#nocodetz search results

Kuna hii tool, itakusaidia kutengeneza hiyo App ya ecommerce kirahisi sana. #NoCode #nocodetz

At @NoCodetz we believe in youth participation in no code tools to build highly demand tech services with less time and effort. No code tools can unlock the world to you😃 Imagine getting paid to do something you love. Who knows maybe the next @mafolebaraka is YOU! #Nocodetz

Meet Our Esteemed Community Manager at Nocode-tz @ Emmanuel Bakwasa. What we admire the most about him, is his ability to quickly adapt to changing trends and market dynamics, staying ahead of the curve in executing our community's activities. Let's welcome him! #nocodetz

NoCodetz's tweet image. Meet Our Esteemed
Community Manager at Nocode-tz
@ Emmanuel Bakwasa.

What we admire the most about him, is his ability to quickly adapt to changing trends and market dynamics, staying ahead of the curve in executing our community's activities.

Let's welcome him!
#nocodetz

Kama wewe ni mzito sana kujifunza especially online courses… Basi hakikisha unatembelea #todayilearned zone kule discord, Itakusaidia kujifunza kupitia wengine. Ps; Ili kupata access unapaswa kuwa member wa community ya #nocodetz

Ms_alexa_tz's tweet image. Kama wewe ni mzito sana kujifunza especially online courses…

Basi hakikisha unatembelea 
#todayilearned zone kule discord, 

Itakusaidia kujifunza kupitia wengine.

Ps; Ili kupata access unapaswa kuwa member wa community ya #nocodetz

Kuwa no code community member tu haitoshi…. Kama mwanajamii unajifunza nini kila siku kuhakikisha unanoa ujuzi wako? #nocodetz

Uzuri wa elimu na ujuzi ni kwamba hakuna anaeweza kuvichukua kutoka kwako. Ndio maana si kila mtu yuko tayari kukupatia. Tunawasitiza vijana wa #nocodetz kuendelea kujinoa kila mnapopata fursa hiyo.

Endeleeni kuwa karibu na kurasa zetu za mitandao ya kijamii…hapa X, LinkedIn pamoja na instagram. @NoCodetz Wasiliana nasi; +255 692 815 688 [email protected] Asante. #Nocodetz #NonTechiesInTech

Boss si unaona nimeweka nyanya zangu on display…#nocodetz #digfemtanzania…ndo nipate liten nikale😅

Kesho ntashare Uzi hapa,kuhusu safari yangu ya kujifunza kucode/programming. Nilichojifunza, changamoto nilizokutana nazo na mengineyo. Ps; sikuchagua kuendelea. Wadau wote wateknolojia wanaotoa elimu kama hizi mnaweza kuutumia kama case study. #nocodetz #communitybuilding

Ukijiweka karibu na vijana wenye hamu ya kujua na kujifunza… Haijalishi una umri kubwa kiasi gani, utapata hamasa tu ya kuendelea kujifunza na kua Active. #nocodetz

We are creating a community filled with competent individuals. #nocodetz

Catch Us If You Can❗️ #nocodetz #nontechiesintech

On a mission to democratize innovation through no code tools. Catch Us. #nocodetz #nontechiesintech

NoCodetz's tweet image. On a mission to democratize innovation through no code tools.

Catch Us.
#nocodetz #nontechiesintech

Initiative for people who facilitate tech activities without coding… . Kama wewe ni miongoni wa watu wanaofanya shughuli hizo basi hii inakuhusu. #nocodetz

Kuna wale Non tech in Tech mfano SMM wanaofanya kazi kwenye kampuni za Tech. Hawa wanasoko sana kwenye startup za Tech. Sio lazima uwe Techie ndio ufanye kazi kwenye Tech company. Kuna initiative inaitwa @NoCodetz imelenga kuaddress opportunities za watu wa aina hii.

Don't be afraid to change when you feel like, that is what is needed for you to align with your true purpose. Blessed new week to y’all🤍 #digitalcomms #nocodetz #digfemtanzania

Somebody had to say it…it’s about we get to accept that, there is more in the Tech table apart from code. #nocodetz #nocodecommunity

We cant all be coding!

@NoCodetz is an initiative for professional Non-Techies in tech. Whether you are a project manager, designer, social media manager, marketer, etc... this is the right place for you. Join us. Let's make a difference in the digital space. #nocodetz

Don't be afraid to change when you feel like, that is what is needed for you to align with your true purpose. Blessed new week to y’all🤍 #digitalcomms #nocodetz #digfemtanzania

Ukijiweka karibu na vijana wenye hamu ya kujua na kujifunza… Haijalishi una umri kubwa kiasi gani, utapata hamasa tu ya kuendelea kujifunza na kua Active. #nocodetz

Kama wewe ni mzito sana kujifunza especially online courses… Basi hakikisha unatembelea #todayilearned zone kule discord, Itakusaidia kujifunza kupitia wengine. Ps; Ili kupata access unapaswa kuwa member wa community ya #nocodetz

Ms_alexa_tz's tweet image. Kama wewe ni mzito sana kujifunza especially online courses…

Basi hakikisha unatembelea 
#todayilearned zone kule discord, 

Itakusaidia kujifunza kupitia wengine.

Ps; Ili kupata access unapaswa kuwa member wa community ya #nocodetz

We are creating a community filled with competent individuals. #nocodetz

Boss si unaona nimeweka nyanya zangu on display…#nocodetz #digfemtanzania…ndo nipate liten nikale😅

Uzuri wa elimu na ujuzi ni kwamba hakuna anaeweza kuvichukua kutoka kwako. Ndio maana si kila mtu yuko tayari kukupatia. Tunawasitiza vijana wa #nocodetz kuendelea kujinoa kila mnapopata fursa hiyo.

Kama wewe ni mzito sana kujifunza especially online courses… Basi hakikisha unatembelea #todayilearned zone kule discord, Itakusaidia kujifunza kupitia wengine. Ps; Ili kupata access unapaswa kuwa member wa community ya #nocodetz

Ms_alexa_tz's tweet image. Kama wewe ni mzito sana kujifunza especially online courses…

Basi hakikisha unatembelea 
#todayilearned zone kule discord, 

Itakusaidia kujifunza kupitia wengine.

Ps; Ili kupata access unapaswa kuwa member wa community ya #nocodetz

Loading...

Something went wrong.

Something went wrong.

United States Trends