Harakati
@tracminds
Save plants, save life; every green leaf is a promise for a healthier future. ☘️🌿
You might like
AMEN Huu ndo Utu sasa
Maombi yetu kwa familia za wahanga wa vurugu zilizotokea Indonesia wakati wa mechi ya wapinzani wa jadi kati ya Arema na Persbaya Surabaya. Tunawaombea waliopata majeraha wapone na waliotangulia mbele za haki wapumzike kwa amani. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Jasusi Bamia ni Bwege kweli 😂😂
Yericko, Jasusi Bamia ni jitu la hovyo sana. Eti hujawahi kupata tangu uzaliwe 🚮😂
Mange huna deni umeisaidia sana hii nchi tar 29 tukiikomboa tunakuvisha nishani @mangekimambi hongeraaaaaa Nime scan QR CODE ni yenyeweeee ipo kwenye website ya TRA aisee TIN namba ya ABDUL 109342908 Malipo ya BILION 2 wizi na ufisadi mamae ABDUL ataozea jera huyu mamae
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 31 Tumerudi sasa. Sauti ya High Court imepigwaa na askari kwa sauti fulani hivi ya kinyonge sana. Majaji wanaingia tayari. Mhe. Lissu ameingia pia. Mawakili wa serikali tunawaona. Anaandika kidogo Jaji Nduguru na anamuuliza Mhe. Lissu kama…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 27 Anaendelea Wakili wa Serikali Katuga Wahesimiwa Majaji mbali na kukubaliana nae lakini tunapinga pingamizi lake la hati yetu ya mashitaka kwamba ina mapungufu yasiyotibika. Kwamba defective incurable na tunaleta chini ya kifungu cha 238 cha…
NATOA SHULE YA BURE NA RAHISI Nimeona Comments watu wanasema sisi hatutumii mfumo wa kielectronic kupiga kura tunatumia makaratasi sasa mfumo unahusika vipi? Niseme tu ukiongea hilo neno kwa sisi wataalamu wa mifumo tutakuwasha kibao shuka na huu uzi kisha Retweet uwafikie wengi
Man to man Usiwahi kumtelekeza mtoto wako, Huu ndio usaliti mkubwa zaidi kwa ukoo wako.
Message sent! Ukistaafu alafu kila kukicha unaonekana ubavuni wa mwenye ofisi si sawa! Mshauri unashauri nini hadi mikutano unaenda kuwakilisha kimataifa 🙄 Hapa ndo penyewe 🔥 asante Kanisa Katoliki🙏🏽 #NoReformsNoElection #TutaelewanaTu
🚨‼️MSINITEKE NIJIBUNI🙄‼️🚨 Nimekuwa nikiperuzi mambo ya DP World Tanzania nimekutana na hii taarifa ya shareholding kumbe Tanzania DPW wana asilimia 65.1% tu ya kampuni iliyosajiliwa locally kusimamia bandari Shareholders wengine ni akina nani? 🧐 Msianze kupanga kikosi kazi…
Wapare na wahaya kwenye ugawaji wapare wanaongoza ila kwanini hawasikiki sana ila sauti iliyopo juu ni ya wahaya ? ila wapare mbingu wataisia tu 🤣
“Mfumo wa data za uchaguzi umeunganishwa na Mfumo wa NIDA na mfumo huo umeunganishwa na mfumo wa CCM”-; Balozi Polepole
Humu mmefanya mpaka Kigwangala kahamia Instagram 😂
Mahakamani pamechafuka sana Leo.. 😆 TAL ameambiwa ataje mashahidi wake kama anao. TAL amemtaja SSH, Mpango na Majaliwa katika orodha ya mashahidi wake. Hakimu Franco Kiswaga akasema hao mashahidi ataomba kibali Mahakama Kuu waingie kwa kuwa hawezi kuwaingiza katika commital.
United States Trends
- 1. Sonny Gray 4,803 posts
- 2. Dick Fitts N/A
- 3. #yummymeets N/A
- 4. Red Sox 5,425 posts
- 5. #GMMTV2026 4.03M posts
- 6. Clarke 5,539 posts
- 7. Giolito N/A
- 8. Thankful 49.8K posts
- 9. National Treasure 4,186 posts
- 10. Gone in 60 1,370 posts
- 11. Happy Thanksgiving 19.2K posts
- 12. #csm221 4,027 posts
- 13. Breslow N/A
- 14. Joe Ryan N/A
- 15. Chaim N/A
- 16. #OurCosmicClue_Wooyoung 26.8K posts
- 17. Raising Arizona N/A
- 18. Ghost Rider 1,623 posts
- 19. Mark Kelly 247K posts
- 20. Hegseth 122K posts
You might like
-
RAMU Kumar
@kum78277696 -
Bixen
@heisbixen -
दिनेश सिंह चौहान🚩🚩
@DineshS10670736 -
dodo🍫💦
@epQname -
Dr. Naitwa Kiokote PhD
@Kiokote03 -
Kamal Sharma
@kamalsharmaa87 -
Pabon
@Paboneasy -
Jay🇹🇿
@StewardJavan -
DJ Atkins effect
@AtkinsEffect -
Mpenda Amani 🇹🇿
@Amani37895399 -
Kegokora
@Kegokora1 -
Jake Black
@BlackVisionary_ -
Blood of Indian Soldier🇮🇳
@Santosh36933366 -
Jason🐦
@Iamjason93
Something went wrong.
Something went wrong.