
Ahmad
@rajuQuire
“Kukinai, kuridhika ni hazina isiyo filisika.”
You might like
“ Naamini alichonikusudia ALLAH kiwe changu kitanifikia tu muda ukiwadia.”—🤲🏻🕓
Standanyoqoo nyingi hao.
😀😀😁😁🤣🤣
Kama umewahi kukeke kwenye DM humu, mtu huyo akiwa anapikwa wee kaa mita 1000 tuu lasivyo 😆 mnafeli sana, jamaa anasema “Kila mtu ana DM yake moja ambayo amewahi jimalizaa weee siku moja aliona huyo manzi anapikwa ikabidi azime data kabisa asije jichanganye akaunga tela” 🤣🤣🤣
✅ ❎


#DearNyerere Toka umeondoka hadi leo sijapata mke wa kuoa.😒
“ Inawezekana tatizo la paka kwa panya lingekwisha kwa paka kufungwa kengele shingoni; tabu ni kumpata panya wa kufanya kazi hiyo,na panya watakuwa wajinga sana kwa kudhani paka watajifunga au kufungana kengele .” — Mwalimu J.K Nyerere

“Surah Luqman: Ayah 24 تمَتَّعُهُمْ قَلِيلًا ثُمَّ نَضْطَرُهُمْ إِلَى عَذَابٍ غَلِيظ Tunawastarehesha kwa uchache, kisha tutawasukuma kwenye adhabu ngumu.”
Kila mmoja anapitia magumu kwenye maisha yake kwa namna moja au nyingine. Ukitaka kujua una maisha nafuu kiasi gani angalia walio chini yako, ukiangalia walio juu yako utazidi kuumia na kukufuru mshukuru Mungu kwa kila hatua unayopitia.
Tunafuga punda nyumbani ila tunaenda kutembelea pundamilia mbugani, Punda anafugika sababu ana usikivu ila ukimtazama havutii kabisa lakini pundamilia hafugiki japo ni mzuri kumtazama sababu anavutia sana machoni. So tiktok pundamilia ni nyingi.😀
🌿 Chagua Asili, Chagua Ubora – Chagua Pemba Taste Products! Kila pakiti ni matokeo ya kazi ya mikono ya wakulima wetu wa ndani, bila kemikali wala viungio bandia – ni ladha safi ya asili. #PembaTaste2025 #Organic




🏖



United States Trends
- 1. Good Wednesday 28.5K posts
- 2. #wednesdaymotivation 6,293 posts
- 3. #LoveYourW2025 206K posts
- 4. Jay Jones 57.2K posts
- 5. Hump Day 12.6K posts
- 6. Markey 1,146 posts
- 7. #VxWKOREA 53.4K posts
- 8. Moulton N/A
- 9. #GenV 4,498 posts
- 10. And the Word 75.8K posts
- 11. St. Teresa of Avila 2,342 posts
- 12. #15Oct 4,281 posts
- 13. Young Republicans 102K posts
- 14. Raila Odinga 189K posts
- 15. Happy Hump 7,768 posts
- 16. Tami 5,281 posts
- 17. Voting Rights Act 7,363 posts
- 18. HSBC 1,783 posts
- 19. hobi 36.9K posts
- 20. Lonzo 3,680 posts
You might like
-
ARISTOTLE 🇻🇦🇻🇦
@noah_mwamfupe -
Big_Nicky✊️
@Big_Nicky01 -
Arusha Icon
@arusha_icon -
Troll man U Tz
@aguujoker -
fezoo
@fezoomaster -
Dogo La Nyeti
@dogolanyeti -
𝓜𝓲𝓼𝓼𝓪𝓰𝓸. 𝓙𝓻
@Sam_UsariverBoy -
𝐊𝐄𝐍𝐙𝐎💙
@noel_kenzo20 -
𝑇𝑜𝑧𝑖 𝑤𝑎 𝑘𝑖𝑣𝑎𝑘𝑢
@tozi_wa_kivaku -
Ali
@flopvandees89 -
Naree
@Naree2021 -
Kabigwa_Afya💊
@kabigwa_78 -
and, it was!
@M8churo -
CalLMe JaX™🇹🇿😎
@JokeRilamtaa -
Very Jr
@VeryboyJr
Something went wrong.
Something went wrong.