#mbayanichats search results

SWALI: @Wakazi Unadhani Kwanini Hiphop Ya Hapa Nyumbani Haipigi Hatua, Hatuwi Nominated Kwenye Tuzo Kubwa Wala Kupata Madili Na Kampuni Kubwa #mbayanichats

#MbayaniChats .@IdrisSultan idea ya kipindi cha SIO HABARI bila shaka uliipata kupitia @TheDailyShow ya Trevor Noah. Vipi una mpango wa kuirudisha? Na vipi Ile interview na no. 1, alishakujibu?

Wiki Hii Ni Katika #mbayanichats Tutakuwa Na Ndg. @fredkavishe Baada Ya Last Week Kushindikana. Ni Mwendo Wa Ku #Funguka. Hosted by @thisistemidayo

Mcraymunnah's tweet image. Wiki Hii Ni Katika #mbayanichats Tutakuwa Na Ndg. @fredkavishe Baada Ya Last Week Kushindikana. Ni Mwendo Wa  Ku #Funguka. 
Hosted by @thisistemidayo

Haya wazee #funguka kama hupati deals sababu huna followers wa kutosha RETWEET na Shiriki #MbayaniChats kuanzia wiki hii michongo ianze kutembea This wiki tupo na @fredkavishe baada ya wiki iliyopita kushindikana, huku una uhakika wa Followers na engagement kubwa tu.

thisistemidayo's tweet image. Haya wazee #funguka kama hupati deals sababu huna followers wa kutosha RETWEET na Shiriki #MbayaniChats kuanzia wiki hii michongo ianze kutembea This wiki tupo na @fredkavishe baada ya wiki iliyopita kushindikana, huku una uhakika wa Followers na engagement kubwa tu.

Swali langu kwa @KennedyMmari #MbayaniChats Unadhani kwa elimu ya Tanzania na kwa ukuaji wa technology ya duniani, miaka 20 ijayo wa-Tanzania tutakuwa na nafasi ya kuajirika kimataifa? Na ni kazi gani unahisi zitakuwepo kwa miaka hiyo ijayo??

Nimekumbuka, @KennedyMmari kwanini mtu anaweza kukupa kazi vizuri kwa furaha lakini ukishaifanya kukulipa inakua “kesi ya madai”? #MbayaniChats hii imekaaje kitaalamu

Wigi lako kama fellain umeweka wap @officielsalome #MbayaniChats

Swali #MbayaniChats @IdrisSultan Uoni huu mwaka kunaaja ya kuoa..? Nakama bado utaoa lini...?😂

#mbayanichats Unajiona wapi baada ya miaka mitatu? @jaliluzaid

jana nilitoa Elimu ya #BATTERYSWELLING nilimtag @MiriamMkanaka aka RT ilienda Mbali ile Tweet, kumbe kuna Mtu humu anashida niliyoielezea jana. leo tumefix simu TABASAMU limerejea. call📞0782417435 📍Tupo Makumbusho Bus stand #mbayanichats

Sativa255's tweet image. jana nilitoa Elimu ya #BATTERYSWELLING nilimtag @MiriamMkanaka  aka RT ilienda Mbali ile Tweet, kumbe kuna Mtu humu anashida niliyoielezea jana. 

leo tumefix simu TABASAMU limerejea. 

call📞0782417435
📍Tupo Makumbusho Bus stand
#mbayanichats

Yale Madini / Vigongo unavyoviachia mara kwa mara , vyenye mafunzo kwa jamii, huwa unavisoma mahala, ama unabuni mwenyewe @MiriamMkanaka #MbayaniChats

1. SWALI: #MbayaniChats @IdrisSultan 1. Umeona Fursa gani kwenye soko la filamu nchini hadi ukaamua kuingia ? @IdrisSultan 2. Whats your re-fueling station, when everything else seems to be against you ? @IdrisSultan 3.Unamzungumziaje Thomas Shelby kwenye Picky blenders ?

Wiki hii kwenye #MbayaniChats tutakuwa na @IdrisSultan hosted by @thisistemidayo Usikose kuanzia saa 12 jioni. | Follow @mbayanichats kwa taarifa zaidi.

MiriamMkanaka's tweet image. Wiki hii kwenye #MbayaniChats tutakuwa na @IdrisSultan hosted by @thisistemidayo Usikose kuanzia saa 12 jioni. | Follow @mbayanichats kwa taarifa zaidi.

