#changetanzania search results
Mmeua maelfu hadi mmefuata watu majumbani na kuwaua! Hamuwezi kuficha ushahidi tunao Mliambiwa na watumishi wa Mungu na kuonywa - mkaleta kiburi Sasa hadi vizazi vyenu vya tano watalipa hii laana! Na MTAWAJIIBISHWA! Sisi hatutorudi nyuma! #tutaelewanatu #MO29 #ChangeTanzania
Lissu anashaonja Mauti, hakuna namna anaweza tishwa kwa kuambia atauwawa kupitia uhaini #ChangeTanzania #FreeTunduLissu
Tutashinda ✊🏽 Kama umeamka bado una pumzi, jua Mungu bado hajamalizana na wewe - timiza kazi aliyokutuma 🔥 We thank God for life and we know as long as we are still alive, God still has work for us to complete! This is our Spirit - the People of Tanganyika! #ChangeTanzania
Mabadiloko chanya katika nchi yahitaji hasa nguvu ya umma inayowajibika bila hofu na uoga. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ChangeTanzania
In a nutshell 👇🏾 CCM’s journey from Hero to Zero From being party of liberation to source of all problems in #Tanzania Kamateni hii @ccm_tanzania #ChangeTanzania #NoReformsNoElection
‼️Confirmed!🚨‼️ After huge public outcry and enormous pressure, Police have released Deputy Chair @HecheJohn and tomorrow Heche continues where he left off Thank you everyone for raising your voices ✊🏽 Change is inevitable We will #ChangeTanzania 🔥
Makamu Mwenyekiti John Heche yuko sawa sawa na mwenye afya njema. Kesho ataendelea na mikutano Kama kawaida.Tuendelee kuchagia Tone Tone 0744446969 CHADEMA HQ
Leo majirani 🇰🇪wameniuliza “Shida ni gani Tanzania?” baada ya kuona hii video ya ukatili wa viongozi wa kijiji huko Geita Nimekosa cha kuwaambia zaidi ya kusema TIT. This is Tanzania 😭 We need to #ChangeTanzania immediately! We have normalized abuse, assaults and dehumanization
Ufujaji wa mali za umma kwa matumizi ya anasa ya serikali ni jambo la kukemewa vikali kwa kuwa wanatumia kodi za wananchi kwa maslahi yao binafsi. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ChangeTanzania
Polisi hawana mamlaka ya kuruhusu wala kuzuia mandamando kwa mujibu wa sheria wanatakiwa kulinda tufanye maandamano bila shida yoyote. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ChangeTanzania
Kwamba #ClimateChange imesababisha kuwepo kwa Jua kali, ambalo limesababisha maji kukauka kwenye mabwawa ya kufua umeme, wakati huo huo hilo Jua kali linafaa kufua na kuzalisha umeme. Enewei Watanzania tumerogwa! #ChangeTanzania
Rais Samia Amesema Hayo Wakati Akiwaapisha Viongozi Mbalimbali Ikulu Leo Ambapo Amempa Maagizo ya Kuhakikisha Anasimamia Ukarabati wa Mitambo na Kumaliza Tatizo la Umeme Baada ya Miezi Sita. #Eastafricatv #Habari #Ikulutanzania
Leo #MariaSpaces tunajadili: Utekaji unashika kasi tena - tumeridhia kupotezwa kirahisi? Ndani ya wiki moja tumesikia matukio ya utekaji Mwanza, Tarime na Dar es Salaam. Tokea 2021 watu zaidi ya 70 walitekwa na zaidi ya nusu hawajulikani walipo Tumeridhia kupotezwa? Leo saa 2 uck
Katiba ni muhimu, wananchi hawajabadili mawazo. Tumefika hatua kubwa ya kuwa na #KatibaMpya.” -- Jaji Joseph Warioba #KatibaMpya #ChangeTanzania
Kushindwa kuhoji matokeo ya uchaguzi mahakamani ni ukosefu wa ukomavu wa demokrasia. Tunatakiwa kupata katiba itayojumisha kifungu kama hiki. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ChangeTanzania
Katiba ya wananchi itoe nguvu kwa vyombo vya ukaguzi wa fedha za umma ( CAG) kuwa na mamlaka ya kuchukua hatua za kisheria dhidi ya viongozi au taasisi zinatotumia vibaya fedha za umma #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ChangeTanzania
We shall not be bullied 🔥👊🏽 Much love and special shoutout to the people of 🇹🇿🇰🇪 Nawashukuru kwa upendo na sapoti #TutaelewanaTu #ChangeTanzania
‼️Team Hakuna Kushindwa 🔥 Kwanza nawashukuru sana mlioniandikia DM na hata publicly jumbe za kunitia moyo ❤️ nashukuru mno! Pili mi ni mzoefu wa harakati #ChangeTanzania tulianza 2012! Na sijawahi kurudi nyuma wala kubadili msimamo! Natambua kuwa kwa sasa genge la wauaji la
#ChangeTanzania kwa sasa tunapatikana katika mtandao wa TIKTOK pia kupitia link tiktok.com/@officialchang… Malengo ya jukwaa leo siku zote ni kujenga vuguvugu la wananchi, fuatana nasi katika mtandao huu wa TIKTOK
Tanzanian authorities must 👉Launch independent, transparent & effective investigations into deaths & bring those responsible to account 👉Reveal how people were killed/injured & who was responsible for ordering, enabling or committing violations 👉Make the full report public now
COMMUNIQUÉ : AWLN High-Level Solidarity Mission to the United Republic of Tanzania 19-21 April 2026
🔥🔥 Kanda maalum Tarime! Jamani inatia hasira sana!! Yaani @SuluhuSamia is going to burn tuis country! There is only that much repression any people can tolerate! Allow @HecheJohn to bury Odinga! Aibu tupu!
