Wilfred Tarimo
@willtarimo
Bible Teacher | Entrepreneur | Inspiration Writer ๐๐ก๐๐ซ๐ข๐ง๐ ๐๐ก๐ซ๐ข๐ฌ๐ญ. ๐๐ง๐ฌ๐ฉ๐ข๐ซ๐ข๐ง๐ ๐๐๐จ๐ฉ๐ฅ๐ | ๐๐๐ญ๐ฌ 28:31 KJV Christian Teachings Ministry
You might like
Utawezaje Kusoma Biblia Yako Sura 5 Kila siku? (soma maelekezo hapo chini):
Ahadi Za Mungu Kuhusu Amani: 1: Amani wakati wa dhiki. (Yoh 16:33). 2: Yesu ni Bwana wa Amani. (2 The 3:16). 3: Anatuweka katika Amani yake. (Isa 26:3). 4: Yesu ametuachia Amani. (Yoh 14:27) 5: Mungu anatujaza Amani. (Rum 15:13). 6: Amani yake inatuhifadhi. (Flp 4:7).
Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji. Zab 23:4 SUV
Huwezi kuutokomeza ukweli kwa kutumia uongo, propaganda au silaha. Unaweza kuufunika ukweli kwa muda ila hauwezi kuutokomeza kabisa usiwepo.
"I saw Larry Madowo issue, and how people have been murdered, ....i cried yesterday when i saw it."-Amb John CW
Moja ya zawadi kubwa kwa watoto wako ni kuwapatia sehemu wanayoweza kusema "hapa ni nyumbani kwetu".
Kuna makanisa nchini (dhehebu) ambayo siku waasisi wake wakifufuka basi watakufa tena kwa mshtuko wa yale watayoyakuta kwa viongozi wake. Unafiki, ufarisayo, uzandiki, uoga wa kukemea uovu, rushwa na kupenda fedha umetawala makanisani. Tunahitaji Reformation pia ndani ya kanisa!
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chamaโฆ
WAKRISTO wa kizazi kipya: Wanauliza maswali mitandaoni ambayo ni Roho Mtakatifu peke yake anaweza kuyajibu tena sirini kwenye chumba cha maombi. Jazwa Roho uone kama utauliza tena hizo vitu.
Asubuhi ya leo ninakukumbusha kujiombea na kuombea vitu unavyopokea. Viko baadhi ya vitu vimebeba hila ndani yake, ila USIOGOPE, maana tunayo damu ya YESU inenayo mema kinyume cha mabaya yote. Hivyo usiache kuomba kila wakati, na Mungu alie msaada wetu atakulinda dhidi ya yote
Wajina ๐ฏ๐
Kwa nini ukose IBADA? Una sababu gani kubwa ya kukufanya usiende kwenye KUSANYIKO TAKATIFU kuabudu pamoja na WAAMINI wenzako? Mbona wiki ikianza unakimbizana na mambo yako bila visingizio. Mtu wa Mungu wekeza rohoni! Nenda Ibadani. Nenda Kanisani!
Location, Location, Location! Katika BIASHARA ukikosea hapo ni hatari sana kwa afya ya mtaji wako! Zingatia ENEO unaloweka Biashara yako kabla ya kuwekeza fedha zako! Chunguza kwa makini kama ni kweli hilo WAZO linaendana na ENEO la bidhaa au huduma unayotaka kutoa kwa jamii!
. PRAY ....... Like Nehemiah OBEY ....... Like Daniel LEAD ........ Like Moses BUILD ....... Like Noah FIGHT ....... Like David SERVE ....... Like Martha BELIEVE ..... Like Mary EDUCATE ... Like Paul PROTECT .โฆ Like Peter LOVE ..โฆโฆโฆ.Like JESUS Can I get an โAMENโ ??? .
With generous support HANSPAUL Group of Companies and A to Z Textile Mills Limited, TPSF hosted a business community dinner in Arusha. The Dinner brought together CEOs from different Companies, Executive Directors from PSOs, and esteemed government officials.
Kufanya biashara Tanzania ni kazi ngumu sana.. ๐๐
Manispaa 10 zilizoongoza kukusanya mapato ya ndani kwa mwaka 2022/23: 1. Kinondoni - Bilioni 56.99 2. Temeke - Bilioni 33.02 3. Ilemela - Bilioni 17.09 4. Ubungo - Bilioni 15.22 5. Morogoro - Bilioni 13.01 6. Kigamboni - Bilioni 12.79 7. Kahama - Bilioni 10.22 8. Moshi -โฆ
Lakini nasema neno hili, Apandaye haba atavuna haba; apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu. 2 Wakorintho 9:6
Kwa kuwa uweza wake wa Uungu umetukirimia vitu vyote vipasavyo uzima na utauwa, kwa kumjua yeye aliyetuita kwa utukufu wake na wema wake mwenyewe. 2 Pet 1:3 SUV
Kwetu sisi msalaba wa Bwana Yesu Kristo ni nguvu.
Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; [6] Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako. Mit 3:5-6 SUV
United States Trends
- 1. Paddy N/A
- 2. #tiktokdown N/A
- 3. #UFC324 N/A
- 4. Alex Pretti N/A
- 5. Gaethje N/A
- 6. Learner Tien N/A
- 7. Ilia N/A
- 8. Good Sunday N/A
- 9. #MaybellinexPerthSanta N/A
- 10. Jesus is the Son of God N/A
- 11. #LingOrmHKFanmeetD2 N/A
- 12. LINGORM HONGKONG MEET N/A
- 13. Moro N/A
- 14. Arman N/A
- 15. Kyle Rittenhouse N/A
- 16. O'Malley N/A
- 17. Dragon Ball N/A
- 18. Beerus N/A
- 19. Medvedev N/A
- 20. Topuria N/A
You might like
-
Christian Bwaya
@bwaya -
fak18
@fak18 -
Kamugisha Kazaura
@KKazaura -
#NowWeKnow
@omarilyas -
Mike Mushi
@MikieMushi -
Stevie Wanga ๐ฟ๐ฒ
@StephenMiyoba -
Reema DIAB ุฑููู ูุง ุฏููุงูุจ
@ReemoDiab -
Dr. Sajjad Fazel
@SajjadFazel -
CWPedro
@cw_pedro -
Nick Filchy
@nickfilchy -
Comrade Mokiwa
@stevpm -
S A B I S T A R
@sabi_blessed -
Help For Hopelessness
@maxfirm -
PrincE
@princegraphics -
Becca jr
@junior_becca
Something went wrong.
Something went wrong.