Swali langu kwa rafiki yangu @jaliluzaid ..unadhani kwanini watanzania wengi wamepoteza “kiu” ya kupiga “picha” hardcopy? Na Je unadhani kwa mapinduzi haya ya tech kazi hizi za picha haziko mashakani kupotea? #MbayaniChats

Wiki hii kwenye #MbayaniChats tutakuwa na @IdrisSultan hosted by @thisistemidayo Usikose kuanzia saa 12 jioni. | Follow @mbayanichats kwa taarifa zaidi.

lawrencelameck's tweet image. Wiki hii kwenye #MbayaniChats tutakuwa na @IdrisSultan hosted by @thisistemidayo Usikose kuanzia saa 12 jioni. | Follow @mbayanichats kwa taarifa zaidi.

#MbayaniChats Nini maana ya jina LUSAKO ? Na lina uhusiano wowote na wewe kuwa chama la wana AU kuzama DM😊 @LusakoWaKwanza

Last but not least @MiriamMkanaka most of your pictures nilizowahi ziona humu uko na low cut what about kusuka or mawigi?😂 #mbayanichats

Ok swali la mwisho kwa @jaliluzaid kwanini umechelewa kuoa? Na je unadhani mpenzi uliyenaye mtaoana?? Alafu tafuta ndevu ndugu yangu #MbayaniChats

"Mbayani ni kiswahili fasaha cha Celebrity, haya kuanzia jumapili ijayo, hapa TL tutakuwa na #MbayaniChats inayoletwa kwenu na @Temidayo_gm (Temidayo Ent.) Ungana nasi kumuuliza swali mbayani atakayekuwepo, na jibu upate hapo hapo." @thisistemidayo #MbayaniChats ilienda wapi ?

Wiki Hii Ni Katika #mbayanichats Tutakuwa Na Ndg. @fredkavishe Baada Ya Last Week Kushindikana. Ni Mwendo Wa Ku #Funguka. Hosted by @thisistemidayo

Mcraymunnah's tweet image. Wiki Hii Ni Katika #mbayanichats Tutakuwa Na Ndg. @fredkavishe Baada Ya Last Week Kushindikana. Ni Mwendo Wa  Ku #Funguka. 
Hosted by @thisistemidayo

Wiki hii ni katika #mbayanichats tutakuwa na Ndg. @fredkavishe baada ya last week kushindikana. Ni mwendo wa ku #Funguka. Hosted by @thisistemidayo

MzaliwaDiNegro's tweet image. Wiki hii ni katika #mbayanichats tutakuwa na Ndg. @fredkavishe baada ya last week kushindikana. Ni mwendo wa  ku #Funguka. 
Hosted by @thisistemidayo

Hyo #mbayanichats inahusiana na nn ?? Nauliza tu

Haya wazee #funguka kama hupati deals sababu huna followers wa kutosha RETWEET na Shiriki #MbayaniChats kuanzia wiki hii michongo ianze kutembea This wiki tupo na @fredkavishe baada ya wiki iliyopita kushindikana, huku una uhakika wa Followers na engagement kubwa tu.

thisistemidayo's tweet image. Haya wazee #funguka kama hupati deals sababu huna followers wa kutosha RETWEET na Shiriki #MbayaniChats kuanzia wiki hii michongo ianze kutembea This wiki tupo na @fredkavishe baada ya wiki iliyopita kushindikana, huku una uhakika wa Followers na engagement kubwa tu.

Haya wazee #funguka kama hupati deals sababu huna followers wa kutosha RETWEET na Shiriki #MbayaniChats kuanzia wiki hii michongo ianze kutembea This wiki tupo na @fredkavishe baada ya wiki iliyopita kushindikana, huku una uhakika wa Followers na engagement kubwa tu.

thisistemidayo's tweet image. Haya wazee #funguka kama hupati deals sababu huna followers wa kutosha RETWEET na Shiriki #MbayaniChats kuanzia wiki hii michongo ianze kutembea This wiki tupo na @fredkavishe baada ya wiki iliyopita kushindikana, huku una uhakika wa Followers na engagement kubwa tu.

Mwaka 2018/2019 zilitengwa zaidi ya Bil.40 kwa ajili ya mgawanyo huo, Vijana pekee walitengewa bilioni zaidi ya 15 fedha za kitanzania ili kufikia malengo na maendeleo yao kiuchumi. Kumbuka mkopo huu hauna riba. #kijanapazasautikamatafursa #asilimia4 #sdg8

Nilitamani sana kujumuika kwenye #TOTBonanza ya hii leo, ila majukumu hamenikamata huku visiwani so tutaonana ijayo bila shaka. Enjoy kila moment. Tip: Usijione unatengwa, jichanganye, kumbuka tunaongeaga kwa keyboard tu. Ciao! Well kesho tunakaa #MbayaniChats

Tutapiga next wiki #mbayanichats leo mambo yaliingiliana

Kwann safari lager na sio bia ingine #mbayanichats

Yeah EP huwa ni fupi 2 songs hadi 6. Zikifika 7 na kuendelea inakuwa album (LP) as in Long Play. #MbayaniChats