Kuna na magazeti yaliyofurika habari za namna ni dalili kwamba wanyonyaji wameanza kudanganya wanyonywaji Kuimba amani dhidi ya wannachi waliochika mateso ni kuishara kwamba wanaoongoza nchi wameshindwa kuelewa mzizi wa tatizo #ChangeTanzania
Tatizo liko kwenye huu mchoro Kujifunza uongozi ukiwa kiongozi mkuu wa nchi ni hatari sana #ChangeTanzania
#ChangeTanzania Hivi ndivyo serikali ya Samia inatutambulisha Dunia kote
Tanzanian ex-ambassador and government critic abducted, family says bbc.in/4mUWAw2
Hii ni Tanzania…Mazoezi ya 29/Oktoba yanaendelea. #Oktoba29Tunatoka #MwenyenchiMwananchi #ChangeTanzania
Crackdowns and repression ahead of Tanzania's election reduce trust in the fairness of the process, as does the treason trial of opposition leader Tundu Lissu. Tanzania is a key partner of the U.S. in East Africa, and our shared democratic values underpin that relationship.
Thought we were too busy and wouldn’t catch this? We did FAKE NEWS c.c. @MariaSTsehai @AmnestyEARO @ForeignOfficeKE @Interior
💪🏿💪🏿🔥💪🏿💪🏿 Nguvu ya Umma #ChangeTanzania #TutaelewanaTu
HAPPENING NOW: Gen Z protests in Nepal. They’re not attending nonsensical Rhema Fest concerts sponsored by NIS. They’re taking the bull by the horns. Kenyans your time is coming. Get ready. Stop following religious degenerates like the organizers of Rhema Fest. Those stupid
‼️🚨TAARIFA YA NJAMA ZA KUFUTA CHADEMA YAIBUKA TENA🚨‼️ Baada ya njama ya kuiua na kuwatia woga Chadema kufeli, wamekuja (tena 🙄) na wazo la kufuta Chadema @ccm_tanzania ni hivi: - CCM imekataliwa kila kona kutokana na umaskini na dhulma! Hii haitaondoa chuki mioyoni mwa
Hali ya familia ya Soka leo, waakumbuka Soka Kupotezwa ni mwaka sasa Familia ya Samia, binti ameteuliwa na CCM kuwa Mbunge Hii ni nchi yetu sote? kwa mazingira kama haya? wengine wanalizwa na mfumo na wengine wanainuliwa na mfumo #ChangeTanzania
I get sick when I see people only complaining about Young Africans SC violating @FIFAcom’s Code of Ethics. Stop complaining, write a complaint to @FIFAcom! We have a clear case with strong evidence: The actions of @YoungAfricansSC President, Eng. Hersi, last night at Mlimani
Football club dragging in political Party shambles event Yanga is a football team, clearly not allowed to associate with political events Cc @YoungAfricansSC, can you explain? #ChangeTanzania
Tanzanian football club Young Africans (Yanga) has pledged Sh100 million to support the ruling party CCM ahead of the 2025 election campaigns. Yanga President, Hersi Said, made the announcement during a fundraising event in Dar es Salaam in front of CCM Chairperson, Samia Suluhu
The most consequential leader in #Tanzania today 👇🏾 TUNDU ANTIPAS LISSU He is feared by oppressors, the corrupt and the oligarchs because he is uncompromising when it comes to National Interest Kiboko ya madhulmat na mafisadi -ni Rais ajaye wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
TOZO kwenye miamala ya simu imesababisha wananchi wengi kuachana na huduma hii muhimu ambayo ingesaidia sarikali kupata taarifa za kiuchumi kuhusu wananchi wake. #KataaTozo #ChangeTanzania
Tunadai tume huru ya uchaguzi ulio huru pia na waandandaji wa uchaguzi wasihusiane na vyama vinavyogombea ili uwepo wa kutenda haki. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ChangeTanzania
Tutashinda ✊🏽 Kama umeamka bado una pumzi, jua Mungu bado hajamalizana na wewe - timiza kazi aliyokutuma 🔥 We thank God for life and we know as long as we are still alive, God still has work for us to complete! This is our Spirit - the People of Tanganyika! #ChangeTanzania
Katiba bora kuna mahakama yenye wajibu wa kulinda haki na usawa. Nchini polisi wamekuwa wakikamata watu na kupeleleza kesi wakiwa rumande kwa muda mrefu, mahakama inapokea hizo kesi bila kuhoji uvunjifu wa sheria huo #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ChangeTanzania
