rahimroca's profile picture. 190/2025-(21.01.2025)

ٱلرَّحِيم

@rahimroca

190/2025-(21.01.2025)

Pinned

R.T

I wake up with the zeal to take over the world every morning but at exactly 10:17am all that disappears and I just try my best to stay alive for the rest of the day.



ٱلرَّحِيم reposted

Ukijihisi mwamba kuna mwamba zaidi yako.


ٱلرَّحِيم reposted

Tallying another year to my chronicle. +1

PhitMathematic's tweet image. Tallying another year to my chronicle. +1

ٱلرَّحِيم reposted

Twitter Kila Mtu Ana Wanae Ambao Kila Atakacho Tweets Lazima Waruke Nacho,Nina Wanangu Permanent Kama Saba Hivi Lazima Wataruka Na Tweets Zangu Nami Pia Nafanya Hivyo Kwenye Tweets Zao,Big Shout-out Kwao Wanajijua Sina Haja Ya Kutag Handles Zao 🤝🙏 My Friends Brothers & Sisters


ٱلرَّحِيم reposted

Kuna jinsi hivi vinanda vya mabasi huwa vinaburudisha 😅


Hakika kaka

Kuna jinsi hivi vinanda vya mabasi huwa vinaburudisha 😅



Achana na this mind set my sister najua unajiweza ila hili kwako hakikutoshi,kubali tu men still a men.

Humu kuna watu ni madikiteta na wadini sana sema ni vile nchi yetu haina dini. Sijui ingekuwaje😭



Drink it to that kaisikilize.

Ndio zipo nyingi tu ikiwemo ‘What’s my name’



Makaveli eeh Dada kifaru kamsikiliz3 humu

Hivi kuna nyimbo Rihanna alitulia kama Rehab?



ٱلرَّحِيم reposted

Hujambo mashabiki wa Tanzania 👋 𝐒𝐞𝐥𝐞𝐦𝐚𝐧𝐢 𝐌𝐰𝐚𝐥𝐢𝐦𝐮 amejiunga na klabu yetu .. Karibu katika familia 👐🔴⚪ #DimaWydad


"CHEERS AND DRINK IT TO THAT"

Hivi kuna nyimbo Rihanna alitulia kama Rehab?



ٱلرَّحِيم reposted

Hip Hop family ni Kichwa Rap,kichwa Cha Mic , Moko na Moko incredible 2 @onetheincredibl


ٱلرَّحِيم reposted

Habari za Asubuhi! 🌞


ALHAMDULILAH

Sio Kila aliyelala Jana amepata bahati ya kuiona siku ya Leo, mshukuru MUNGU Kwa zawadi ya uhai Tu



ٱلرَّحِيم reposted

Nchi hii inahitaji Polisi kama hawa wenye uwezo wa kujisimamia wenyewe.


ٱلرَّحِيم reposted

Number dont lie. Ni kweli Dinho aliujua mpira ila namba sasa

FullDose3's tweet image. Number dont lie. Ni kweli Dinho aliujua mpira ila namba sasa

ٱلرَّحِيم reposted

Sio kila mchezaji atabeba World Cup or Ballon d’Or, ni wangapi wanapata mafanikio uliyotaja? Ni wachache nadhani haifiki hata 5% ya wachezaji wote professional wa mpira wa miguu. Kwa wanaoelewa mpira wanatumia vigezo vingine kutambua uzuri wa mchezaji


ٱلرَّحِيم reposted

🔥🔥🔥 huyu ndo mchezaji ambaye sichoki kumuangalia pure Brazilian


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.