sightmirror's profile picture. #FFF#

Sightmirror

@sightmirror

#FFF#

Sightmirror reposted

Mchungaji, binafsi nimependa kwa kweli ustadi na falsafa uliyotumia kujenga hoja yako hapa. 👌🏾 Nina follow- up questions hapa kidogo, kama hutojali; Ikiwa kazi yangu mimi ni Ujambazi/Ujangili, mimi/nafsi yangu naweza kuwa nani kwa mfano? Au kama 'nafasi' yangu ni Mmishonari,

Lema mdogo wangu, nadhani pamoja na kuwa tumekuwa marafiki kwa muda mrefu, bado hujanijua vizuri. Kuna tofauti kubwa sana kati ya who I am na what I do — kati ya utambulisho wangu na shughuli zangu. Kwangu mimi, identity ni muhimu kuliko cheo, madaraka au mamlaka. Cheo kinaweza



Sightmirror reposted

Mahinyila: Kwahiyo ni sahihi kwamba Steven Wasira ndio anajua mambo mengi zaidi kuliko wewe na ndio alipaswa kuja kutoa ushahidi kuhusu nyumba yake iliyoungua maana naona kuna vitu huvifahamu na huvielezei vizuri? Veronica: Ni sahihi kabisa. Mahinyila: Sasa tuhamie eneo

duahamud's tweet image. Mahinyila: Kwahiyo ni sahihi kwamba Steven Wasira ndio anajua mambo mengi zaidi kuliko wewe na ndio alipaswa kuja kutoa ushahidi kuhusu nyumba yake iliyoungua maana naona kuna vitu huvifahamu na huvielezei vizuri? 

Veronica: Ni sahihi kabisa. 

Mahinyila: Sasa tuhamie eneo

Sightmirror reposted

Tutumie tu akili yakuvukia barabara. Hivi unadhani mama yake Deus Soka ataguswa na maumivu ya Max Rioba? Vipi ndugu na jamaa wa yale maelfu ya watu waliouawa kikatili na mtukufu wako? Hauwezi kuchagua kuwa kibaraka wa dola umechagua kuwa adui wa umma, ni simple math. Sorry!

EduTalkTz's tweet image. Tutumie tu akili yakuvukia barabara. 

Hivi unadhani mama yake Deus Soka ataguswa na maumivu ya Max Rioba?

Vipi ndugu na jamaa wa yale maelfu ya watu waliouawa kikatili na mtukufu wako? 

Hauwezi kuchagua kuwa kibaraka wa dola umechagua kuwa adui wa umma, ni simple math.

Sorry!
EduTalkTz's tweet image. Tutumie tu akili yakuvukia barabara. 

Hivi unadhani mama yake Deus Soka ataguswa na maumivu ya Max Rioba?

Vipi ndugu na jamaa wa yale maelfu ya watu waliouawa kikatili na mtukufu wako? 

Hauwezi kuchagua kuwa kibaraka wa dola umechagua kuwa adui wa umma, ni simple math.

Sorry!

Sightmirror reposted

Thamani ya mwanadamu kwa CCM haitofautiani sana na tissue paper. Yani umuhimu wako ni instrumental, wakishakutumia kupangusa wanachotaka kupangusa, wanakutupa jalalani au kukuflash na kinyesi. Ni bahati mbaya sana huwa tunasahau hili!

Meneja wa zamani wa wasanii na Digital Creator @maxrioba anahitaji msaada wa Dola 42,000 (Tsh Milioni 108) za kwenda kutibiwa nje ya nchi kutokana na tatizo la Achalasia linalomsumbua kwa muda mrefu. Tatizo hilo hutengeneza uvimbe kwenye koo ndani ya njia ya chakula karibu na

eastafricatv's tweet image. Meneja wa zamani wa wasanii na Digital Creator @maxrioba anahitaji msaada wa Dola 42,000 (Tsh Milioni 108) za kwenda kutibiwa nje ya nchi kutokana na tatizo la Achalasia linalomsumbua kwa muda mrefu.

