#bbcswahili hasil pencarian

Tundu Lissu ni nani? - Ili kumuelewa kwa undani ni muhimu kumtazama kwa jicho pana . Mtu huyu ni nani hasa? - Alfred Lasteck anaelezea mambo 7 muhimu yanayomtambulisha Tundu Lissu…. - 🎥: eagansalla_gifted_sounds - - - #bbcswahili #tanzania #upinzani #tundulissu

Kuanzia leo usiku katika Dira ya Dunia TV, usikose kujiunga na mtangazaji Maryam Dodo Abdalla. • Unaweza kutazama matangazo yetu mubashara kupitia mtandao wa YouTube, Facebook na pia Star TV Tanzania na K24 TV Kenya • • • #bbcswahili #dirayaduniatv #habari

bbcswahili's tweet image. Kuanzia leo usiku katika Dira  ya Dunia TV, usikose kujiunga na mtangazaji  Maryam Dodo Abdalla.
•
Unaweza kutazama matangazo yetu mubashara kupitia mtandao wa YouTube, Facebook na pia Star TV Tanzania na K24 TV Kenya
•
•
•

#bbcswahili #dirayaduniatv #habari

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe @freemanmbowetz amewashangaa wanaomuonea huruma na kumtaka aondoke madarakani kwasababu tayari ametimiza mambo mengi @awamisammy @ChademaTz #bbcswahili #upinzani #uongozi #siasa #tanzania #chadema

Waandamanaji nchini Bangladesh wamevamia makazi rasmi ya waziri mkuu, huku wimbi la maandamano dhidi ya serikali likiendelea. Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina amejiuzulu na kukimbia nchi #Bangladesh #Demo #bbcswahili #SheikhHasina #maandamano #siasa #GenZ #GenZrevolution

Je kupungua kwa hamu ya ngono ni mingoni mwa athari za ukomo wa hedhi? - Mwandishi wetu Beldeen Waliaula anadadavua changamoto hii ya afya ya uzazi inayowaathiri asilimia kubwa ya wanawawake… - - - #bbcswahili #wanawake #hedhi #afya #hedhisalama

"Polisi wamezunguka na sisi kwenye gari, wamekuja kutushusha saa mbili usiku barabarani, sina simu, sina pesa" - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, akielezea kilichotokea baada ya kukamatwa Kariokor Dar es Salaam Tanzania. - - - #bbcswahili #tanzania #chadema #upinzani

Tunafahamu kwamba chapisho hili limekuwa likisambazwa katika mitandao ya kijamii likidaiwa ni la #BBCSwahili Si kweli. Chapisho hili ni ghushi na si la BBC News Swahili. Bofya hapa kusoma njia za kukabili habari feki 👉🏾👉🏿bbc.com/swahili/habari…

bbcswahili's tweet image. Tunafahamu kwamba chapisho hili limekuwa likisambazwa katika mitandao ya kijamii likidaiwa ni la #BBCSwahili 

Si  kweli.

Chapisho hili ni ghushi na si  la BBC News Swahili.   

Bofya hapa kusoma njia za kukabili habari feki 👉🏾👉🏿bbc.com/swahili/habari…

''Wanatutishia kuwa CHADEMA itakufa tusiposhirki uchaguzi, Chadema itakufa hii? Na ife kama tutasimamia jambo lisilo la kweli. Na Ife kuliko kuwepo na kusimamia uongo.'' - Makamu Mwenyekiti John Heche . - - - #bbcswahili #tanzania #chadema #siasa #upinzani #uongozi

Rais Dkt Hussein Ali Mwinyi ambaye ameshinda awamu yake ya pili kuiongoza Zanzibar kupitia chama tawala cha CCM ni nani? - Agnes Penda ametuandalia wasifu fupi ya rais huyo wa Zanzibar. - - - #zanzibar #uchaguzi2025 #bbcswahili #tanzania #foryou

🔷🔷🔷"Kwa uamuzi huo, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) nalo limeifungia kufanya usajili kwa wachezaji wa ndani” Kufahamu zaidi tembelea ukurasa wa BBCSwahili #bbcswahili #tanzania #youngafricansc #klabuyayanga #kandanda #soka

mwaipungu24's tweet image. 🔷🔷🔷"Kwa uamuzi huo, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) nalo limeifungia kufanya usajili kwa wachezaji wa ndani”

