiForums.com kupitia Jukwaa la Siasa amesema katika kampeni zinazoendelea nchini, Vyama mbalimbali vya Siasa vimekuwa vikinadi Sera zao kwa umma kwa lengo la kuomba ridhaa ya kuongoza. Amehoji kama Ilani zao zinaeleza kwa usahihi utekelezaji wa Dira 2050, au…

Ufuatiliaji uliofanywa na #JamiiCheck umejiridhisha kuwa Taarifa inayosambaa Mtandaoni ikieleza kuwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X amechapisha Taarifa akielezea baadhi ya mambo ikiwemo kuomba radhi kwa kauli zake…



Ujumbe wa Shao unakumbusha kuwa Uthibitishaji wa Taarifa ni muhimu katika kupambana dhidi ya Taarifa zisizo Sahihi. Kumbuka msingi wa maamuzi sahihi unatokana na Taarifa sahihi, tembelea Jukwaa la JamiiCheck.com kwa Taarifa zilizothibitishwa. #HakikiTaarifa #FactsCheck…

United States 趨勢
- 1. Columbus 68.5K posts
- 2. #SwiftDay 8,436 posts
- 3. #WWERaw 22.8K posts
- 4. #IDontWantToOverreactBUT N/A
- 5. #IndigenousPeoplesDay 2,881 posts
- 6. #TSTheErasTour 2,182 posts
- 7. Knesset 119K posts
- 8. Marc 35.4K posts
- 9. Good Monday 39.8K posts
- 10. Victory Monday 1,613 posts
- 11. Thanksgiving 42.8K posts
- 12. Flip 48.2K posts
- 13. Branch 47.8K posts
- 14. Kairi 9,981 posts
- 15. Broadcom 1,777 posts
- 16. Rod Wave 3,131 posts
- 17. Happy 250th 2,065 posts
- 18. Penta 4,701 posts
- 19. GOD BLESS THE PEACEMAKER 4,224 posts
- 20. Egypt 153K posts
你可能會喜歡
-
millardayo
@millardayo -
BBC News Swahili
@bbcswahili -
Clouds Media
@CloudsMediaLive -
EastAfricaTV
@eastafricatv -
Simba Sports Club
@SimbaSCTanzania -
Azam TV
@azamtvtz -
Masoud Kipanya
@masoudkipanya -
Swahili Times
@swahilitimes -
Mohammed Dewji MO
@moodewji -
Samia Suluhu
@SuluhuSamia -
EastAfricaRadio
@earadiofm -
Salim Kikeke
@Salym -
Maulid Kitenge
@mshambuliaji -
OscarOscar
@mzeewakaliua -
Mwananchi Newspapers
@MwananchiNews
Something went wrong.
Something went wrong.