#menthepodcast zoekresultaten
"Ukishindwa, ina maana ulijaribu — na hilo linastahili kusherehekewa." – @MichaelBaruti linktr.ee/menthepodcast?… #menthepodcast #episode101 #kushindwaSioMwisho #urithinauthubutu
"Uongozi sio kuwa CEO. Ni kuongoza katika nafasi uliyonayo, kazini, nyumbani, au kwenye jamii. Si kila bosi ni kiongozi." — @Drudysseus linktr.ee/menthepodcast?… #leadership #menthepodcast #andrewmahiga #menandgrowth
Miaka 5, episodes 100 za #MenthePodcast Tukiwa wawili na maikrofoni, @nadiaahmedtz na @michaelbaruti tulianza safari ya mazungumzo ya kweli kuhusu afya ya akili ya wanaume. Leo, tunatafakari mwanzo, changamoto, na kiu yetu isiyokoma ya mabadiliko. Je, bado tunaamini? Jibu ni NDIO
@Zembwelabeberu anatufungukia jinsi maisha yalivyokuwa kabla bufee haijawa lifestyle, enzi ambazo “spidi yako ndio shibe.” Ukilala, umeshiba ndoto tu. Link: linktr.ee/menthepodcast?… #menthepodcast #zembwela #maisha #maleconversations #realstories
Episode 100 Recap ya Men the Podcast ni safari ya mafanikio, ukuaji na kuvunja ukimya kuhusu afya ya akili kwa wanaume. Tazama au sikiliza sasa. #menthepodcast #mentalhealthminute #kujifunza #afyayakili
Ukikuta baba hayepo, mara nyingine ushiriki wa familia hupunguka. Mila na desturi huathiri uwezo wa mama kushiriki maamuzi. 🎙️ Men Men Men – The Podcast Tazama zaidi: linktr.ee/menthepodcast #MenThePodcast #InspireToLeadTZ #UsawaWaKijinsia #MaamuziYaFamilia #GenderJustice
@MichaelBaruti anazungumzia umuhimu wa kuwa na watu wanaosherehekea mafanikio yako. #menthepodcast #mentalhealthminute #kujifunza #afyayakili #growthmindset #selflove #nadiaahmedtz #menandmentalhealth
Kwa kweli, mchango wa redio na TV umekuwa msingi mkubwa katika safari yangu ya mafanikio. -Jimmy Kabwe Sikiliza hapa: linktr.ee/menthepodcast?… #menthepodcast #legacy #broadcastlife #tanzaniapodcast
“Nilikuwa naficha kipato… ndoa ikavunjika.” Fedha zikifichwa, familia husambaratika. Tupange pamoja, baba, mama, watoto. Men Men Men – The Podcast linktr.ee/menthepodcast #MenThePodcast #UsawaWaKijinsia #ElimuYaFedha #SHAWISHIKAKUONGOZA #InspireToLeadTZ
Kama una uwezo wa kuiangalia na kuitunza familia yako kwa hali yoyote, wewe ni mtu uliyebarikiwa. linktr.ee/menthepodcast?… #menthepodcast #mentalhealthminute #kujifunza #afyayakili #growthmindset #selflove #menandmentalhealth
"Mei ni mwezi wa kutafakari na kuzungumza kuhusu afya ya akili. Jitafakari, tafuta msaada, jali akili yako. Afya ya akili ni sehemu ya maisha" @MichaelBaruti #mentalhealthawareness #menthepodcast #afyayakili #menandmentalhealth #meimentalhealth
"Usibaki kimya ukibeba yote moyoni — tafuta mtu wa kukuongoza, kusikiliza na kuelewa. Tafuta mnasihi.’ - @Drudysseus #menthepodcast #afyayakili #mentalhealthmatters #mnasihi #tusibakikimya #openup #healingjourney