Kufahamu zaidi tembelea ukurasa wa BBCSwahili

#bbcswahili #tanzania #youngafricansc #klabuyayanga #kandanda #soka

Tazama jinsi dereva mmoja nchini Marekani ameokolewa bila jeraha lolote baada ya kukaa kwa saa tano ndani ya lori lililokuwa likining’inia pembeni ya daraja baada ya kuteleza kwenye barafu. #bbcswahili #ajali #marekani

''Tuko tayari kwaajili ya mchezo wa kufungua ukurasa katika #AFCON2025 dhidi ya Super Eagles ya Nigeria'' Mbwana Samata Nahodha wa Taifa Stars ya Tanzania - Je Taifa stars ya Tanzania itasajili ushindi wake wa kwanza katika AFCON huko Morocco? - - #bbcswahili #taifastars ##foryou

Siku moja baada ya kutangazwa mshindi, Dk Hussein Ali Mwinyi ameapishwa rasmi kuwa Rais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili. - Jaji jkuu wa Zanzibar Khamis Ramadhan Abdallah aliongoza hafla hiyo iliyopeperushwa mubashara kwenye runinga ya taifa. - #uchaguzi2025 #bbcswahili

Je umekuwa ukijiuliza kwanini hakuna tarehe maalum ya kuanza kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa waislamu wote duniani? Jongea karibu Nasteha Mohammed akueleweshe.. - - - #bbcswahili #ramadhan2026 #islam #foryou #saum

Baada ya #BBCSwahili kuripoti juu ya vitendo vipya vya unyanyasaji katika mji wa Makambako, mkoani Njombe, ambapo wanaume sasa wanapaza sauti kutokana na vitendo vipya kuibuka vya kuvutwa sehemu zao za siri na wenza wao, @asheromar1 amewataka wanawake kuacha kufanya vitendo vya

Mwenyekiti wa Chadema,@TunduALissu anatarajiwa kupelekwe mahakamani Mei 19, jambo linaloleta ahueni kwa mawakili wake, @awamisammy na maelezo zaidi #bbcswahili #tanzania #chadema #upinzani #tundulissu #sheria #siasa

"Viongozi wa Afrika Mashariki wameambukizana tabia mbaya." At 9.00pm tonight 18th March, 2026, on @bbcswahili - Dira ya Dunia, I speak to BBC Journalist @RoncliffeOdit. #bbcswahili #Kenya #AfrikaMashariki #uchaguzihuru #Uongozi

“Namchagua Diamond Platinumz @diamondplatnumz Yeye ni kaka yangu” - Maswali 5 kwa @Harmonize na @Frankmavura kwenye BBC Swahili. - Ungependa tumlete nyota yupi kwenye kiti cha moto? - Tuandikie kwenye comments 👇🏿👇🏿 #tanzania #bbcswahili #tanzania🇹🇿 #bongofleva #foryou

Tafadhali tazama ripoti yangu kuhusu mapigano Lebanon: Changamoto kwa wafanyakazi wanaotoka Afrika Mashariki kwenye #DiraTV #BBCSwahili Shukran za dhati kwa @midababirye @RoncliffeOdit @mrstadicha @MaryamDodo

CCM wamehonga pesa nyingi sana kupata cheo hiki, yote ni kuprove kwamba Tanzania bado kuna siasa safi. #tanzania #kikwete #bbcswahili

MoNassor's tweet image. CCM wamehonga pesa nyingi sana kupata cheo hiki, yote ni kuprove kwamba Tanzania bado kuna siasa safi.

#tanzania #kikwete #bbcswahili

"Viongozi wa Afrika Mashariki wameambukizana tabia mbaya." At 9.00pm tonight 18th March, 2026, on @bbcswahili - Dira ya Dunia, I speak to BBC Journalist @RoncliffeOdit. #bbcswahili #Kenya #AfrikaMashariki #uchaguzihuru #Uongozi

Shika chuchu hizo tukuone #BBCswahili

Je wanafunzi wanafaidika na field training? #bbcswahili #tanzania #swahili #wanafunzi #millardayo

Mwenyekiti wa Chadema,@TunduALissu anatarajiwa kupelekwe mahakamani Mei 19, jambo linaloleta ahueni kwa mawakili wake, @awamisammy na maelezo zaidi #bbcswahili #tanzania #chadema #upinzani #tundulissu #sheria #siasa