Maandamano ni hatua ya mwisho ya kuomba usikivu wa serikali kwa kuwa maisha ya wananchi yamezidi kuwa magumu vitu kupanda bei, chaguzi zisizo huru, na taasisi kuwekwa mfukoni na serikali. Tunahitaji taasisi huru. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ChangeTanzania
Wananchi wakipata mamlaka sifa za vitu vizuri vyote zitakuwa kwao na sio Rais kwa kuwa wananchi ndio watakuwa na mamlaka. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ChangeTanzania
Remembering Abeid Karume, the first President of Zanzibar and the first Vice President of the United Republic of Tanzania. Happy Karume Day! #KarumeDay23 #ChangeTanzania
Serikali inapaswa kutengeneza mazingira rafiki Ngorongoro hasa huduma za kijamii bora na sio kuwahamisha wakazi wenye asili na ardhi yao. #StopMaasaiEviction #ChangeTanzania
Polisi hawana mamlaka ya kuruhusu wala kuzuia mandamando kwa mujibu wa sheria wanatakiwa kulinda tufanye maandamano bila shida yoyote. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ChangeTanzania
Tunatataka watanzania waandamane kudai mamlaka yao ya kuwaweka viongozi na kuwaondoa ili waheshimike. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ChangeTanzania
Au n mimi tu sielewi. Wakisifia na kupongeza Rais. Huwa mnawaalika na kufurahi nao na Kared kapet pembeni 🙄 Wakienda tofaut na Mawazo yenu ni UDINI 😭😭. Au mm ndo sjui maana ya Udini ukute nawaza sana #changetanzania
Katiba inasema lengo la serikali ni ustawi wa wananchi kama wananchi wanapitia ukosefu wa huduma muhimu ni wazi kutakuwa hakuna ustawi wa wananchi. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ChangeTanzania
Tuna rasilimali nyingi lakini tunapewa misaaada na nchi ambazo hazina rasilimali kutuzidi na ni ndogo zaidi hiyo ni kwa sababu wana utawala bora na katiba bora. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ChangeTanzania
Mabadiloko chanya katika nchi yahitaji hasa nguvu ya umma inayowajibika bila hofu na uoga. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ChangeTanzania
Polisi hawana mamlaka ya kuruhusu wala kuzuia mandamando kwa mujibu wa sheria wanatakiwa kulinda tufanye maandamano bila shida yoyote. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ChangeTanzania
In a nutshell 👇🏾 CCM’s journey from Hero to Zero From being party of liberation to source of all problems in #Tanzania Kamateni hii @ccm_tanzania #ChangeTanzania #NoReformsNoElection
Umaskini wa Tanzania ni wa kutengenezwa na katiba mbovu na sio mipango ya Mungu, nguvu umma inatakiwa kuwa maamuzi juu ya serikali. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ChangeTanzania
Asante @Pambazukomedia Hakikisha umepata nakala ni bure - Ripoti ya Mauaji ya Kibao kitendawili! 🙄🙄 Tusitegemee lolote! #Justice4AliKibao #ChangeTanzania #TutaelewanaTu
Kuwa na Taifa lenye vyanzo vingi vya umeme na kukosa umeme ni ushahidi wa kukosa uwajibikaji katika sekta husika. Tunaitaka serikali kujua kuwa nishati ni chanzo kikubwa cha maendeleo.#KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ChangeTanzania
Baadhi ya Maasai walivuka mpaka na kwenda nchi ya Jirani Kenya ili kukimbia ukatili uliokuwa ukifanyika kaika maeneo yao, hali hii inafanya kuwa watumwa katika ardhi yao. #StopMaasaiEviction #ChangeTanzania
Something went wrong.
Something went wrong.
United States Trends
- 1. Jokic N/A
- 2. Jaden McDaniels N/A
- 3. Nuggets N/A
- 4. Wolves N/A
- 5. Oilers N/A
- 6. Adelman N/A
- 7. Ducks N/A
- 8. McDavid N/A
- 9. #FlyTogether N/A
- 10. Christian Braun N/A
- 11. Scott Jennings N/A
- 12. Rudy Gobert N/A
- 13. Celtics N/A
- 14. Cam Johnson N/A
- 15. Knicks N/A
- 16. Chris Finch N/A
- 17. Game 7 N/A
- 18. Spurs in 5 N/A
- 19. Hawks N/A
- 20. Tatum N/A