Ndio ameacha hasa secular music. Ila Kanisani kwao anaimbaga... Ila pia ujuzi haufi. Btw aliimba back vocals za kwenye Wanawake Wa Dar (WWD). Ukisikiliza vizuri you will hear her. #MbayaniChats

• Penda taaluma ya utangazaji. • Zingatia ethics zake. • Fanya utafiti na usiache kujifunza. • tafuta identity yako. Ni sawa kuwa inspired na fulani, ila jitengeneze wewe. Sipendi watangazaji wanaojinadi wao badala ya mhojiwa, na wapenda udaku na kiki #MbayaniChats

SWALI @Wakazi Mimi ni kijana ambae nnandoto ya kuwa mtangazaji mzuri kuhusiana na masuala ya muziki, unaweza kunishauri kipi kwenye ndoto nliyonayo na nini hupendi kwa presenters wetu wa kitanzania hususan kwenye entertainment industry #mbayanichats

Thank you for having me... Mwaka huu: • Compilation Album yenye upcoming artists (TemaYai) #25Fly • More Live Shows & Festivals • Kisimani Tour (5 cities) • SSK album • Live Album (Sauti Za Busara) • 10th year Anniversary Event • Work Ethic content #MbayaniChats

No results for "#mbayanichats"

Wiki Hii Ni Katika #mbayanichats Tutakuwa Na Ndg. @fredkavishe Baada Ya Last Week Kushindikana. Ni Mwendo Wa Ku #Funguka. Hosted by @thisistemidayo

Mcraymunnah's tweet image. Wiki Hii Ni Katika #mbayanichats Tutakuwa Na Ndg. @fredkavishe Baada Ya Last Week Kushindikana. Ni Mwendo Wa  Ku #Funguka. 
Hosted by @thisistemidayo

Wiki hii kwenye #MbayaniChats tutakuwa na @IdrisSultan hosted by @thisistemidayo Usikose kuanzia saa 12 jioni. | Follow @mbayanichats kwa taarifa zaidi.

lawrencelameck's tweet image. Wiki hii kwenye #MbayaniChats tutakuwa na @IdrisSultan hosted by @thisistemidayo Usikose kuanzia saa 12 jioni. | Follow @mbayanichats kwa taarifa zaidi.

Kwamba @jaliluzaid yuko singo toka mwaka jana mwanzoni ? #mbayanichats

abdulqubiz2's tweet image. Kwamba @jaliluzaid yuko singo toka mwaka jana mwanzoni ? #mbayanichats

Wiki hii kwenye #MbayaniChats tutakuwa na mpotea njia, ndugu @IdrisSultan hosted by @thisistemidayo Usikose kuanzia saa 12 jioni. | Follow @mbayanichats kwa taarifa zaidi.

badrujumah's tweet image. Wiki hii kwenye #MbayaniChats tutakuwa na mpotea njia, ndugu   @IdrisSultan hosted by @thisistemidayo Usikose kuanzia saa 12 jioni. | Follow @mbayanichats kwa taarifa zaidi.

Jioni hii kwenye #MbayaniChats atakwepo mwanadada @Rahuuuum mshiriki wa mkutano mkubwa wa vijana #ECOSOCYouthForum, atakuwa na Host wako @TemidayoEnt kuanzia saa moja kamili jioni hadi mbili usiku, usipange kukosa.

DjTee255's tweet image. Jioni hii kwenye #MbayaniChats atakwepo mwanadada @Rahuuuum mshiriki wa mkutano mkubwa wa vijana #ECOSOCYouthForum, atakuwa na Host wako @TemidayoEnt kuanzia saa moja kamili jioni  hadi mbili usiku, usipange kukosa.

Leo kwenye Mbayani Chats tupo na mzee Para, @IdrisSultan Moja ya vijana wanaijuma na kupenda kitu wanachofanya licha ya kukutana na kebehi na dharau. Kama una Maswali, maoni au ushauri tumia kiunganishi cha #MbayaniChats

MarekaMalili's tweet image. Leo kwenye Mbayani Chats tupo na mzee Para, @IdrisSultan 
Moja ya vijana wanaijuma na kupenda kitu wanachofanya licha ya kukutana na kebehi na dharau.
Kama una Maswali, maoni au ushauri tumia kiunganishi cha #MbayaniChats

Wiki hii kwenye @mbayanichats tutakuwa pamoja na mwanangu beberu @Wakazi #MbayaniChats

rollymsouth's tweet image. Wiki hii kwenye @mbayanichats tutakuwa pamoja na mwanangu beberu @Wakazi 
#MbayaniChats

jana nilitoa Elimu ya #BATTERYSWELLING nilimtag @MiriamMkanaka aka RT ilienda Mbali ile Tweet, kumbe kuna Mtu humu anashida niliyoielezea jana. leo tumefix simu TABASAMU limerejea. call📞0782417435 📍Tupo Makumbusho Bus stand #mbayanichats

