Archt. Engineer
@ArchtEngineer
Architectural Engineer 2020|Politician|Food lover
Kazi na utu, tunasonga mbele Tanzania 🇹🇿 imara, CCM imara
Tanzania chini ya Rais Samia imeandaa mikutano mikubwa ya kimataifa, ikiwa ni pamoja na #W20Summit, ikionesha kuwa mwanamke anaweza kuongoza kwa umahiri duniani. Uongozi wake umetufungulia fursa mpya! #WanawakeMbele #SamiaNiJibu
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚Simba SC 📆 08.03.2025 🏟 Benjamin Mkapa 🕖 01:15 Usiku #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Visingizio visiwe vingi LETENI TIMU UWANJANI baada ya mchezo tutapigwa faini baada ya kuchunguzwa, ila muhimu 3 points ahead. #DaimaMbeleNyumaMwiko
Hawa ni watu muhimu sana kwa maendeleo endelevu ya jamii nyingi za KITANZANIA. Wana fanya kazi bila kushoka kuhakikisha familia zao zina Ustawi na kumea vizuri. Mungu awatunze siku zote watu hawa
Miaka minne ya Mama Samia imeleta mafanikio makubwa katika kujenga taifa imara katika ulinzi na usalama. Uongozi wake umeimarisha vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuongeza vifaa vya kisasa na mafunzo ya askari. ...........
Hongera sana Mhe Rais @SuluhuSamia kwa hili la maboresho makubwa yanayoenda kufanyika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na Serikali ya Korea, Maboresho haya ambayo yatagharimu takribani trilion 1.2 ambapo baada ya kukamilika itasaidia kuongeza idadi ya vitanda vya…
Nchi Imefunguka atakae na aje Rais Dkt @SuluhuSamia akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Bi Audrey Azoulay leo ikulu,kuna neema inakuja kwenye elimu na sayansi, haya ndio mambo tuyatakayo, Rais Samia…
Mambo ya Kuzingatia ndani ya Mwezi Mtukufu wa Ramadan; 1.Kuswali swala tano 2.Kusoma Qur-an 3.Kutoa Sadaka 4.Kufanya matendo mema kama Kuacha usengenyaji, kuvaa stara, kuacha kuzini n.k KUMBUSHA HAKIKA YA UKUMBUSHO UTAMFAA MUUMINI🙏 RAMADAN KAREEM WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU 💫
Serikali ya CCM inaendelea na uboreshaji wa bandari katika ziwa victoria ambako mpaka sasa bandari ya Bukoba iko 88%,Mwanza kaskazini 58% na Kemondo bay 99% imekamilika Hakika sisi wana mwanza tunajali na kuthamini kazi ya serikalu katika mkoa wetu na hakuka Mchezq kwao hutuzwa
Serikali ya rais @SuluhuSamia imepeleka umeme kwenye vitongoji 33,657 kati ya vitongoji 64,359 na kazi ya kusambaza umeme kwenye vitongoji vilivyo baki inaendelea kwa kasi kubwa. Hongera sana Mama kwa kazi kubwa na nzuri.
Nawatakia ndugu zetu Wakristo kheri katika Kipindi cha Kwaresima. Katika kipindi hiki cha siku arobaini za ibada, kufunga na kufanya toba, tuendelee kuiombea nchi yetu amani, upendo, umoja, utulivu na yote yaliyo mema, huku tukiwakumbuka wenye uhitaji. Tutumie pia kipindi hiki…
Leo ni jumatano ya majivu na Kesho ni mwanzo wa mfungo wa kwaresma. Kila la kheri nyote, Mungu awape nguvu na hekima katika mwezi huu
Diplomasia ya @SuluhuSamia ni ya kuigwa na viongozi wengine barani Africa. Mission 300 🌍 kwa maendeleo endelevu barani Africa
Nawatakia Waislamu wote kheri na mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema atuongoze na kutusimamia kwenye Ibada hii muhimu katika imani, aipe kibali cha kheri na kuipokea. Katika Ibada hii na kama ambavyo tumeendelea kufanya wakati wote,…
Ramadan kareem Mwezi huu uwe wa baraka kwetu na utukumbushe yale yote yaliyo na yanayo tokea ni kwa sababu ya Allah.
Vijiji vyote 763 vya Tanga vimeunganishwa kwenye gridi ya taifa, 75% ya vitongoji vina umeme. Kituo cha Handeni kimeimarisha huduma huko na Kilindi. Mkinga ina vijiji 85, vitongoji 235 vyenye umeme. Juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Samia zinaleta nishati kwa wote.
Kila la kheri Twiga stars katika mchezp wenu wa kufuzu AFCON 2026 dhidi ya Equatorial Guinea
Chini ya utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan, kilimo Tanzania kimeona mafanikio makubwa. Mpango wa BBT-YIA umezinduliwa kwa ajili ya vijana, benki za kilimo zimeimarishwa kwa mtaji wa bilioni 208, na mikopo ya riba nafuu (10%) inapatikana.
United States Trends
- 1. Verizon N/A
- 2. Custom N/A
- 3. The Fall Off N/A
- 4. Corey N/A
- 5. harry styles N/A
- 6. #OlandriaxBridgerton N/A
- 7. J Cole N/A
- 8. Anton N/A
- 9. Internal N/A
- 10. Washington Post N/A
- 11. BLACKPINK N/A
- 12. Ford N/A
- 13. Clintons N/A
- 14. Jim Jordan N/A
- 15. Galaxy's Edge N/A
- 16. Euphoria N/A
- 17. Rolling Loud N/A
- 18. James Garner N/A
- 19. HSHQ N/A
- 20. Defund NED N/A
Something went wrong.
Something went wrong.