"Polisi wamezunguka na sisi kwenye gari, wamekuja kutushusha saa mbili usiku barabarani, sina simu, sina pesa" - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, akielezea kilichotokea baada ya kukamatwa Kariokor Dar es Salaam Tanzania. - - - #bbcswahili #tanzania #chadema #upinzani

“Namchagua Diamond Platinumz @diamondplatnumz Yeye ni kaka yangu” - Maswali 5 kwa @Harmonize na @Frankmavura kwenye BBC Swahili. - Ungependa tumlete nyota yupi kwenye kiti cha moto? - Tuandikie kwenye comments 👇🏿👇🏿 #tanzania #bbcswahili #tanzania🇹🇿 #bongofleva #foryou

''Wanatutishia kuwa CHADEMA itakufa tusiposhirki uchaguzi, Chadema itakufa hii? Na ife kama tutasimamia jambo lisilo la kweli. Na Ife kuliko kuwepo na kusimamia uongo.'' - Makamu Mwenyekiti John Heche . - - - #bbcswahili #tanzania #chadema #siasa #upinzani #uongozi

Je kupungua kwa hamu ya ngono ni mingoni mwa athari za ukomo wa hedhi? - Mwandishi wetu Beldeen Waliaula anadadavua changamoto hii ya afya ya uzazi inayowaathiri asilimia kubwa ya wanawawake… - - - #bbcswahili #wanawake #hedhi #afya #hedhisalama

Tundu Lissu ni nani? - Ili kumuelewa kwa undani ni muhimu kumtazama kwa jicho pana . Mtu huyu ni nani hasa? - Alfred Lasteck anaelezea mambo 7 muhimu yanayomtambulisha Tundu Lissu…. - 🎥: eagansalla_gifted_sounds - - - #bbcswahili #tanzania #upinzani #tundulissu

Hii maswala ya mafoleni, tungepiga na kura tu leo leo siwezi chezea jumapili mbili ndani ya mwaka mmoja #bbcswahili

Maabara ilinisumbua akili.. 🙈. Had to translate page lol #BBCSwahili

leylurr's tweet image. Maabara ilinisumbua akili.. 🙈. Had to translate page lol

#BBCSwahili

#bbcswahili Asanteni sana kwa kutambua umuhimu wa hiki ninachokifanya kama kijana NILIYEJIAJIRI kwa kuanzisha maabara ya sayansi yenye DIRA kubwa ya kuwasaidia wanafunzi wengi kuyaelewa masomo ya sayansi kwa njia rahisi kupitia VITENDO badala ya kukaririshwa.

Picha hizi ndizo zilizoibuka bora katika mashindano ya kuwania Tuzo za mpiga picha bora za Audubon Marekani. #ndege #wanyama #bbcswahili #wildlifephotographybird #wildlifephotography

bbcswahili's tweet image. Picha hizi ndizo zilizoibuka bora katika mashindano ya kuwania Tuzo za mpiga picha bora za Audubon Marekani.

#ndege #wanyama #bbcswahili #wildlifephotographybird #wildlifephotography
bbcswahili's tweet image. Picha hizi ndizo zilizoibuka bora katika mashindano ya kuwania Tuzo za mpiga picha bora za Audubon Marekani.

#ndege #wanyama #bbcswahili #wildlifephotographybird #wildlifephotography
bbcswahili's tweet image. Picha hizi ndizo zilizoibuka bora katika mashindano ya kuwania Tuzo za mpiga picha bora za Audubon Marekani.

#ndege #wanyama #bbcswahili #wildlifephotographybird #wildlifephotography

Kuanzia leo usiku katika Dira ya Dunia TV, usikose kujiunga na mtangazaji Maryam Dodo Abdalla. • Unaweza kutazama matangazo yetu mubashara kupitia mtandao wa YouTube, Facebook na pia Star TV Tanzania na K24 TV Kenya • • • #bbcswahili #dirayaduniatv #habari

bbcswahili's tweet image. Kuanzia leo usiku katika Dira  ya Dunia TV, usikose kujiunga na mtangazaji  Maryam Dodo Abdalla.
•
Unaweza kutazama matangazo yetu mubashara kupitia mtandao wa YouTube, Facebook na pia Star TV Tanzania na K24 TV Kenya
•
•
•