@NadiaAhmedTZ Katika maisha, hakuna kukosea, kuna kujifunza tu. Kila changamoto ni darasa, kila safari ina somo. #menthepodcast #mentalhealthminute #kujifunza #afyayakili #growthmindset #selflove #nadiaahmedtz #menandmentalhealth
Kwa nini tukisema 'mapenzi' watu wote wafikirie tu mahaba? 🤔😂 Tazama Nadia akifungua mjadala huu kwenye Men the Podcast linktr.ee/menthepodcast?… #menthepodcast #kujifunza #afyayakili #SelfLove
The event also featured a special live session of Men. Men. Men the Podcast, sparking powerful dialogue on men’s mental health and the role of men and boys in preventing GBV and fostering respectful relationships and equality. 🎙️💬 #MenThePodcast #TokomezaUkatiki
Tuawatakia Sikuu Kuu ya Ijumaa Kuu Wakristo Wote. Iwe ni wakati wa tafakari, imani, na nguvu. ✝️ #IjumaaKuu #MenThePodcast
Wengi huingia kasino wakiwa na matumaini... lakini uraibu huanza kimya kimya. Gusa link kutazama au kusikiliza. linktr.ee/menthepodcast?… #menthepodcast #kamari #afyayaakili
Tunawatakia Pasaka yenye amani, upendo na tafakari njema. Tuendelee kujenga jamii bora kwa mazungumzo ya kweli. #pasakanjema #menthepodcast #mazungumzoyaume #vijana #ujumbehalisi
Seba anasisitiza umuhimu wa kufanya mambo bila kuruka hatua kwenye maisha. Kila hatua ina somo. Kila mchakato una maana. Gusa link kwenye kutazama au kusikiliza zaidi. #menthepodcast #maisha #growth linktr.ee/menthepodcast?…
Kwa kweli, mchango wa redio na TV umekuwa msingi mkubwa katika safari yangu ya mafanikio. -Jimmy Kabwe Sikiliza hapa: linktr.ee/menthepodcast?… #menthepodcast #legacy #broadcastlife #tanzaniapodcast
Ukikuta baba hayepo, mara nyingine ushiriki wa familia hupunguka. Mila na desturi huathiri uwezo wa mama kushiriki maamuzi. 🎙️ Men Men Men – The Podcast Tazama zaidi: linktr.ee/menthepodcast #MenThePodcast #InspireToLeadTZ #UsawaWaKijinsia #MaamuziYaFamilia #GenderJustice
“Nilikuwa naficha kipato… ndoa ikavunjika.” Fedha zikifichwa, familia husambaratika. Tupange pamoja, baba, mama, watoto. Men Men Men – The Podcast linktr.ee/menthepodcast #MenThePodcast #UsawaWaKijinsia #ElimuYaFedha #SHAWISHIKAKUONGOZA #InspireToLeadTZ
@Zembwelabeberu anatufungukia jinsi maisha yalivyokuwa kabla bufee haijawa lifestyle, enzi ambazo “spidi yako ndio shibe.” Ukilala, umeshiba ndoto tu. Link: linktr.ee/menthepodcast?… #menthepodcast #zembwela #maisha #maleconversations #realstories
"Kuna tofauti kati ya mwanaume na baba" – Zembwela Kuwa baba ni majukumu, si tu kuzaa. #menthepodcast #mwanaume #baba #malevoices #responsibility #realtalk
"Mei ni mwezi wa kutafakari na kuzungumza kuhusu afya ya akili. Jitafakari, tafuta msaada, jali akili yako. Afya ya akili ni sehemu ya maisha" @MichaelBaruti #mentalhealthawareness #menthepodcast #afyayakili #menandmentalhealth #meimentalhealth
"Ukishindwa, ina maana ulijaribu — na hilo linastahili kusherehekewa." – @MichaelBaruti linktr.ee/menthepodcast?… #menthepodcast #episode101 #kushindwaSioMwisho #urithinauthubutu
