Goodluck Cosmass
@CosmassGoo13158
Kama una haraka$# we tangulia
Vijana wengi waliozaliwa miaka ya 90, kwa kiasi kikubwa wazazi wao wamefanikiwa kuona walau wakifanya maendeleo, ila sisi wa 2000's aisee tunazeeka na wazazi wetu majumbani na bado ni tegemezi.
Usirudie kumtumia sms ya pili wala kumpigia simu maana meseji ya kwanza kaiona na call yako kaona, Mheshimu mpenzi wa watu 💔😂
Kuliko kuendelea Kuficha simu ukiwa na mpenzi wako Si bora uendelee kuwa na huyo anayekufanya Ufiche simu.
Mpango wako ujao — usimwambie mtu. Umeoa/umeolewa — kimya. Umeanzisha biashara — kimya. Umeanza mazoezi — kimya. Umenunua nyumba — kimya. Umeenda likizo — kimya. Kumbuka: UTULIVU ni NGUVU.
Nyakati ngumu huja ili kutuonyesha kua sio kila nguzo iliyosimama inafaa kuegemea . Good Morning ⛅️
Usisimame mahali ambapo hakuna heshima, Usisubiri mahali ambapo kuna kupuuzwa wala usiwe na matumaini mahali ambapo hakuna upendo
Hakuna kitu kinawaumiza maadui zako kama kukuona ukiendelea kuishi vizuri na kutabasamu wakati wanakuombea mabaya kila siku
Usiwahi kulinganisha maisha yako na ya wengine. Watu wengine wanaweza kuonekana kuwa na maisha bora, lakini nao pia wana matatizo yao
"Watakufunza mbinu za utafutaji, lakini kamwe hutowahi kuwaona wakifurahia mafanikio yako."
Muache mkeo afanye kazi,afanye biashara kuna kufa ghafla!nguzo ya badae kwa watoto ni bora kuliko wivu wako!!✍️
Anakuomba Elfu 5, unaona hela ndogo ngoja nimtumie, Kumbe ameomba watu 50, Ukipiga 5000×50=250k Anaipata kwa siku moja tu.
Nidhamu ya maisha inafanya watu wafike mbali sana..🥂
Ulivyo wewe ndivyo walivyokuwa wao. na walivyo wao ndiovyo mtakavyo kuwa ninyi. Kifo nichako mazishi niyakila MTU , PUNGUZA MAJIVUNO Hujafa hujaumbika.
Acha kutafuta furaha mahali pale pale ulipoipoteza utaishia kuteseka. Usikubali kuchomwa na moto ule ule
United States Trends
- 1. Knicks 13K posts
- 2. Shamet 2,814 posts
- 3. #AEWDynamite 21.4K posts
- 4. Brandon Williams 1,002 posts
- 5. #Survivor49 3,818 posts
- 6. Vucevic 5,684 posts
- 7. #CMAawards 5,411 posts
- 8. Vooch 1,101 posts
- 9. #AEWCollision 8,648 posts
- 10. Derik Queen 3,916 posts
- 11. Labaron Philon 1,069 posts
- 12. Blazers 4,062 posts
- 13. #mnwild N/A
- 14. Vucci Mane N/A
- 15. Wallstedt N/A
- 16. NO CAP 14.1K posts
- 17. FEMA 64.9K posts
- 18. Nick Allen 2,197 posts
- 19. Coby White 1,001 posts
- 20. Dubon 3,737 posts
Something went wrong.
Something went wrong.