#bbcswahili #dirayaduniatv #habari

Hii maanisha kuwa ugonjwa huo unaweza kusambaa katika maeneo mengine mapya ambako haukuwahi kushuhudiwa kabla. bbc.in/3EJkOEY #MalariaDay #afya #bbcswahili #WHO

bbcswahili's tweet image. Hii maanisha kuwa ugonjwa huo unaweza kusambaa katika maeneo mengine mapya ambako haukuwahi kushuhudiwa kabla. bbc.in/3EJkOEY
#MalariaDay #afya #bbcswahili  #WHO

Mshambuliaji tajika Christiano Ronaldo hakuanza mechi iliyopita. Je,Kocha ataendeleza kamari yake au atampa namba? #bbcswahili #qatar #ureno #morocco #soka #kombeladunia2022 #qatar2022

bbcswahili's tweet image. Mshambuliaji tajika Christiano Ronaldo hakuanza mechi iliyopita. Je,Kocha ataendeleza kamari yake au atampa namba?
#bbcswahili #qatar #ureno #morocco #soka #kombeladunia2022 #qatar2022

Morocco ndio timu pekee kutoka Afrika iliyosalia katika michuano ya Kombe la Dunia. #bbcswahili #qatar #ureno #morocco #soka #kombeladunia2022 #qatar2022

bbcswahili's tweet image. Morocco ndio timu pekee kutoka Afrika iliyosalia katika michuano ya Kombe la Dunia.
#bbcswahili #qatar #ureno #morocco #soka #kombeladunia2022 #qatar2022

Tume huru ya uchaguzi na mipaka ya Kenya IEBC imemtangaza William Ruto kama rais mteule wa tano wa Kenya. Lakini Je unamfahamu? #bbcswahili #matokeoyauchaguzikenya2022 #kenya #williamruto #railaodinga #uchaguzi

bbcswahili's tweet image. Tume huru ya uchaguzi na mipaka ya Kenya IEBC imemtangaza William Ruto kama rais mteule wa tano wa Kenya. 
Lakini Je unamfahamu?

#bbcswahili #matokeoyauchaguzikenya2022 #kenya #williamruto #railaodinga #uchaguzi

Tunafahamu kwamba chapisho hili limekuwa likisambazwa katika mitandao ya kijamii likidaiwa ni la #BBCSwahili Si kweli. Chapisho hili ni ghushi na si la BBC News Swahili. Bofya hapa kusoma njia za kukabili habari feki 👉🏾👉🏿bbc.com/swahili/habari…

bbcswahili's tweet image. Tunafahamu kwamba chapisho hili limekuwa likisambazwa katika mitandao ya kijamii likidaiwa ni la #BBCSwahili 

Si  kweli.

Chapisho hili ni ghushi na si  la BBC News Swahili.   

Bofya hapa kusoma njia za kukabili habari feki 👉🏾👉🏿bbc.com/swahili/habari…

Miaka 100 ya Mwalimu Nyerere: Baadhi ya mambo makuu aliyosisitiza katika hotuba zake #bbcswahili #miaka100mwalimunyerere #tanzania #uongozi #siasa

bbcswahili's tweet image. Miaka 100 ya Mwalimu Nyerere:  Baadhi ya mambo makuu aliyosisitiza katika hotuba zake

#bbcswahili #miaka100mwalimunyerere #tanzania #uongozi #siasa

Je , bado unaweza kutabiri matokeo ya mechi hii? Kwa wale wanaosuka mikeka … #bbcswahili #qatar #ureno #morocco #soka #kombeladunia2022 #qatar2022

bbcswahili's tweet image. Je , bado unaweza kutabiri matokeo ya mechi hii? 
Kwa wale wanaosuka mikeka …

#bbcswahili #qatar #ureno #morocco #soka #kombeladunia2022 #qatar2022

Colin Powell ambaye alikuwa Mmarekani wa kwanza Mweusi kuwa waziri wa masuala ya kigeni , amefariki akiwa na umri wa miaka 84 kutokana na matatizo ya covid 19. #bbcswahili

CloudsMediaLive's tweet image. Colin Powell  ambaye alikuwa Mmarekani wa kwanza Mweusi kuwa waziri wa masuala ya kigeni , amefariki akiwa na umri wa miaka 84 kutokana na matatizo ya covid 19.