"Kuna shinikizo kubwa sana… hasa kwa sababu ya mitandao ya kijamii, ni baraka na laana kwa wakati mmoja." – @NadiaAhmedTZ Tazama/sikiliza sasa linktr.ee/menthepodcast?… @MichaelBaruti @Drudysseus #menthepodcast #kipindi101 #preshalaujana #realtalk
"Uongozi sio kuwa CEO. Ni kuongoza katika nafasi uliyonayo, kazini, nyumbani, au kwenye jamii. Si kila bosi ni kiongozi." — @Drudysseus linktr.ee/menthepodcast?… #leadership #menthepodcast #andrewmahiga #menandgrowth
"Usibaki kimya ukibeba yote moyoni — tafuta mtu wa kukuongoza, kusikiliza na kuelewa. Tafuta mnasihi.’ - @Drudysseus #menthepodcast #afyayakili #mentalhealthmatters #mnasihi #tusibakikimya #openup #healingjourney
Kama una uwezo wa kuiangalia na kuitunza familia yako kwa hali yoyote, wewe ni mtu uliyebarikiwa. linktr.ee/menthepodcast?… #menthepodcast #mentalhealthminute #kujifunza #afyayakili #growthmindset #selflove #menandmentalhealth
Kwa nini tukisema 'mapenzi' watu wote wafikirie tu mahaba? 🤔😂 Tazama Nadia akifungua mjadala huu kwenye Men the Podcast linktr.ee/menthepodcast?… #menthepodcast #kujifunza #afyayakili #SelfLove
Episode 100 Recap ya Men the Podcast ni safari ya mafanikio, ukuaji na kuvunja ukimya kuhusu afya ya akili kwa wanaume. Tazama au sikiliza sasa. #menthepodcast #mentalhealthminute #kujifunza #afyayakili
@MichaelBaruti anazungumzia umuhimu wa kuwa na watu wanaosherehekea mafanikio yako. #menthepodcast #mentalhealthminute #kujifunza #afyayakili #growthmindset #selflove #nadiaahmedtz #menandmentalhealth
Miaka 5, episodes 100 za #MenthePodcast Tukiwa wawili na maikrofoni, @nadiaahmedtz na @michaelbaruti tulianza safari ya mazungumzo ya kweli kuhusu afya ya akili ya wanaume. Leo, tunatafakari mwanzo, changamoto, na kiu yetu isiyokoma ya mabadiliko. Je, bado tunaamini? Jibu ni NDIO
@NadiaAhmedTZ Katika maisha, hakuna kukosea, kuna kujifunza tu. Kila changamoto ni darasa, kila safari ina somo. #menthepodcast #mentalhealthminute #kujifunza #afyayakili #growthmindset #selflove #nadiaahmedtz #menandmentalhealth
Tunawatakia Pasaka yenye amani, upendo na tafakari njema. Tuendelee kujenga jamii bora kwa mazungumzo ya kweli. #pasakanjema #menthepodcast #mazungumzoyaume #vijana #ujumbehalisi
Tuawatakia Sikuu Kuu ya Ijumaa Kuu Wakristo Wote. Iwe ni wakati wa tafakari, imani, na nguvu. ✝️ #IjumaaKuu #MenThePodcast
Wengi huingia kasino wakiwa na matumaini... lakini uraibu huanza kimya kimya. Gusa link kutazama au kusikiliza. linktr.ee/menthepodcast?… #menthepodcast #kamari #afyayaakili
Well, this just changed our ringtone to the victory theme. Huge thanks to everyone who voted and made Men the Podcast your go-to for, well, manly discussions. We're honoured to be Podcast of the Year #MenThePodcast
Tunawatakia Pasaka yenye amani, upendo na tafakari njema. Tuendelee kujenga jamii bora kwa mazungumzo ya kweli. #pasakanjema #menthepodcast #mazungumzoyaume #vijana #ujumbehalisi