Tatizo hilo hutengeneza uvimbe kwenye koo ndani ya njia ya chakula karibu na


Sightmirror reposted

Mungu aliwasamehe makahaba, lakini ulipofika wakati wa kumchagulia Mwanawe mama, alimchagua bikira. Jifunze kutoka kwa Mungu. Bado unasubiri kuwa DC ? Sababu ya kurudi ni mauaji 29/10/2025 kwani ina nguvu na heshima zaidi ya ile sababu iliyokuondoa kwenye wajibu mwema.

godbless_lema's tweet image. Mungu aliwasamehe makahaba, lakini ulipofika wakati wa kumchagulia Mwanawe mama, alimchagua bikira. Jifunze kutoka kwa Mungu. Bado unasubiri kuwa DC ?  Sababu ya kurudi ni mauaji 29/10/2025 kwani ina nguvu na heshima zaidi ya ile sababu iliyokuondoa kwenye wajibu mwema.

Sightmirror reposted

Nilikuwa nimelala , ngoja niamke vizuri !!!


Sightmirror reposted

Muuwaji Samia thinks this will somehow make her buy time and evade accountability. Wrong!!

Tume ya Kuchunguza Matukio yaliyojitokeza Oktoba 29, 2025 imeongezewa Siku 42 na kutakiwa kukamilisha majukumu yao Aprili 3, 2026 kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Tume hiyo Februari 20, 2026. Ikumbukwe tume ilikuwa ikamilishe ripoti kabla au siku ya Februari 20, 2026, ila

JamiiForums's tweet image. Tume ya Kuchunguza Matukio yaliyojitokeza Oktoba 29, 2025 imeongezewa Siku 42 na kutakiwa kukamilisha majukumu yao Aprili 3, 2026 kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Tume hiyo Februari 20, 2026.

Ikumbukwe tume ilikuwa ikamilishe ripoti kabla au siku ya Februari 20, 2026, ila
JamiiForums's tweet image. Tume ya Kuchunguza Matukio yaliyojitokeza Oktoba 29, 2025 imeongezewa Siku 42 na kutakiwa kukamilisha majukumu yao Aprili 3, 2026 kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Tume hiyo Februari 20, 2026.

Ikumbukwe tume ilikuwa ikamilishe ripoti kabla au siku ya Februari 20, 2026, ila
JamiiForums's tweet image. Tume ya Kuchunguza Matukio yaliyojitokeza Oktoba 29, 2025 imeongezewa Siku 42 na kutakiwa kukamilisha majukumu yao Aprili 3, 2026 kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Tume hiyo Februari 20, 2026.

Ikumbukwe tume ilikuwa ikamilishe ripoti kabla au siku ya Februari 20, 2026, ila


Sightmirror reposted

May God continue to protect you, you are the mirror of the nation. I wish you a happy Sunday, hm @TunduALissu

JohnMbura2's tweet image. May God continue to protect you, you are the mirror of the nation. I wish you a happy Sunday, hm @TunduALissu

Sightmirror reposted

TAARIFA KWA UMMA.

bavicha_taifa's tweet image. TAARIFA KWA UMMA.

Sightmirror reposted

Zaidi ya 80% wasiojulikana ni Green Guard Madogo wanajikutaga wamemaliza kila kitu, hakuna central hawatoki hawa madogo, kuna muda wanakuwaga traffick wanaongoza misafara ya CCM road, na cops wanakaa pembeni Hawajui chochote hawa madogo, hawajui hata six weeks, ila wanapewa AK47

Oktoba29's tweet image. Zaidi ya 80% wasiojulikana ni Green Guard
Madogo wanajikutaga wamemaliza kila kitu, hakuna central hawatoki hawa madogo, kuna muda wanakuwaga traffick wanaongoza misafara ya CCM road, na cops wanakaa pembeni

Hawajui chochote hawa madogo, hawajui hata six weeks, ila wanapewa AK47

Sightmirror reposted

AMETEKWA Asajile Mwanjala alikamatwa Tarehe 24.10.2025 akashikiliwa na jeshi la Polisi kwa KIPINDI cha Mwezi mmoja, Baada ya kuachiliwa huru alitakiwa kuripoti kila Mwezi kituo cha Polisi Iringa mjini, Tarehe 12.2.2026 alipokwenda kuripoti alipotezwa Mpaka SASA hajulikani


Sightmirror reposted

I agree kupumzika muhimu hata mi kuna wakati I have to take a break! Everybody copes the best they can! Muhimu ni kutosaliti harakati! That’s all! Much energy and power to all of us! Hizi harakati ngumu! Mtu anayefikiri kuna kulipwa hajui harakati na sacrifices that it comes with


Sightmirror reposted

I met with these guys face to face and I can absolutely identify them. I didn’t ask them to meet me, it’s themselves who showed up for me. Under Mafwele’s instructions these guys were beating me while handcuffed I told them to uncuff me If they are real men.

fbuyobe's tweet image. I met with these guys face to face and I can absolutely identify them.