#bbcswahili

🔷🔷🔷"Kwa uamuzi huo, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) nalo limeifungia kufanya usajili kwa wachezaji wa ndani” Kufahamu zaidi tembelea ukurasa wa BBCSwahili #bbcswahili #tanzania #youngafricansc #klabuyayanga #kandanda #soka

mwaipungu24's tweet image. 🔷🔷🔷"Kwa uamuzi huo, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) nalo limeifungia kufanya usajili kwa wachezaji wa ndani”

Kufahamu zaidi tembelea ukurasa wa BBCSwahili

#bbcswahili #tanzania #youngafricansc #klabuyayanga #kandanda #soka

Morocco inakutana na Ureno katika hatua ya robo fainali. #bbcswahili #qatar #ureno #morocco #soka #kombeladunia2022 #qatar2022

bbcswahili's tweet image. Morocco inakutana na Ureno katika hatua ya robo fainali.

#bbcswahili #qatar #ureno #morocco #soka #kombeladunia2022 #qatar2022

Malaria ni ugonjwa ambao una tiba lakini unaendelea kusababisha vifo vingi duniani. bbc.in/3EJkOEY #MalariaDay #afya #bbcswahili

bbcswahili's tweet image. Malaria ni ugonjwa ambao una tiba lakini unaendelea kusababisha vifo vingi duniani. 
bbc.in/3EJkOEY
#MalariaDay #afya #bbcswahili

"Viwango vya juu zaidi ya joto huongeza uwezo wa mbu kubeba vimelea wa malaria ambavyo vinaweza kusababisha ugonjwa ," bbc.in/3EJkOEY #MalariaDay #afya #bbcswahili #WHO

bbcswahili's tweet image. "Viwango vya juu zaidi ya joto huongeza uwezo wa mbu kubeba vimelea wa malaria ambavyo vinaweza kusababisha ugonjwa ," 
bbc.in/3EJkOEY
#MalariaDay #afya #bbcswahili  #WHO

Achraf Hakimi alisifiwa kote barani Afrika kwa kufunga bao la ushindi dhidi ya Uhispania. Je,atatamba leo au kipa machachari Bono ndiye atakayebeba matumaini ya Afrika? #bbcswahili #qatar #ureno #morocco #soka #kombeladunia2022 #qatar2022

bbcswahili's tweet image. Achraf Hakimi alisifiwa kote barani Afrika kwa kufunga bao la ushindi dhidi ya Uhispania.
 Je,atatamba leo au kipa machachari Bono ndiye atakayebeba matumaini ya Afrika? 
#bbcswahili #qatar #ureno #morocco #soka #kombeladunia2022 #qatar2022

Tarehe 25 Aprili ni siku ya Malaria duniani wakati ambapo Shirika la Afya duniani (WHO) hutoa uelewa kwa jumla kuhusu juhudi za pamoja na kuiepusha dunia na malaria. bbc.in/3EJkOEY #MalariaDay #afya #bbcswahili #WHO

bbcswahili's tweet image. Tarehe 25 Aprili ni siku ya Malaria duniani wakati ambapo Shirika la Afya duniani (WHO) hutoa uelewa kwa jumla kuhusu juhudi za pamoja na kuiepusha dunia na malaria. 
bbc.in/3EJkOEY
#MalariaDay #afya #bbcswahili  #WHO

Tonight in #BBCSwahili sports at 9pm East African time, three-time Berlin marathon champ Gladys Cherono speaks on her resounding victory.A big bash to celebrate her win was held on Sept 22 at her village, Irimis, in Nandi County in Rift Valley Region.

J_Nenez's tweet image. Tonight in #BBCSwahili sports at 9pm East African time, three-time Berlin marathon champ Gladys Cherono speaks on her resounding victory.A big bash to celebrate her win was held on Sept 22 at her village, Irimis, in Nandi County in Rift Valley Region.

Jose Mourinho: kwenye BBC Dira ya Dunia #BBCSwahili😀

tanzaniasports's tweet image. Jose Mourinho: kwenye BBC Dira ya Dunia #BBCSwahili😀

"Kuna vizuizi vingi sasa. Wakati ninatoka nje, lazima nivae burqa (vazi linalofunika mwili wa mwanamke kikamilifu), kama ilivyoamriwa na Taliban, na mwanaume lazima aandamane nami," alisema Ishkamish mkunga. #BBCSwahili

CloudsMediaLive's tweet image. "Kuna vizuizi vingi sasa. Wakati ninatoka nje, lazima nivae burqa (vazi linalofunika mwili wa mwanamke kikamilifu), kama ilivyoamriwa na Taliban, na mwanaume lazima aandamane nami," alisema Ishkamish mkunga.

#BBCSwahili

Loading...

Something went wrong.

Something went wrong.