@harriskapiga ndiyo mgeni wetu katika sehemu yetu mpya iendayo kwa jina la "BABA NA MTOTO WA KIUME" Itapatikana kupitia YouTube, Spotify, Apple podcasts, Boomplay, Google Podcasts, Audiomack, Deezer, Podvine na Goodpods ijumaa hii saa 4 :00 asubuhi. #menthepodcast
Habari njema, Men the Podcast sasa tuna channel rasmi ya WhatsApp. Jiunge nasi kwa updates zote za papo hapo, mijadala ya kipekee, na zaidi gusa link kujiunga nasi whatsapp.com/channel/0029Va… #menthepodcast #whatsappchannel #yourstoriesyourpodcast
The event also featured a special live session of Men. Men. Men the Podcast, sparking powerful dialogue on men’s mental health and the role of men and boys in preventing GBV and fostering respectful relationships and equality. 🎙️💬 #MenThePodcast #TokomezaUkatiki
🎙️Tunakuletea sehemu mpya ya podcast yetu inayoitwa "BABA NA MTOTO WA KIUME" pamoja na @harriskapiga. Tutazungumza kuhusu maswala ya kiafya ya akili kwa wanaume na jinsi wanavyoweza kujitunza wao na familia zao. Ijumaa hii saa 4 :00 asubuhi. #menthepodcast " Edited · 5m
Katika siku hii ya Mwalimu Nyerere, tunakumbuka maono yake ya jamii inayojali ustawi wa kila mtu. Men the Podcast tunahimiza jamii kujenga mazingira yanayounga mkono afya ya kiakili, kwa kuwa ustawi wa kweli huanza na afya ya ndani. #NyerereDay #AfyaYaAkili #MenThePodcast
Tunamkumbuka Mzee Karume kwa mchango wake mkubwa katika ujenzi wa Taifa. Men the Podcast tunaenzi urithi wake kwa kusimulia hadithi za wanaume wa Kitanzania. #KarumeDay #MenThePodcast
Team ya @MenThePodcast inawatakia Waislamu wote heri ya siku kuu ya Eid, Tunawatakia amani, upendo na baraka tele katika siku hii kuu. @MichaelBaruti @NadiaAhmedTZ #eidmubarak #menthepodcast #sikukuu #furaha #baraka #amaninaupendo
Dr. @Lwidiko anatusaidia kuelewa maana ya kufurahia safari ya maisha bila kujisikia kuzidiwa. Je, unaishi kwa furaha au survival mode? Sikiliza/ Tazama #menthepodcast episode 96 hapa: heylink.me/MenThePodcast/ #wanaume #menthepodcast #maishaniSafari
Tuawatakia Sikuu Kuu ya Ijumaa Kuu Wakristo Wote. Iwe ni wakati wa tafakari, imani, na nguvu. ✝️ #IjumaaKuu #MenThePodcast
Miaka 5, episodes 100 za #MenthePodcast Tukiwa wawili na maikrofoni, @nadiaahmedtz na @michaelbaruti tulianza safari ya mazungumzo ya kweli kuhusu afya ya akili ya wanaume. Leo, tunatafakari mwanzo, changamoto, na kiu yetu isiyokoma ya mabadiliko. Je, bado tunaamini? Jibu ni NDIO
Something went wrong.
Something went wrong.
United States Trends
- 1. #SmackDown N/A
- 2. Jalen Green N/A
- 3. #JJSBX N/A
- 4. Hornets N/A
- 5. #DragRace N/A
- 6. #OPLive N/A
- 7. #WWEHOF N/A
- 8. Podz N/A
- 9. Area 51 N/A
- 10. The Atlantic N/A
- 11. Royce Keys N/A
- 12. Scott Foster N/A
- 13. Magic N/A
- 14. Sami N/A
- 15. Suns N/A
- 16. RIP Bob N/A
- 17. Warriors N/A
- 18. Ryan McMahon N/A
- 19. Patel N/A
- 20. Bob and Tom N/A