I didn’t ask them to meet me, it’s themselves who showed up for me.

Under Mafwele’s instructions these guys were beating me while handcuffed

I told them to uncuff me If they are real men.

Sightmirror reposted

Mchungaji Yanick Mbombo wa Kanisa la Ebeneza Restoration, anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana siku ya jumatatu akiwa nyumbani kwake Tabata jijini DSM. Kwa mujibu wa taarifa ambayo familia imetoa kwa Baba Askofu Mwamakula, watu hao walimfuata Mchungaji huyo na gari aina ya

Sativa255's tweet image. Mchungaji Yanick Mbombo wa Kanisa la Ebeneza Restoration, anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana siku ya jumatatu akiwa nyumbani kwake Tabata jijini DSM. Kwa mujibu wa taarifa ambayo familia imetoa kwa Baba Askofu Mwamakula, watu hao walimfuata Mchungaji huyo na gari aina ya

Sightmirror reposted

Dada @lemiikibatala atakuwepo Musoma mjini Machi 8, 2025.

HildaNewton21's tweet image. Dada @lemiikibatala atakuwepo Musoma mjini Machi 8, 2025.

Sightmirror reposted

Bila kuchoka mkuu, Mpaka watakapo muachia huru Mwenyekiti wetu #FreeTunduLissu

Mwinshehe07's tweet image. Bila kuchoka mkuu, Mpaka watakapo muachia huru Mwenyekiti wetu #FreeTunduLissu

Leo Nlikua Mahaka kuu, Ila kwa ufupi tu Niseme- -Moja, TAL anajua anachokifanya🙌🏻 -pili, wale jamaa kwenye cross-examination Hawatokuja wamuweze Goat ,TAL🔥🙌🏻

Adv_innocent's tweet image. Leo Nlikua Mahaka kuu, Ila kwa ufupi tu Niseme-

-Moja, TAL anajua anachokifanya🙌🏻

-pili, wale jamaa kwenye cross-examination Hawatokuja wamuweze Goat ,TAL🔥🙌🏻


Sightmirror reposted

By the way, OC CID wa Arusha, Mahita ambae kamteka na kamuua Banjoo mfanyabiashara wa madini Arusha ni kaka yake na yule Hidaya Mahita ambae aliwapanga mahomeless wa Marekani na wa Mexico akawabebesha mabango ya Samia. Kaka mtu kwenye maandamano aliingia barabarani akawa

mangekimambi's tweet image. By the way, OC CID wa Arusha, Mahita ambae kamteka na kamuua Banjoo mfanyabiashara wa madini Arusha ni kaka yake na yule Hidaya Mahita ambae  aliwapanga mahomeless wa Marekani na wa Mexico akawabebesha mabango ya Samia.  

Kaka mtu kwenye maandamano aliingia barabarani akawa
mangekimambi's tweet image. By the way, OC CID wa Arusha, Mahita ambae kamteka na kamuua Banjoo mfanyabiashara wa madini Arusha ni kaka yake na yule Hidaya Mahita ambae  aliwapanga mahomeless wa Marekani na wa Mexico akawabebesha mabango ya Samia.  

Kaka mtu kwenye maandamano aliingia barabarani akawa

Sightmirror reposted

Nisaidie ku-share hii post ifike viral mpaka dogo apatikane chapu.🥲

Skyfly_gains's tweet image. Nisaidie ku-share hii post ifike viral mpaka dogo apatikane chapu.🥲

Sightmirror reposted

R.I.P Hamza kiukwei kifo chako cha kishujaa kiliwaliza wengi.

Savasec's tweet image. R.I.P Hamza kiukwei kifo chako cha kishujaa kiliwaliza wengi.

Sightmirror reposted

Hukumbuki zamani Mzazi anakukataza kuchezea na mtoto wa fulani kwa sababu ana tabia mbaya asijue kukuambukiza? Hatuna cha kufundisha; tumedharauliwa.

Tume ya Uchaguzi ya Zambia haraka haraka wamekanusha kuja Tanzania kujifunza Uchaguzi leo Tanzania inakimbiwa nchi hazitaki kuambiwa zinakuja kujifunza Uchaguzi usio tambuliwa na jumuiya ya kimataifa hii ni aibu kwa Tanzania iliyokuwa mfano Africa sasa tunakiwa kama ukoma



Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.