Simon🇹🇿
@Simon_peter_jr
Genius✍🏾| @HekimaZaMdemu
You might like
Usimhukumu mtu ambaye kosa alilolifanya hata wewe ungelifanya kama ungekuwa kwenye nafasi yake.
Mwanaume 1. Jifunze kujiheshimu. 2. Jifunze kuzungumza mazuri kuhusu wewe mwenyewe. 3. Jifunze kujipongeza. 4. Jifunze kujisherehekea mafanikio yako hata kama ni kidogo 5. Jifunze kujiombea kila wakati Kama hutafanya hivi vitu, hakuna atakayekufanyia.
Tuendelee kupambana🤝
Ukimhurumia mtu anayekuumiza, unajiadhibu mwenyewe kimya kimya.
Mwanaume ana njia 5 pekee za kutoka kwenye msongo wa mawazo 1. Kutengeneza pesa. 2. Kufanya mazoezi . 3. Kufuatilia kusudi lake maishani. 4. Kujenga familia yenye upendo. 5. Kuwa na uhusiano imara na MUNGU.
Usiogope kufanya kazi ya ziada ikiwa malengo yako ni ya kipekee.
Ukiwa mtumwa wa hasira zako, ni rahisi kuharibu mfumo wa maisha yako.
Usitumie muda mwingi kuthibitisha kwamba huna makosa watakaoelewa, wataelewa bila maelezo.
Kila mtu anapitia kitu usihukumu kwa sura wala tabasamu.
Sali sana kuna watu kuanguka kwako ni moja ya Maombi yao.
Ushauri bora kwa kijana wa miaka 20 - 25 1. Epuka kuangalia sana p*rn 2. Epuka ulevi 3. Kunywa maji mengi 4. Nenda gym 5. Epuka drama 6. Vaa vizuri na unukie vizuri 7. Tafuta pesa 8. Zungumza kidogo 9. Soma vitabu 10. Thamini muda wako 11. Heshimu wazazi wako…
Namna pekee utapunguza gharama za bando za INTERNET, DAKIKA na SMS ni kuwezesha laini yako 🌐 1. Yas Kinara Plus SME *148*44# 2. Vodacom SME *150*00# 3. Yas post paid bundles *150*01# Karibuni 🙏 MAWASILIANO☎️ Piga: 0734806383 Whatsapp: 0678231552 🚨Fungua comments 🧵👇
Mwaka 2018 Rihanna alipoingia Met Gala akiwa amevaa vazi lenye sura ya Papa wa Catholic watu waliona kama ni mtindo wa kidunia. Lakini ndani ya Vatican mmoja aliyekuwa mtaalamu wa maandiko ya siri alishangaa Vazi hilo lilikuwa na alama halisi kutoka kwenye kitabu kilichopotea…
HuduMa zilizopo Leo. ☎️ Kama una Laini Ya; 1. Yas - Jiunge na Kinara Plus SME *148*44# 2. Vodacom - Jiunge na Hybrid (postpaid) 3. Airtel - Upgrade laini yako kuwa SME *149*91# 𝗨𝗧𝗔𝗢𝗞𝗢𝗔 𝗚𝗛𝗔𝗥𝗔𝗠𝗔 𝗭𝗔 𝗕𝗔𝗡𝗗𝗢 𝗞𝗪𝗔 50%. Utaishi kifalme sana. Kwa…
Naomba Msaada wa RT hapa. Huduma bora ya Mitishamba inapatikana hapa Maasai Herbal clinic, Ondoa Maradhi yako kwa Dawa iliyo tengenezwa na Mchanganyiko wa mimea mbali mbali. Daktari bingwa @KimaniDawa anatuletea Dawa ya TOGOLO Syrup inayo saidia yafuatayo.!! -Kuongeza Hamu ya…
🚨bei ya jioni...Naomba repost wekeni oda wakuu picha za kuchora kama hizi njoo whatsap bei ni kitonga Namba; 0767496155
🚨Turepost kwa moyo mmoja hii 👇🏾😌 UNAHITAJI Mchoro wa penseli kama huu🫵🏾 Hii ni A3 size👇🏾 nisaidie ku-repost 🔄 WEKA ODA YAKO✍️ Whatsap no; +255 767496155📩😊 Delivery mikoa yote 🚚 💨 •••bei poa kabisa
Kuna watu wanakuulizia sio kama wana mipanga na wewe ila nikutaka kujua kama upo palepale walipo kuacha au umewacha wao furaha yao nikuona upo kama walivo kuacha siku zote
Kwanini ni rahisi kujifanya uko sawa kuliko kueleza unavyoumia kweli?
Kibaya zaidi kuliko kuumizwa ni kujilazimisha kubaki mahali palipokuumiza.
United States Trends
- 1. Jarrett Allen N/A
- 2. Donovan Mitchell 1,908 posts
- 3. Ricochet 1,779 posts
- 4. #CMAawards 1,227 posts
- 5. #Survivor N/A
- 6. Bobby Lashley N/A
- 7. #TheChallenge41 N/A
- 8. WE HURT PEOPLE 1,381 posts
- 9. $NVDA 86.5K posts
- 10. FEMA 22.5K posts
- 11. Sheila Cherfilus-McCormick 18.4K posts
- 12. #cma2025 N/A
- 13. Peggy 39.7K posts
- 14. Raisel Iglesias N/A
- 15. Jensen 29K posts
- 16. Dean Wade N/A
- 17. Nvidia 98.1K posts
- 18. Sam Harris 1,292 posts
- 19. #Jupiter 4,460 posts
- 20. Baba Oladotun 1,233 posts
You might like
-
Trap Queen
@miss___yanga -
shivo tz 💊
@ShivoTz -
kichefuchefuu
@kichefuchefuu -
Adrian
@adrianijr -
M A C K 🤠 🇹🇿.
@Omarymsomal -
CENTROZONE_MAN
@evarist_jnr -
Mick Jizze
@JizzeMick -
Assenga Magari Tz
@GjAssenga -
Mngamala
@Nolasko_Mtitu -
Pendo Sanga
@pendossanga -
YhN
@hezron_yusuph -
Bro James
@bro__jk -
Mpenda Amani 🇹🇿
@Amani37895399 -
• STORM
@IAmSilayo -
Makanya jr
@kayombo29
Something went wrong.
Something went wrong.