Sativa255's tweet image. jana nilitoa Elimu ya #BATTERYSWELLING nilimtag @MiriamMkanaka  aka RT ilienda Mbali ile Tweet, kumbe kuna Mtu humu anashida niliyoielezea jana. 

leo tumefix simu TABASAMU limerejea. 

call📞0782417435
📍Tupo Makumbusho Bus stand
#mbayanichats

Swali: #MbayaniChats @IdrisSultan Una zungumziaje dullvani kupaka make-up na kuvaa nguo za kike kama mwanamke...? Vip kwa upande wako unaweza kufanya ivyo....?

daudinyandalusi's tweet image. Swali: #MbayaniChats @IdrisSultan 
Una zungumziaje dullvani kupaka make-up na kuvaa nguo za kike kama mwanamke...?
Vip kwa upande wako unaweza kufanya ivyo....?

Basi bhana! Wamenipa Kitambi na Kennedy wamemnyima. Wakati kwa ground mimi sina kabisa. Well tukutane Jumapili kupitia #MbayaniChats tuzungumze mawili matatu. Tuzidi kujengana kimaarifa.

jaliluzaid's tweet image. Basi bhana! Wamenipa Kitambi na Kennedy wamemnyima. Wakati kwa ground mimi sina kabisa. Well tukutane Jumapili kupitia  #MbayaniChats  tuzungumze mawili matatu. Tuzidi kujengana kimaarifa.

Huyo @IdrisSultan Jana kaalika mapriveti tu, sisi katuonaje sijui sasa leo hakuna rangi ataacha ona, naomba yale mafile muyaandae vizuri na msisahau kumpigia Da Kiboga aje - Tweep ya Twita. #MbayaniChats

thisistemidayo's tweet image. Huyo @IdrisSultan Jana kaalika mapriveti tu, sisi katuonaje sijui sasa leo hakuna rangi ataacha ona, naomba yale mafile muyaandae vizuri na msisahau kumpigia Da Kiboga aje - Tweep ya Twita. #MbayaniChats

6pm leo tutakuwa Live on #MbayaniChats answering your questions. My homeboy @rollymsouth nae atakuwepo pia... LETS CHAT !! @mbayaniChats

Wakazi's tweet image. 6pm leo tutakuwa Live on #MbayaniChats answering your questions. My homeboy @rollymsouth nae atakuwepo pia... LETS CHAT !! @mbayaniChats

SWALI: @IdrisSultan Kwenye Biggest Komedi Festivo ya mwaka jana ilikuwa na dhima ya ukimwi #WanaTour kwako Matumizi ya Condom yana nafasi gani? ukizingatia kuna msemo kwa vijana usemao inapunguza ladha ya tendo! _ #MbayaniChats

thisistemidayo's tweet image. SWALI: @IdrisSultan Kwenye Biggest Komedi Festivo ya mwaka jana ilikuwa na dhima ya ukimwi #WanaTour kwako Matumizi ya Condom yana nafasi gani? ukizingatia kuna msemo kwa vijana usemao inapunguza ladha ya tendo! _ #MbayaniChats

Wiki hii kwenye #MbayaniChats tutakuwa na @IdrisSultan hosted by @thisistemidayo Usikose kuanzia saa 12 jioni. | Follow @mbayanichats kwa taarifa zaidi.

KijangwaIrene's tweet image. Wiki hii kwenye #MbayaniChats tutakuwa na @IdrisSultan hosted by @thisistemidayo Usikose kuanzia saa 12 jioni. | Follow @mbayanichats kwa taarifa zaidi.

#MbayaniChats Build up | Session ya pili inayoanza saa 1 jioni tutakuwa na ⁦@jaliluzaid kama unavyoiona Bio yake amejiunga TL April 2013⁩ ana jumla ya wafuasiElfu 31+ anaelekea mbali zaidi.

thisistemidayo's tweet image. #MbayaniChats Build up | Session ya pili inayoanza saa 1 jioni tutakuwa na ⁦@jaliluzaid kama unavyoiona Bio yake amejiunga TL April 2013⁩ ana jumla ya wafuasiElfu 31+ anaelekea mbali zaidi.

Wiki hii kwenye #MbayaniChats atakuwepo @IdrisSultan hosted by @thisistemidayo Usikose kuanzia saa 12 jioni. | Follow @mbayanichats kwa taarifa zaidi.

jaliluzaid's tweet image. Wiki hii kwenye #MbayaniChats atakuwepo @IdrisSultan hosted by @thisistemidayo Usikose kuanzia saa 12 jioni. | Follow @mbayanichats kwa taarifa zaidi.

Loading...

Something went wrong.

Something went wrong.