Technology Tanzania
@technologytz
Tech enthusiast | 🇹🇿 | Building Tanzania's tech future | Exploring the latest Technologies.
You might like
Every UX/UI designer should know these websites! 1. huemint. com - AI color palettes 2. picjumbo. com - free stock photos 3. lordicon. com - 8,000+ animated icons Share it with your friends! Thanks 💙
Every UX/UI designer should know these websites! 1️⃣ stocksnap. io - free stock photos 2️⃣ screenlane. com - free mobile design inspiration site 3️⃣ angle. sh - beautiful device mockups ✨ Share it with your friends! Thanks 💙
JINSI SIMU YAKO YA MKONONI INAVYOWEZA KUSAIDIA WATEKAJI KUKUPATA KIRAHISI.. Simu ya mkononi imekuwa ni kifaa kazi kwetu ili kurahisisha mawasiliano, biashara, masomo na utafiti, afya, habarisha n.k Kwa bahati kukua kwa teknolojia kumekuja na matishio ya kiusalama mfano udukuzi…
⚡️Dhumuni la AI sio wewe uwe mburula kuitegemea yenyewe ikufanyie kila kitu. Kama ni muandishi AI ipo kukupa hints kipi ukifanyie research zaidi ufahamu kwa undani. Sio COPY & PASTE. HAPANA. Lengo ni usome ilichokupa, fanya analysis na further reason alafu tolea RIPOTI.
Kama unatumia windows na huna hii firewall , basi utachezewa sana , nakushauri tumii zaga , i was testing to deploy silence network malware , windows defender + AV zingine zoteee zimeshindwa detect but this imeishika
⚡️Katika vitu vinanifurahisha na kunipa maswali mengi ni kuona project za final year nyingi za TEHAMA zinafanyiwa kazi na serikali sasa hivi. Mfano mfumo wa hospitali wa afya care ilikuwa project yetu. Hii kuomba barua ya utambulisho online ilikuwa project ya jamaa zangu
#VIDEO Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amesema Tanzania imechagua miji mikuu mitano kuifanya miji ya TEHAMA, kumaanisha miji ambayo huduma zake nyingi zitatolewa kwa TEHAMA ikiwemo watu kuwa na uwezo wa kuomba barua za utambuzi kutoka serikali za…
Habaritech mpya na bora zaidi kuanzia kesho
⚡️Twiga Foods kulete mabadiliko kwenye kilimo kwa Teknolojia Miaka ya 1760s kulitokea kitu kinaitwa MAPINDUZI YA VIWANDA. Katika historianya dunia hii ilikuwa moja ya wakati muhimu kuwahi tokea maana ilionyesha ukuaji wa uchumi na teknolojia. #ElimikaWikiendi @ElimikaWikiendi
Huyu mchizi wangu leo tumekaa naye anapiga $100+ just kutumia AI(chatgpt) kutrain AI models Ananambia pesa nyingi keshawahi make na hii kazi ni $9k/week
Eenh hii NAIROBI wana wanapiga madusko Online aisee🙌🏾🙌🏾
💨 XIAOMI MPYA ✅ ▪️Redmi A2+ (2+32) - 220K ▪️Redmi 12C (3+64) - 250K ▪️Redmi 13C (4+128) - 299K ▪️Redmi Note 12 (6+128) - 400K ▪️Redmi Note 12 (8+256) - 500K ▪️Note 13 (6+128) - 480K ▪️Note 13 Pro (8+256) - 750K ▪️Note 12 Pro+ 5G (8+256) - 980K 📍Likoma, Opposite na KKKT…
Kumekua na challenges ya kupata list ya mikoa na wilaya zake katika development. Leo nimetengeneza hii package hope itawasaidia developers katika development zenu. Unaweza install kwa kutumia composer. Repo yake ya github ni hii github.com/devmpemba/Tanz…
Asilimia 70% ya watanzania wanatumia “2580” kama password yao ya siri
Usifikiri kwa sababu uko na simu yako wakati wote basi haiwezi kuwa hacked, wadukuaji ni wajanja na hutumia njia tofauti kudukua simu bila hata wewe kujua. Njoo leo tujifunze njia kadhaa za kujua kama simu yako imedukuliwa. #ElimikaWikiendi
Hii pia kwa lot 0.01 hatuwezi nunua wanangu tuacheni masihala…
Je ni laptop Gani Bora kati ya Hp na Dell? Na kama una pendekezo tofauti Niambie? Limekua ni moja ya maswali ninayo ulizwa sana. Kabla sijajibu swali hili nakumbuka moja ya sentensi ya @NyandaAmosi USIKURUPUKE KUJIBU SWALI LA MTEJA. Pia namkumbuka mwl Wangu Prof. Mkandala
Ukiwa mfatiliaji mzuri wa Social media hasa Tiktok, account nyingi zimekula BAN ikiwepo Account ya Steven Mweusi. Hii ni baada ya Mtandao huo kuanzisha Creator reward Program inayolipa creators wake pesa ndefu sana. Kufatia hilo, 𝕏 nayo imeanza kudhibiti uhuni unaofanywa na…
Kikuyu landlords be like: Check Thread👇😂
The Story of Gold Scammers of Nairobi. Part 1 The DONs who run the GAME.
United States Trends
- 1. Good Tuesday N/A
- 2. Custom N/A
- 3. #SayonaVenezuelaTeRepudia N/A
- 4. Megyn Kelly N/A
- 5. #CatForCashEP2 N/A
- 6. Maple Grove N/A
- 7. Coco N/A
- 8. #HolocaustRemembranceDay N/A
- 9. #TuesdayMotivaton N/A
- 10. BAFTA N/A
- 11. #TrueVisionsNOW N/A
- 12. $UNH N/A
- 13. Lee Majors N/A
- 14. Vinod N/A
- 15. Auschwitz N/A
- 16. Bionic N/A
- 17. The USOR N/A
- 18. Lindsay Wagner N/A
- 19. Kimi K2 N/A
- 20. WhatsApp N/A
You might like
-
KABAKA SCOFIELD
@TonyScofield14 -
BlockchainMaven - integra )✣(
@AchukaGracious -
Σαμουήλ
@DtnSamuel -
Chibuzor M.J♧
@realmartinjchi -
Bentiagøz_KE
@Bentiagoz_KE -
THE SOVEREIGN GUILD 👑
@XtweetsbyKing -
dave from🇰🇪
@Dave300799 -
Victor
@Victor63718762 -
Shugaz
@shugazug -
Obatayo Olamilekan 🇳🇬🇬🇧
@_sundrazy -
Sodiki
@ABCDQ_69 -
Mubarak Iyanda
@Auspytweets -
1realMixtɛrDan🇬🇭🌟
@danny__Pary -
msacha
@msachadigital -
Issa Mtama
@MmangaEsir
Something went wrong.
Something went wrong.